Ushauri kwa Chadema: Napendekeza Lema awe mkuu wa kampeni huko Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa Chadema: Napendekeza Lema awe mkuu wa kampeni huko Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Zak Malang, Feb 23, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa vile CCM na mafisadi wao wameshaanza kuweweseka napendekeza Lema awe kiongozi wa kampeni katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki.

  Naamini atawasambaratisha magamba ile mbaya.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu Lema ashike usukani huko Arumeru awashikishe adabu magamba
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Yuko njema huyu kijana na mimi namkubali,mimi ningependekeza wawe yeye na Wenje na Sugu....hao wanatosha hata kama Dr wetu asipoenda.Akienda Dr nadhani ndio kwishney!!
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Imetulia hiyo.
   
 5. K

  KIROJO Senior Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli hata mie napendekeza ,hawa magamba has a Nepi anamambo ya ushambega sana ,eti tunomba na kukesha ili Slaa aje Arumeru,umewashinda kuwang'oa mafisadi kwenu ,kazi uliopewa na JK ili akupime kama unaijua CCM imekushinda,ujajua tu.Bado ujifahanu eeehe,huyu d=ndo ****** bwana wewe endelea tu.
  Kamanda Lema chukua Jembe mkuu kazi kazi ni kazi.
   
 6. M

  MYISANZU Senior Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njema sana hii. God bless CHADEMA long life.
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Tendwa anawachochea wameru wamuue Kamanda Lema, alaaniwe huyu kiwavi Tendwa.
   
 8. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wazo lako zuri ila hawatalitumia hata akienda bila kuwa kiongozi wa kampeni atawasambalatisha tu
   
 9. k

  kitero JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja.Lema atatufaa sana
   
 10. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  badala utoe ushauri vipi tutaumaliza umaskini,mfumuko wa bei,rushwa
  unatoa ushauri usio na faida yoyote kwa jamii
   
 11. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  john mrema pia antisha..lema akiwa kwenye kamati ya kampeni tu inatosha ..tuendelee kukubali uteuzi wa chama
   
 12. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Another vote for lema, tafadhali mpeni huyu baba mpini cause ni jembe ile mbaya.
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nakuunga mkono mkuu, hao kina Lema wawe mameneja wasaidizi bt sio meneja mkuu ili kuwajenga wengine wanaochipukia au wasio na majina!
   
 14. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wenje abaki Mwanza akinukishe pale Kirumba...kunauchaguzi wa diwani pia...kufuatia kifo cha kamanda Novatus...RIP.
   
 15. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ccm wanamwogopa sana lema..dalili zilijionyesha waz ck ya msiba.....mbona tendwa hazungumzii zile bendera zilizoshushwa kwenye miti za ccm..ni wananchi wa meru ndo walizipiga chini:a s 465:
   
 16. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni kiboko sana .Anapower kubwa sana ya kushawishi watu.
  Ukimsikiliza tu umekwisha lazima akuteke.
  Uliza wote waliopata nafasi ya kusikiliza maneno yake kama walichomoka.
   
 17. i

  igoji Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhhhh. Chadema inatisha, yeyote atakaekua kampeni manager anafaa.
   
 18. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Tunaunga mkono mia kwa mia, halina ubishi.
   
 19. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Sina ubishi,maneno ya Kamanda lema ni chakula tosha
   
 20. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi chadema kuna haja ya kampeni arumeru?
  mi nashauri msipige kampeni kwa sababu wana meru kura tumeshapiga tunasubiri hiyo siku ya wajinga duniani tuwape ccm salam zao.
   
Loading...