Kuendela kuangamia kwa CUF; Je, nini chanzo?

vstephen

Member
Jan 14, 2011
11
3
kuendela kuanga kwa chama cha wananchi cuf je nini chanzo? katika uchaguzi wa jana huko unguja cuf imezidiwa na chadema tena . je ndio mwisho wa cuf au cuf inahitaji mabadiliko ya uongozi au sera za cuf ndio zimefika mwisho
 
hilo mimi naona nisomo kwa cuf wakiendelea kujipa moyo wanapoteza chama na kinaenda kufa.
 
kuendela kuanga kwa chama cha wananchi cuf je nini chanzo? katika uchaguzi wa jana huko unguja cuf imezidiwa na chadema tena . je ndio mwisho wa cuf au cuf inahitaji mabadiliko ya uongozi au sera za cuf ndio zimefika mwisho

CUF ilishinda. maana ushindi wa ccm ni ushindi wa cuf maana kwa znz CCM=CUF. Yule mgombea waliyemsimamisha alilenga kupunguza za cdm.

CHADEMA Vema
 
Kwa hesabu za kikwetu 1+1=1. Kwa kanuni hiyo CCM+CUF=CCMCUF. Hawa wameshakuwa mwili moja baada ya kufunga ndoa hivyo hakuna cha CUF kuanguka wala nini akipata mume amepata mke,hawa ni wana ndoa bana.
 
Kiukweli, yale madai ya Hamad Rashid yanapata NGUVU KUBWA. Alibezwa, akadhalilishwa, wakamdhihaki...sasa yote yanatimia.
Shame on u CUF na mnaporomoka, haya yamejiri Unguja na si bara panapotolewa visingizio lukuki kila wapatapo pigo.
 
JE? WAKUMBUKA HAYAAAAAAAA
JE? UNA PENDA KUKUMBUKAAAAÀ

Chamaa chaama chama cha...cuf.
Hakiiiii sawaaaaa
Cuf ngangariiìi
Cuf jino kwa jino
 
DHAMBI ya Chuki Ubinafsi na Fitna ndio inayowatafuna, Ni sawa na kula nyama ya mtu ukishaanza kula nyama ya mtu utaendelea tu kula......walikua wanaona raaaaha timuatimua sasa yanawatokea puani....na bado Hamad Rashid hajaja na chama chake kuimalizia kabisa. HAKIIII!! (sawaaaa) HAKI SAWA KWA NANI? (wachache) lol
 
Kiukweli, yale madai ya Hamad Rashid yanapata NGUVU KUBWA. Alibezwa, akadhalilishwa, wakamdhihaki...sasa yote yanatimia.
Shame on u CUF na mnaporomoka, haya yamejiri Unguja na si bara panapotolewa visingizio lukuki kila wapatapo pigo.

Ieleweke kwamba ndani ya Zanzibar vyama vyenye nguvu ni viwili tu; CCM na CUF. Na katika vyama hivi kila Chama kina Anga yake za mashumbuli ambazo hua zinazitegemea, na kwa hakika Anga ya Uzini ni miongoni mwa moja kati ya Anga ambayo CCM inaitegemea ikijumuishwa na Donge na maeneo mengine kama ilivyo kwa CUF na maeneo yake. Na ushahidi wa haya angalia hata matokeo Uchaguzi wa Raisi 2010 na miaka mengine iliyopita. Kusema kwamba CUF imeshindwa Jimbo la Uzini kwa sababu ya Hamad Rashid ni zaidi ya kusema uongo! Hata hivyo chama cha CUF chaguzi kama hizi za Wawakilishi, Wabunge na Madiwani hua hawazipanii sana na wengi wa wanachama wao hua hawaendi kupiga kura siku ya uchaguzi (katika uchaguzi huu zaidi ya 4000 hawakupiga kura) ingawa hili ni tatizo. By the way kwa sasa Wazanzibari kwa asilimia kubwa hawaelekezi nguvu zao katika vyama tena (wameondoa ushabiki wa kishamba) bali wanataka Zanzibar iliyo huru kwanza, na mambo mengine yatafata baadae!
 
Wewe jidanganye hivyo hivyo, akili za kushikiwa watu hawana tena wanatumia bongo zao wenyewe, hivyo kaa na hiyo imani ya Cuf iko Pemba ilhali hali ishakua tete
 
Kwani huko Uzini hakuna misikiti? mbona ma-shehe wameitupa KAFU yao?? si wangeendelea kuihubiri misikitini?? ona sasa wanazidiwa na CDM
 
Nahisi chadema wamebakiwa na fitina zao ! Angalieni vzri 2010 approx ccm 6000
chadema 600 na cuf 500 uzini hawa amin siasa za cuf wanainasabisha na hizbu, na kwa sababu waliua sana wakti wa mapndz wanahofu sana! Enyi musiojua siasa ya znz fungeni midomo yenu! Mutaumia! Mutaiyona hivi hivi znz yetu !
 
Chanzo ni kuungana na CCM! Na kitapotea kabisa machoni na mawazoni, kama Afro Shirazi na Zanzibar ilivyomezwa!
 
Back
Top Bottom