Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Dec 17, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tetesi kutoka katikati ya sebule la bro wa magogoni zinasema yuko mbioni kupangua baraza la mawaziri wakati wowote kuanzia sasa. Katika upanguzi huo mawaziri wote wenye matatizo ya afya kuwekwa kando huku sura za vijana zikitawala zaidi. Inasemekana Mh EL naye mara hii anaweza kuambulia chochote.....
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duh! Leo lini...!!!!!!!?????
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jumamosi...???
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Nahisi kama vile umeota hiyo bro af ulilala sebuleni
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  hivi EL naye ni kijana?......................au JK anataka kumeza matapishi yake?
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Na mi nina tetesi nepi anahamia CHADEMA mazungumzo na viongozi wa cdm yamekamilika
   
 7. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...choooonde...choooonde...ulevi...nooooooooooma...........
   
 8. D

  Dan08 Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Tetesi tetesi tu
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ukiona tetesi zinatawala ujue pana shida.
   
 10. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tetesi au umbea, KJ c yuko Uganda?Au umezinasa huko huko!
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Future ya JF kama HOME OF GREAT THINKERS iko wapi???
   
 12. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Peleka hii Jukwaa la Chit Chat
   
 13. N

  Ngoiva Lewanga Senior Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda Ngeleja kamkera anataka kumwondoa kabisa.
   
 14. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  tetesi mwisho huwa ni kweli

  kwani Gazeti la mwanahalisi lilishatoa habari hii kitambo sana,sasa mda si mrefu litaiva,kwani tupo watu wa aina tofauti,kuna wale waliokaribu na magogoni na sisi tulio mbari na magogoni so TETESI mwisho itakuwa kweli tu
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  umbea ni ukweli ambao haujapewa ruhusa kuongelewa kwa hiyo hiyo ni tetesi..
   
 16. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wacha tusubiri mwisho wa siku mambo yote yatakuwa hadharani na haitakuwa lumours tena
   
 17. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mletaji kaja na tetesi jamani, siyo kila kitu peleka huko! Utakuwa ujinga. Tetesi si zinaruhusiwa jamani. Lisemwalo lipo.
   
 18. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Basi vizuriií
   
 19. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mmambiwa hiyo ni tetesi tu.
   
 20. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mazungumzo ya nini. Kwani wanamnunua
   
Loading...