Mh kikwete hastahili lawama.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh kikwete hastahili lawama....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sikiolakufa, Feb 23, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jinsi mh kikwete alivyolisimamia tatizo la mafuriko dar.....kwa kweli kelele nyingine ni fitina tu.........tuwe wakweli.
   
 2. P

  Peter Nyanje Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napata shida kuelewa lengo lako mkuu... kama ni lawama nadhani hata waliozitoa wameshasahau, inakuwaje unakuja kujibu leo? Au unataka tuanze kuzikumbuka hizo lawama?
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Aiseee, asante kwa kunijuza kuwa Kikwete ndiye alisimamia tatizo la mafuriko, mie sikuwa na taarifa hizo
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hii thread haina mashiko.
   
 5. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndokazi yake that's why we chose him.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Lawama zipi mkuuu mbona unatuma vitu ambavyo havieleweki!
   
 7. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiyo ni kwa mtazamo wako, yawezekana una personal interest.
   
 8. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umetumia Four Figure, Scientific Calc, Atlas na Dictionary na hii ndio mada uliyoambulia kuiokoteza ili mradi tu tujue na wewe upo.

  Kwenye katiba mpya nitasisitiza Jando lifanyike kiasili. Haya ni matokeo ya hawa watoto kutahiriwa hospitali, wanapata tohara bila kufunzwa maadili. Haiwezekani watoto wa kiume wawe waruwaru hivi. Au ndio balehe?!
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mie hapa niko mabwe pande,kikwete ashukuriwe saaaaaana
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kikwete ni mtu wa watu
   
 11. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,798
  Likes Received: 6,308
  Trophy Points: 280
  The whole President - anakwenda kusimamia suala la mafuriko na akina Kayagilla wanaona jamaa kafanya kitu out of the ordinary. No wonder CCM bado wanashikilia ha-tamu!
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  AHADI YA KIKWETE KUJENGA BARABARA NCHI NZIMA YATEKELEZWA

  Imeandikwa na Beda Msimbe, Dodoma; february,2012

  [TABLE="align: right"]
  [TR]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE="align: right"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"]Habari Zaidi:[/TD]
  [/TR]
  [TR]

  [TD="class: Marquee"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  [TABLE="align: right"]
  [TR]
  [TD="class: kaziBody"]Habari zinazosomwa zaidi:[/TD]
  [/TR]
  [TR]

  [TD="class: Marquee"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  ZAIDI ya kilomita 11,474 za barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami huku miradi 54 ya ujenzi wa barabara ikiwa katika hatua mbalimbali ni dhihirisho kuwa ahadi za Rais Jakaya Kikwete zinatekeleza. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mbozi Magharibi, David Silinde (Chadema) kwamba ahadi za Rais Kikwete hazitelezeki kwa wakati.

  Mbunge huyo alitoa kauli hiyo baada ya kujibiwa swali lake la msingi linalohusu huduma ya kuvuka madaraja na ujenzi wa daraja katika mto Momba. Dk. Magufuli alisema pamoja na Ilani ya uchaguzi ya CCM imeonesha ahadi za Rais na kwamba hakuna haja ya kuandika kitabu, alimsifia Rais Kikwete kwa kutoa ahadi zinazotekelezeka na sasa wanatekeleza.

  Katika swali lake la msingi ambapo alitaka kujua Serikali inawasaidiaje wananchi wa Jimbo la Mbozi Magharibi kuondokana na kero ya kuvuka mto kwa gharama ya Sh 500 hadi Sh 2,000 na lini Serikali itajenga daraja la kudumu katika mto huo, Dk. Magufuli alisema maandalizi ya kujenga daraja la kudumu katika Mto Momba yameshakamilika katika ngazi ya usanifu wa kina wa daraja.

  Aidha alisema kwamba hana taarifa ya malipo yanayotozwa ili kutumia daraja hilo la watembea kwa miguu linalounganisha vijiji vya Kamsamba na Kilyamatundu. Hata hivyo, alisema kero hiyo kwenye daraja hilo (Cable supported pedestrian bridge) linalomilikiwa na Kanisa Katoliki Kamsamba litamalizwa kwa ujenzi wa daraja hilo la kudumu.

  Alisema usanifu wa daraja hilo lenye urefu wa mita 75 ambalo litaunganisha barabara za mikoa za Sitalike-Kilyamatundu mkoani Rukwa na Mlowo-Kamsamba mkoani Mbeya umekamilika mwaka jana kwa gharama za Sh milioni 164.7.

  Kazi ya usanifu wa daraja hilo imegharamiwa na Serikali ya Denmark kupitia Shirika lake la
  Maendeleo ya Kimataifa (DANIDA) na kilichobaki ni ujenzi ambapo serikali inazitafuta katika
  vyanzo mbalimbali.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  the whole president ndio kiingereza gani icho.we ulitaka hilo suala nani aende.ndio maana tunasema kikwete ni mtu wa watu,anajali shida za watu haa kama ni ndogo
   
 14. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hivi hapa nikumkashfu au kumsifia Mh JK?
   
 15. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  hongereni wa tz kwa janga hili la rais boooom kuwahi kutokea, ni janga.
   
 16. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Una matatizo wewe, mbona Kikwete huyo huyo ametutelekeza waathirika wa mabomu ya gongo la mboto. Iweje ahangaike na watu wa mafuriko waliojenga nyumba mabondeni kwa kujitakia, na kuwaacha wale waliolipukiwa na mabomu pasipo na hatia? Hizo ni double standards! Kusema ukweli Tanzania ni nchi ambayo hata mtoto wa miezi mitatu anaweza kuongoza. Hakuna hata mtu mmoja mwenye kichwa chenye akili cha kumchallenge mtawala. Kiongozi anafanya anavyojisikia kana kwamba yupo pale kulitumikia tumbo lake na familia yake.
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Uzuri wa Wabongo ndiyo huu bana...wanasahausahau mambo overnight!
  Jana serikali yake imeua watu kibao Songea, lakini leo anaonekana ni mtu asiyestahili lawama yoyote, kisa eti mtu katazama TBC1 na kaona kipindi cha TANESCO jinsi walivyopeleka umeme Mabwepande.! Shame on us!
  Ndo nyie mnaonunuliwa akili zenu kwa pilau! pambaaaaf!
   
 18. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  lawama 2kupe ww?
   
 19. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Atoe ujinga wke hko, akaongoze family yke na wakwere!We mtoa mada unadhan urais mchezo?Muulze Mwl. J. K. Nyerere, "ikulu ni mahali patakatifu, wa2 mnakmblia hko hakuna biashara!"
   
 20. Wakuletwa

  Wakuletwa Senior Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tehe tehe tehe....Wakwere nao ni watu mkuu..
   
Loading...