Majina ya waliopewa siku 90 na CCM kujiuzulu ni hawa hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya waliopewa siku 90 na CCM kujiuzulu ni hawa hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaijabutege, Apr 12, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  List of Shame

  1. Daudi Balali (Marehemu?)
  2. Andrew Chenge
  3. Basil P. mRAMBA
  4. Gray S. Mgonja
  5. Patrick W.R. Rutabanzibwa
  6. Nimrod Elirehema Mkono
  7. Nazir Karamagi
  8. Rostam Aziz
  9. Edward N. Lowassa
  10. Benjamin W. Mkapa
  11. Mrisho J. Kikwete

  Source: Tovuti ya CHADEMA. Bofya: http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wamepewa siku 90 wajuhudhuru nini?
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Labda wajidhuru.......
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nan alowapa sku tisini?
   
 5. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hahahahahaha another game in town!
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  na wasipojiuzulu?
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chama kitawafukuza uanachama
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Wale wengine wataondoka na kuwaachia chama
   
 9. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Tamko la Mh. Chiligati kwamba hawatawavumilia wanaokipaka chama matope kwa ufisadi wao.
   
 10. C

  Chogo matata Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Bwana mamvii aanzishe chama chake na wachafu wenzie.
   
 11. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kweli hiii ANOTHER GAME IN TOWN
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Kuna punguan wa jf nao wamo huko umewasahau..walikuwa vishabikisana vya mathread
   
 13. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  They know they aint that much smart and for sure they even cant play the game. CCM could have done those old days when we had only one party but they cant handle that risk today
   
 14. W

  WildCard JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Unatania. Sio hao. CC yote ilijiuzuru akabaki JK. Mchezo umeshaisha. Watanzania hatukawii kusahau. CCM kwenyewe malaika hakuna!
   
 15. k

  kiloni JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Get lost. This is the blood and soul of CCM.
  remove them and you are sure the life of CCM is over!!!
  CCM's HEART BEAT is Rostam Aziz
  CCM breath through Edward Lowasa
  All the others are just the systems of life in CCM.
   
 16. B

  Boca1 Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  They are CCM PARETO if you have ever read Pareto Principle
   
 17. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Yap ! The 20:80
   
 18. U

  Uswe JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  alotoa siku 90 nani, CCM au CDM?
   
 19. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280

  HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), imetangaza safu mpya ya uongozi wa juu wa chama hicho watakaoongoza Sekretarieti yake na Kamati Kuu (CC) huku vigogo wengi wakianguka na kisha kutoa siku 90 kwa watuhumiwa wa ufisadi kujiondoa wenyewe NEC ya chama hicho vinginevyo watawajibishwa.

  Katika uteuzi huo, Wilson Mkama amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Yusuf Makamba. Mkama atasaidiwa na Naibu Makatibu Wakuu (Bara na Visiwani), John Chiligati na Vuai Ali Vuai. Katibu mpya wa Itikadi na Uenezi ni Nape Nnauye, huku, Mwigulu Mchemba akichaguliwa kuongoza Idara ya Fedha na Uchumi. Mkuu wa Oganaizesheni ni Asha Abdallah Juma na Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Januari Makamba.

  Waliochaguliwa kuunda Kamati Kuu ni Abdulrahman Kinana, Zakia Meghji, Dk Abdallah Kigoda, Pindi Chana, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera, Constancia Buhiye, William Lukuvi na Steven Wassira.

  Kwa upande wa Zanzibar, waliochaguliwa ni Dk Hussein Mwinyi, Dk Maua Daftari, Samia Suluhu Hassan, Shamsi Vuai Nahodha, Omar Yusuf Mzee, Profesa Mbarawa Mnyaa na Muhammed Seif Khatib..........................................

  Source: Mwananchi ya leo
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  @ V.A Asanteni kwa majibu yenu
   
Loading...