Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar yanuka kinyesi

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Kwa kipindi kirefu sasa mara upitapo ofisi ya mkuu wa mkoa utakereka kwa harufu nzito ya kinyesi. Jamani hadi tutoe malalamiko JF ndipo mfanye usafi? OK fanyeni usafi mnatuchefua sana.
 
70% ya mji wa daslam unauka uvundo/kinye.si and other irritating smell.(This is before flooding)

On top of that...1/4 ya wakazi wa daslam ni misukule!!
 
Nadhan Wakazi Wa Dar Wameiga Kutoka kwenye Hiyo Ofisi Kuu ya Jiji!! Shame on Meck Said!! He had no any Priorities for the City!! He is Like a Social / Public Relation Officer!!
 
Mkuu umeniacha mbavu zinauma. Nina ndugu kibao dar kumbe nao waweza kuwa misukule. Dar bana, full karaha halafu watu wanajisia kuishi dar
 
Dar bana!! hadi form za mkopo itanilazima nipoteze nauli elfu 50 nizifuate dar...this is horrible/terrible!!
 
Kwa kipindi kirefu sasa mara upitapo ofisi ya mkuu wa mkoa utakereka kwa harufu nzito ya kinyesi. Jamani hadi tutoe malalamiko JF ndipo mfanye usafi? OK fanyeni usafi mnatuchefua sana.

Mbaya zaidi hayo maji ya kinyesi yanatiririka ndani ya mitaro iliyo wazi kabisa upande huu wa kuingia jengo la mwl haouse. Aibu kweli, sisi wabongo!
 
Chamber zote zinazopitisha maji machafu k'koo ziko overloaded na zinavujisha kinyesi barabarani, na hakuna mwenye time ya kuongeza au kuboresha mfumo wa maji taka,huku gorofa zikipanda kama uyoga, hilo ndio jiji la dar.
 
Mbaya zaidi hayo maji ya kinyesi yanatiririka ndani ya mitaro iliyo wazi kabisa upande huu wa kuingia jengo la mwl haouse. Aibu kweli, sisi wabongo!

Ukitaka kujua viongozi wa tz walivyo manunda nenda nyumbani kwao uone walivyojenga mihekalu. Ofisini wanakanyaga kinyesi ila nyumbani wanajifanya wasafi. Ni wabinafsi waliotukuka. Viongozi tz ni wabinafsi sana hawajali kabisa mahitaji ya jamii.
 
Dar bana!! hadi form za mkopo itanilazima nipoteze nauli elfu 50 nizifuate dar...this is horrible/terrible!!

hata balozi wa nymba kumi anataka buku ndo akuhudumie,eti unachangia mhuri,nyamabafu kabisa.
 
Nadhan Wakazi Wa Dar Wameiga Kutoka kwenye Hiyo Ofisi Kuu ya Jiji!! Shame on Meck Said!! He had no any Priorities for the City!! He is Like a Social / Public Relation Officer!!

Haswaa!! kuna siku nilikua kwenye event flan na JK ndo mgeni rasmi yanii huyu baba shughuli ana penda kwl kuuza sura..af nikamchunguza nikamkuta hajavaa sox!
 
hata balozi wa nymba kumi anataka buku ndo akuhudumie,eti unachangia mhuri,nyamabafu kabisa.

Hata results Slip ya form 4 inanilazimu nipoteze nauli elfu 50(go & return) kuifuata Dar(Barazani) badala ya wao kutuma mashuleni...dar bana!!
 
Bila shaka jiji la dar linaongoza kwa uchafu duniani..yani kiukweli ni chafu haswaa!
 
takwimu zinaonesha Dar es salaam ni moja kati ya majiji machafu duniani sio Afrika tu...ipo ndani ya 10 bora ya majiji machafu
 
dsm nzima inanuka hakuna cha ajabu hapo...
ukizingatia wakazi wa mji huu walivyo wachafu.....
mtu mzima na akili timamu anatema mate hovyo barabarani....
anatupa taka hovyo barabarani.....
wengine uswazi kinyesi wanakitia kwenye mifuko night kali wanaenda kutupa barabarani..... loh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom