Wanasiasa na uvivu wa kusoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa na uvivu wa kusoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by REBEL, Feb 16, 2012.

 1. REBEL

  REBEL Senior Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Napenda nieleweke hapa siongelei kuhusu wanasiasa wetu wana masters au phd ngapi maana sisi tumeishasoma vyuoni na kuona watu wanavyocopy na kupaste thesis na research zao.Ninachota kuongelea hapa ni wanasiasa wetu ni watu ambao hawana mvuto wa kujenga hoja maana vichwani mwao hamna kitu. Hii inachangiwa na kutokuwa na utaratibu wa kujisomea vitabu na makala za tafiti mbalimbali.Na inavyoonyesha vitabu walisoma wakiwa wanasomea mitihani tu au walikuwa wanapenda kusoma notices tu.

  Kuna wanasiasa wakiongea uwa unaona wanasoma na hata kama hawasomi wanajua kupanga hoja.Mfano mzuri katika hapa ni mwalimu Nyerere,Pinda,Mnyika,dk.slaa,wakili tundu lissu.Wengine ni Mkapa,
  Mimi mwanasiasa anayenikera kwamba hajui kujenga hoja na hawezi kushwawishi msomi yoyote kumsikiliza ni Nape nauye.Huyu mtu nasikia amesoma mpaka shahada ya pili lakini ni mtu ninayemuona mweupe sana kichwani.Mwingine ninaye muona ni mtu wa ajabu lakini wananichekesha ni wasirra na LUsinde.
  Wito wangu wanasiasa muwe mnasoma mtafanya watu(hasa wasomi wachukie vyama vyenu).huu ni ushauri wa bure.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Nape kasoma! Ana shahada ya udhamili! kweli mkuu! Mhhhhhhhhh, aisee nitajie chuo alichosoma, isije nikaingia choo cha kike kumshauri ndugu yangu aingie hapo aisee, mweeeeeee! Hicho chuo alichosoma basi kitakuwa kiboko kaka!
   
 3. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Amesoma Mzumbe University Dar, A.K.A voda fasta, mabingwa wa kudurufu Masters Tanzania!
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Endelea kujifunza jinsi ya kuandika threads! unaonekana bado hujui kupangilia mtiririko mzuri katika mada unayotaka kuzungumzia. Katika hii thread yako nimeshindwa kukuelewa, aya ya kwanza inapingana na aya ya pili kwa hiyo na wewe umekuwa kama hao unaotaka tuwajadili hapa na unachomaanisha hakina ukweli.
   
 5. REBEL

  REBEL Senior Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mpangilio hauna shida haya ya kwanza ni utangulizi,haya ya pili inaongelea mifano ya wanasiasa wanaopenda kujisomea ,na haya ya mwisho ni kuangalia wanasiasa wavivu wa kusoma.kama na wewe nadhani ni mmoja wapo ,J jingine asilimia 75 ya hread inaongelea wanasiasa wavivu kusoma.umenielewa?
   
 6. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ushamuona maghembe akijenga hoja au akijb swali mbona nape utampenda !
   
 7. REBEL

  REBEL Senior Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hahaha na kuna wanasiasa wengine wana Phd wakiongea mpaka unajificha chini ya meza kwa kuona aibu maghembe,na kuna mwingine prof.kapuya yaani ni mtihani kumsikiliza.
   
 8. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Pinda?? My foot
   
 9. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nakubaliana na hoja yako lakini naona ulivyoiwakilisha inagongana sehemu nilizotia color
   
 10. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni nini mbona mleta uzi anaeleweka vizuri?
   
Loading...