Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania's President Jakaya Kikwete has received high praise for the way he has handled the issue of the new constitution, with analysts reporting that it has helped restore faith in the ruling...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
DCI Manumba juzi alitoa Repoti juu ya ugonjwa wa Dr Mwakyembe ambayo inaelezea kwa wao kama polisi wanachokiamini na ndiyo kauli ya Jeshi la Polisi. Wizara ya Afya na kutokana na maelezo ya Waziri...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa kwa hilo ili kuitathmini nafasi ya CDM 2015!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
....Leo kwa mara ya kwanza nimesikia kituko kilichotokea kwenye kikao cha kamati ya Marando iliyoundwa kusimamia suala ya madiwani waasi wa CDM-ARUSHA ambacho sidhani kama kiliwai sikika...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jamani, nimeguswa sana na hali aliyo nayo Mbunge wetu wa Kyela, Mh. Mwakyembe. Kusikitishwa huku hasa kunatokana na mazingira mazima yanayozunguka hali aliyonayo mbunge wetu huyu, ambaye zaidi ya...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma ambaye jina lake sikulishika vizuri anasema vurugu zilizotokea leo asubuhi kati ya waandamanaji na polisi na kusababisha vifo vya watu watatu zimesababishwa na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Arumeru, juzi waligoma kupokea posho ya Sh 5,000 kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu, Catherine Magige kwa madai kuwa ni ndogo na za kuwadhalilisha...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Walianza kwa kupandisha ushuru hivi karibuni. Wananchi na wafanyabiashara wa wa eneo la Soko la Soweto Jijini Mbeya wakagoma kulipa ongezeko hilo. Ulikuwa mgomo ulioathiri shughuli zote za uuzaji...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Chaguzi ndogo mfano ule wa Igunga, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vilitumia pesa nyingi sana kwa ajili ya Kampeni. Nikiwa mwanachama na mkereketwa wa UKWELI ya CHADEMA nashauri tusisimamishe...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
A Letter For A President Part 8 "Any leader who do not have a Dream, not Visionary and not living for what has not yet occurred with attention to the promise of the possibilities of...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, ameondoa mashtaka aliyoyafungua katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, dhidi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni muda mrefu sijamsikia mwanasiasa huyu machachari, Anahitajika sana hasa wakati huu wa kampeni Arumeru, sijui safari hii ataendeleza fadhila au alishamaliza kulipa deni. Maana CCM B wamejitoa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ibara ya 14 ya katiba inasema kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake kwa mujibu wa sheria. Ibara ya 20 ya katiba ya jamhuri ya muungano inasema kila mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) imekiuka mikataba miwili muhimu inayoongoza kazi zake na kusababisha matatizo ya maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwemo maeneo mbalimbali ya Jimbo la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukitaka kumjua Jakaya Kikwete ni nani...................uta google na chanzo kimojawapo cha habari kinachotumiwa sana hapa duniani kiitwacho wikipedia, the free encyclopedia kimeandika habari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sitta: Siogopi kushtakiwa kwa kumtetea Mwakyembe Mwananchi, Mon, 20 Feb 2012 15:36:02 Waandishi wetu, Dar na mikoani WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nimeinasa hii habari kwamba Silinde sasa ndiye katibu mpya wa wabunge wa CHADEMA, hii nimeipata kutoka...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed na wenzake 10, wamewasilisha Mahakama Kuu mapingamizi ya kisheria, wakidai kiapo kilichowasilishwa na Wakili Twaha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau mwenye taarifa sahihi atujuze vizuri ni lini Chaguzi ndogo za Madiwani Arusha zitafanyika? Mbona Igunga na Arumeru zimeshaitishwa kule wanasubiri nini? mahakama si ilishatoa hukumu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimetafakari kwa kina kuwa Mh.SITA anaweza kulibadilisha JESHI LA POLISI likawa la VIWANGO na KASI ZAIDI kwa kuzingatia UTAWALA wa SHERIA badala ya NGUVU NYINGI ambazo zinaligharimu taifa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom