Ufunguzi wa matawi ya chadema iringa mjini, wananchi wachangia chama zaidi ya shilingi lakimbili.

kamandamakini

Senior Member
Feb 17, 2012
165
137
Pamoja na halingumu ya maisha, wananchi wa maeneo mbalimbali ya iringa mjini wameonesha kumuamini mbunge wao msigwa ambae pia ni mwenyekiti wa chama jimbo la iringa mjini baada ya kutoa michango ya pesa ambayo Msigwa amechangisha katika harambee hizo.

nawasilisha!

SOURCE:Mbunge Wako Iringa Mjini

peeeepoooooooozz?????? POWER


http://1.bp.blogspot.com/-OSZAoJ8HLv4/T0Zu9rb-knI/AAAAAAAAAUM/NKhzJBfF38g/s1600/IMG_2524.JPG


akihutubia umati ulio kuwa ukimsikiliza kwa makini.



moto wa msigwa waendele kupamba katika maeneo mbalimbali ya jimbo la iringa huku leo katika maeneo ya mivinjeni zaidi ya wanchama wapya 60 kujiunga na chadema, muendelezo huu wa ufunguzi wa matawi ya chadema wananchi wameweza changia zaidi ya sh laki mbili na nusu wakati leo pekee ni shilingi 80000 ileweza changwa na watu katika harambee hizo, huku akina mama wengi kujitokeza kujiunga na chadema nakuonekana kumuelewa zaidi Mhe Msigwa kwamba si mbunge wa kuwapa samaki bali ni mbunge wa kuwafundisha kuvua samaki.





wananchi wa mivinjeni wakichangia katika ufunguzi wa tawi.​
 
Narudia na nitaendelea kusema tena...CCM watch out...Mwaka jana wakati Kikwete anaasisi suala la kujivua gamba...alitahadharisha juu ya uwezekano wa CCM kushindwa ghafla...kwa sasa dalili ziko wazi...kasi hii ya CHADEMA kila mahali si kitu cha kubeza...Angalia kiongozi wa CCM kama Mwigulu Nchemba...yuko Arusha kitambo lakini hana cha kuwaeleza wananchi zaidi ya kugawa hela na kutamba kuwa fedha zaidi ziko njiani..!!!!
 
I wish we(Tanzanians) will be free once again! Until then we must keep struggling to chase out these black tyrants. Keep it up Hon. MP Msigwa.
 
Safi sana Kamanda Msigwa kwa pamoja vita hi tutashinda,wao CCM wana pesa sisi Chadema tuna Mungu tunaemtegemea.
 
kazi nzuri sana Msigwa.
komaa na wananchi wako kwa shida na raha.




Nimeipenda sana hii Kamanda Msigwa!! ccm watch out! Naomba angalia pia uwezekano wa kushirikisha viongozi wa CDM huko Mafinga mjini na vitongoji nako kufanyike uhamasishaji. magamba lazima wafungashe virago!!
 
Back
Top Bottom