Naanza kumkubali/kumpenda JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naanza kumkubali/kumpenda JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marytina, Feb 16, 2012.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  pamoja na mapungufu mengi aliyonayo jk anaelekea kuibuka rais bora wa Tz kwa

  1.namna anavyoichukulia hii ishu ya Katiba-JK alikubali kuyafanya mapendekezo ya CDM kuwa ndio mswaada wa serikali
  hata kama wabunge wa CCM waliigomea serikali lakini JK personally ameonesha ukomavu mkubwa nampa saluti.

  2.JK aliruhusu posho kuwa 200 baadae akarudisha kubaki 70 naamini JK alisoma alama za nyakati na akoweka pembeni matakwa ya wabunge wa ccm ya kutaka 200.

  3.JK tumemsemea mbovu sana na magazeti chafua yeye sana, nakiri kuna vitisho kwa waandishi wa habari ila si kama kipindi cha Mkapa. Mkapa angesha muweka ndani Mr.JF na Mwanahalishi+Mwanaichi+Tanzania daima

  Note: Kwa sasa JK anastahili pongezi kwa kuwa ni mtu mwenye mapungufu mengi mno ila ameweza kufanya kidogo kilicho bora
  JK alikuwa na perfomance ya 20% ila kwa hizo issue hapo juu amefika walau 30%
  Dr Slaa ni mtu mwenye excellent scores above 80% kwa hiyo anapofanya jambo zuri hastahili pongezi kwa kuwa huo ni uwezo wake na ikitokea akiharibu hata kidogo mno tutamlalamikia sana kwa sababu tunajua anauelewa mkubwa
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,779
  Trophy Points: 280
  kuna ukigeu geu..subiri kwanza hadi tupate katiba
  ms3.jpg
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Na 1 NA 2 simpi credit zozote, maana anaelewa impact za Peoples Power endapo asingechukua hatua!
  Hana upendo wowote wa dhati na wananchi, ni katika ile hali ya mfa maji!
   
 4. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hivi tukisema kweli wewe unaziita mbofu au ni matusi! Hivi kumwambia baba mwanaasha ni mtembezi ni mbofu! kumsema kuhusu mambo yanavyoenda ovyo ni kumtukana . Eh ! una lako jambo .
  Lakini ukweli ni huu suala la Katiba Mpya mfano wake ni huu
  ni kama vile amezaliwa binti au kijana atakuwa ! itawafika wakati binti ataota matiti na mvulana ataota ndefu. Vitu hivi hakuna mtu mwenye uwezo wa kuvizuia au kuvichukulia maujiko kwani ni badiliko muhimu la mwili ambalo halizuiliki.
  Katiba mpya na mambo mengine kama kujenga barabara, huduma bora za Afya , elimu nk. Ni hatua muhimu za ukuaji wa taifa hivyo hata kama tusingekuwa na baba Mwanaasha au yeyote yule ni lazima tu vi face. sema tu hawa wakora wanavihujumu kwa kuchelesha lakini they can not stop it.
   
 5. sister

  sister JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,027
  Likes Received: 3,933
  Trophy Points: 280
  unavyosema bora napingana na wew labda ungetumia lugha nyingine hapo, kwenye masomo 10 hafu mawili(2) ndo ukafaulu vizuri siwezi kusema wewe ni mwanafunzi bora. ilibidi utupe analysis interms of :
  1) Economical Progress.
  2)Political matter
  3)Social issue( huduma za afya, maji safi na salama,elimu bora, miundo mbinu, makazi bora etc)
  kwa mie ungechanganua vizuri kwenye hizo terms labda ningeungana na wew ulichokisema. na swala la katiba na posho ni kwamba wapinzani wamembana tu na yeye akasoma alama za nyakati vizuri otherwise akuna kitu hapo.
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Baba Mwanaasha jana alikuwa anabeba matofari pale Msoga kwao, kumbe afya ya jamaa imeimarika sana. Big up JK...
   
 7. a

  abam Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ni rais ambae analeta maajabu tanzania, kasaidia kujenga shule kuhakikisha japo watanzania wengi wanapata uform 4, ni rais anayesomesha mwanae ndani ya tz, ccm hawakuwa na mpango wa katiba mpya ila yeye akakubali, watu waliosusa hotuba yako leo unawaruhusu waje ikulu kweli jk ni muungwana wa ajabu, kwa mara ya kwanza vigogo wanafunguliwa kesi mahakamani, dito,zombe,mramba,liyumba,yona jamani bado tu. ndiye kiongozi ambaye hashambuliwi na kundi lolote ndani ya ccm. baada ya miaka ijayo watu wenye akili watakukubali kwa mabadiliko yatakayotokea. tatizo watanzania hawabebeki kawabeba kwenye mpira weeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 8. R

  Radi Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu ,,Ulukolokwitanga''. Kikombe cha babu wa Samunge Loliondo si mchezo bana, walioamini wamepona ambao hawakuamini ndio hivyo tena.
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  cant buy that.................hakubaliki mtu hapa hata kwa bakora.
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mwenyewe namkubali bwana hasa juu ya hili la katiba mpya, hakuogopa magamba alifanya aonalo yeye ni sahihi inatakiwa awe na misimamo kwenye mambo yake.
   
 11. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndani ya gwanda.
  Mmemsema sana, mara ooh akipanda mti lazima atandikiwe mkeka chini....
  Lakini kama anaogopa kuchafuka vile!
   
 12. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  SEMA TU UNAANZA KUFURAHISHWA NA JK,KUHUSU JK NA NKAPA WANATOFAUIANA KWANI MMOJA NI MZURI KTK POLITICAL& SOCIAL MATTERS[JK] NA MWINGINE SOCIO-ECONOMICAL[NKAPA],HIVYO JK ana ubinadamu zaidi,na huenda madudu na ukatili unao fanyagwa na****** ukitokea anajifungiaga ndani na kujutia.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,779
  Trophy Points: 280
  kwani alizaliwa magogoni?
   
 14. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi bado simkubali kwani wezi wa EPA, Dowans na walioruhusu hayo amejifanya hawajui na sasa watanzania tunaishi maisha magumu tofauti na alivyoahidi. Gharama za maisha ziko juu na watanzania wengi wameshindwa kusomesha hasa vijijini na wamebaki kuulaani uongozi uliopo madarakani. Hayo unayosema dada Maryatina hata hivyo bado hayajakamilika na una uhakika gani kama yatatekelezwa kwa % ngapi. Unakumbuka aliwahi kusema sukari isiuzwe zaidi sh.1700/= lakini imetekelezwa? Kijijini kwangu bei waliipandisha zaidi na hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi wahusika.
   
 15. m

  mharakati JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Tunamngojea Mmasai na timu yake wakiingia 2015 wamweke kizuizini huyu jamaa kwa kucheza dana dana na Taifa letu tukufu
   
 16. a

  adobe JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  kanywe nae chai
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kikwete ni mtu muungwana sana.
   
 18. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye suala la posho ungewatoa Zitto na Makamba tu, wabunge waliobaki wote waliitaka hiyo laki 2.
   
 19. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  du mtandao huu a.k.a JF hakuundiwa JK lakini!
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hakuna lolote!!?
   
Loading...