ZITTO ataka turudi GIZANI

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Angalia anavyotafuta umarufu??

"@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika “Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL."

My take: this is cheap publicity you are after!!!

Umeme tunapata unataka nini zaidi?
 
Ilipotoka Richmond ikaja Dowans, tulipata umeme... lakini bila shaka unajua ni nini kilitokea behind the scene
 
Angalia anavyotafuta umarufu??

"@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika “Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL."

My take: this is cheap publicity you are after!!!

Umeme tunapata unataka nini zaidi?

Damn it,...
"umeme tunapata",...kina nani hao wanaopata?
Acheni upuuzi bana,...kama unapata unapata wewe na wa***** wako huko
wengine tunaonja umeme dakika 20 haupo kama vile mtoto anachezea switch.

Watu wengine kama vichaa kabisa,...ukila ukashiba unajua kila mtu kala.
 
atuna umeme bwana kwani amjui kuna mgao unaendelea mpaka sasa.

Kuna watu wapuuzi sana humu.
Eti umeme tunapata.
Umeme gani huo?
una patikana wapi?
umeme haupo lakini unalipiwa kuliko unavyo patikana.
 
Wakati wote namuona zitto km kijana ndumila kuwili sn. Anatumiwa sn na ccm kuvuruga cdm ila anapata taabu kwa sbb inteligensia ya cdm ni zaidi ya ile ya serikali. Atakuja kupotea vibaya sn kwenye ramani ya siasa
 
wacha wafanye kazi yao,who r u damn?

Huyo jamaa inaonekana kila akimsikia zitto anatoka
kijasho chembamba makalioni,...
Watu wengine hawana akili kabisa,...
Afu bila aibu eti hoja yake "umeme tunao"....shit
 
It high time tuwageuke wanasiasa, wamekaa kugeuza geuza maneno tu, kwani waliosababisha tukakosa umeme wa ricmond si hao hao kina ZITTO?

Umeme upo bana acheni mashihara

Haya ngoja ZITTO awatibue hao wanaopeleka mafuta IPTL mwone kama hamjaingia gizani
 
angalia anavyotafuta umarufu??

"@zittokabwe: @jmakamba @jjmnyika "ninaleta ombi kmt ya bunge ya nishati na madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya iptl."

my take: This is cheap publicity you are after!!!

Umeme tunapata unataka nini zaidi?
'

niruhusu nikutukane pumbavu. Kwa hiyo kama umeme tunapata hata kama kwa njia za ufisadi, tukubali tu watu wajipatie pesa halali kwa kinga ya kuleta umeme? Mbona mwanza kila siku kuna mgao? Kwa wiki nzima ilemela umeme kutwa nzima hakuna.
 
It high time tuwageuke wanasiasa, wamekaa kugeuza geuza maneno tu, kwani waliosababisha tukakosa umeme wa ricmond si hao hao kina ZITTO?

Umeme upo bana acheni mashihara

Haya ngoja ZITTO awatibue hao wanaopeleka mafuta IPTL mwone kama hamjaingia gizani

Umeme upo wapi?
Acha matusi
 
Mafuta ya IPTL inajulikana vizuri kuna ufisadi zaidi ya ule wa EPA!, TAKUKURU wamechunguza na ukweli wameupata. Sijui kama sheria inaruhusu kusema, mgewauliza uozo uliopo pale wangewaambia! nasikiA KUNA BILLION 200 zilikua benki kuu wajanja wakatafuta njia ya kuzikwapua wakaibuka na mafuta ya IPTL. msisahau kwamba IPTL kwa sasa haiwezi kushitakiwa kwasababu iko katika hatua za mwisho za kufilisiwa na iko chini ya RITA. ZITTO NAKUTAKIA KILA LA KHERI, mpaka kieleweke
 
'

niruhusu nikutukane pumbavu. Kwa hiyo kama umeme tunapata hata kama kwa njia za ufisadi, tukubali tu watu wajipatie pesa halali kwa kinga ya kuleta umeme? Mbona mwanza kila siku kuna mgao? Kwa wiki nzima ilemela umeme kutwa nzima hakuna.

Hawa ni watu walio lewa mafanikio na kusahau kwamba mabaya ni mabaya na
mazuri ni mazuri.
Wao wame ya condense kuwa kitu kimoja,..kwamba baya ni zuri na zuri ni zuri.

Yeyote anae onesha njia ya kuumbua ubaya wao,wamekuja na "vijineno" eti
ana tafuta umaarufu wa kisiasa,....umaarufu wa kisiasa wa nini
while unaishi kweli mwili unao weza kuharibika in a blink of an eye?
 
Zitto endelea kuchapa mzigo hata Mboe nimemsikia kwenye msiba wa Regia akitambua mchango wako!
 
Wakati wote namuona zitto km kijana ndumila kuwili sn. Anatumiwa sn na ccm kuvuruga cdm ila anapata taabu kwa sbb inteligensia ya cdm ni zaidi ya ile ya serikali. Atakuja kupotea vibaya sn kwenye ramani ya siasa

Nimegundua una zitto "fobia"
 
Huyo jamaa inaonekana kila akimsikia zitto anatoka
kijasho chembamba makalioni,...
Watu wengine hawana akili kabisa,...
Afu bila aibu eti hoja yake "umeme tunao"....shit

My point! Asitafute cheap publicity aende akarekebishe vifungu kwa manufaa ya vizazi vijavyo kama wenzake mnyika na lisu!!

Namsikiliza sana ndio maana namwona so cheap
 
Kuna watu Zitto anawanyima sana usingizi, na mwaka huu ndio hamtalala kabisaa.
Mleta mada sijui kama anaelewa Zitto alichokuwa anatweet au ameamua tu kujifurahisha.
Hiyo habari imetoka kwenye gazeti la The east african leo kama lead story, na Zitto akawa anawakumbusha January (Mkt wa kamati ya nishati)na Mnyika (waziri kivuli) kwamba yeye alishaiibua POAC mwaka jana April na akamwandikia speaker barua kuitaka kamati ya nishati ifanye uchunguzi maalum lakini mpaka leo kimya! Audit query ya $54 million ni kubwa sana jamani!
Hata kama hampendi, huyu kijana anafanya kazi kubwa sana kwa nchi hii, nyie endeleeni tu kupotosha na chuki zenu binafsi yeye anasonga mbele
 
My point! Asitafute cheap publicity aende akarekebishe vifungu kwa manufaa ya vizazi vijavyo kama wenzake mnyika na lisu!!

Namsikiliza sana ndio maana namwona so cheap

Tatizo la watanzania ni pale mnapo msikiliza mtu akisalimia tu
mmesha jua anataka kuongea nini.

Na kwa kujidai kujua sana,you always miss the point.
Haya kwa kizazi hiki yanaongezeka sana,....
Mwalimu akianza kuongelea calculus watu mawazo yao yako tuned to the end of the
topic,matokeo yake wana miss kinacho fundishwa.

What next?
Ndio maana watoto wanafeli sana siku hizi.
Na maishani?
..........................................!!!!!!
 
Kuna watu Zitto anawanyima sana usingizi, na mwaka huu ndio hamtalala kabisaa.
Mleta mada sijui kama anaelewa Zitto alichokuwa anatweet au ameamua tu kujifurahisha.
Hiyo habari imetoka kwenye gazeti la The east african leo kama lead story, na Zitto akawa anawakumbusha January (Mkt wa kamati ya nishati)na Mnyika (waziri kivuli) kwamba yeye alishaiibua POAC mwaka jana April na akamwandikia speaker barua kuitaka kamati ya nishati ifanye uchunguzi maalum lakini mpaka leo kimya! Audit query ya $54 million ni kubwa sana jamani!
Hata kama hampendi, huyu kijana anafanya kazi kubwa sana kwa nchi hii, nyie endeleeni tu kupotosha na chuki zenu binafsi yeye anasonga mbele

Watu kama hawa wameifanya JF kuwa sehemu ya porojo sasa.
Siku hizi humuoni zitto au mnyika wakileta mada hapa JF mara kwa mara
hii ni kwasababu watu wakisikia sentensi mbili,wanabeba "kaneno kamoja tu" na kuleta hapa JF.

Umbea kama huu hatuutaki,...if you hate someone atleast kaa kimya kama hujui msingi wa tweet yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom