Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

aagiza watumishi walio iba hela katika halmashauri ya kishapu shinyanga wakamatwe. halimashauri amesema halmashauri ina sifa mbaya za ubadhilifu wa mali za uma. ameyasema hayo alipokuwa anafungua...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima mbele wanajamvi... Tafadhari rejea Thread ya jana “Mlipuko wa CHADEMA watokea Mtaa wa Mavurunza, Kimara” ambao ulikuwa ni Mkutano wa maandalizi ya ujio wa Katibu Mkuu wa chama – Taifa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari kuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zuberi Kabwe amekuwa akikatishwa tamaa na spika wa bunge kufuatilia wizi wa IPTL ni za kusikitisha. Je Makinda anaanza kutimiza ukweli wa madai kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
dk arobain na tano itv wanamhoji waziri wa mambo ya ndani.mimi nmefika kwa kuchelewa lakini kipindi kinaendelea.tuongane hapa .mia
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Benard Membe amesema haungi mkono kenye kuivamia Somalia kwa kile wanachosema kutafuta magaidi ya al shabaab.anasema hajui malengo ya kenya ni yapi katika kuivamia somalia.mia
2 Reactions
85 Replies
9K Views
How Western Aid is fuelling corruption and bad governance in Tanzania Gazeti la Mwananchi limejaribu kutafsiri kwa kifupi hii habari hapa...
12 Reactions
26 Replies
4K Views
“PAMOJA NA SIASA CHAFU NA RUSHWA TUTASHINDA ARUMERU MASHARIKI” Nawasalimu Leo asubuhi nimesikia habari za uzushi na majungu kutoka katika gazeti la Chama Cha Mapinduzi Uhuru pamoja na...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe akiwahutumia wananchi wa mjini Muheza mkoani Tanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini humo juzi. Picha na Edwin Mjwahuzi. ASEMA SH 1.7 TRILIONI...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana; Taarifa ya Habari Radio One saa 2 na saa 4 usiku, Radio 1 walitoa Habari WB imeishauri Serikali ya Tz kubana matumizi na kuweka vipaumbele. Ukweli ni kwamba nilijisikia aibu sana kwamba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jinsi mh kikwete alivyolisimamia tatizo la mafuriko dar.....kwa kweli kelele nyingine ni fitina tu.........tuwe wakweli.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Pamoja na halingumu ya maisha, wananchi wa maeneo mbalimbali ya iringa mjini wameonesha kumuamini mbunge wao msigwa ambae pia ni mwenyekiti wa chama jimbo la iringa mjini baada ya kutoa michango...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu chadema sasa wamepiga haodi hapa songea tayari kwa mikutano. Lile gari linalotumika kama jukwaa la mikutano tayari limeshafika hapa mjini kwa maandalizi tayari kwa mikutano hapo ijumaa.Wale...
0 Reactions
148 Replies
19K Views
Off cource pamoja na jokes zote zilizotolewa humu kila mtu anafahamu kuwa Rais yuko London kwenye Mkutano wa Somalia. Lakini nasindwa kuelewa Rais amesafiri yuko nje ya nchi, wasaidizi wake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa vile CCM na mafisadi wao wameshaanza kuweweseka napendekeza Lema awe kiongozi wa kampeni katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki. Naamini atawasambaratisha magamba ile mbaya.
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu poleni na mapumziko ya sikukuu ya mapinduzi ya Zanzibar. Jana kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku nilimuona Waziri wa Nishati na Madini Bw. William Ngeleja akifungua mradi wa...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo "taarifa halisi ya Apollo ambayo inatamka wazi kuwa kuna kitu kwenye bone marrow kinachochochea...
2 Reactions
117 Replies
9K Views
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika ametaka Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kuwajibika kwa kitendo chake cha kuendelea kuruhusu kusainiwa kwa mikataba katika sekta ya madini bila ya kamati...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii tathimini nimeifanya kutokana na tabia zao na maisha wanayoishi,ongezea wa kwako! Peter serukamba--kigoma--kiburi cha uzima(ushamba) Abdala kigoda--Handeni--ulevi lazima umtoe Adam...
11 Reactions
149 Replies
17K Views
Wakuu nimepigiwa simu na rafiki'angu toka Songea anasema kumekuwa na mauwaji ya kutisha kwa mda wa wiki sasa na inasemekana watu zaidi ya kumi wamesha uwawa ingawa RPC amedai wananchi wasihofu...
10 Reactions
391 Replies
45K Views
LEO naomba niandike makala hii katika capacity yangu kama Mwenyekiti wa CHADEMA wa Mkoa wa Arusha. Nakuandikia Nape Nnauye pamoja na viongozi wenzako wa CCM baada ya kusikia matamko yako kadhaa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…