SITTA AUMBUKA, BAADA YA TAARIFA YA Dr. Mwakyembe

kakakuona40

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
300
52
Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo
"taarifa halisi ya Apollo ambayo inatamka wazi kuwa kuna kitu kwenye bone marrow kinachochochea hali niliyonayo, kitu ambacho mabingwa wanahangaikia kukidhibiti/ kukiondoa"
Kwa kiswahili rahisi kabisa ni kwamba bado madaktari hawajagundua chanzo cha tatizo alilonalo mwanyembena wala mwakyembe hajathibitisha kulishwa sumu tofauti na SITTA anavyotaka wananchi waamini kwamba mwakyembe alilishwa sumu, huu ni ushahidi wa siasa za maji taka za mweshimiwa samweli sitta.

Mytake: Tujihadhari na taarifa za uzushi zisizo na uthibitishoi wa kutosha
 
Umetumwa na nani wewe
 
watoto wa kwenye fridge thiniking capacity ni zero " mtaandika sana bondo fravor kwenye mitihani"
 
Kwa uongo aliouweka kwenye vyombo vya habari< tuleteeni ushahidi wa mwakyembe kupewa sumu!
 
Umetumwa na nani wewe

Katumwa na EL na RA ambao sasa ni maji ya shingo. Huyo RA aligundua mapema na sasa ataka kukimbia nchi. Huyo mwingine ajikaza kisabuni eti awe mjengoni afute dhambi zake!

Imekula kwao!
 
Waziri Sitta hajaumbuka ila serikali ndiyo inasema uongo kuficha mambo lakini kuna siku itaumbuka vibaya sana pamoja na vibaraka kama wewe. bora ungenyamaza kimya
 
ALIYOYAMWAGA DR MWAKYEMBE MAJUZI NI ZAIDI YA SUMU KWA HII SERIKALI YA KIKWETE PAMOJANA HILI JESHI LA POLISI LINALOFANYA KAZI CHINI YA AMRI NA MAELEKEZO YA MAFISADI

Hkika siku zote mtu hatajwi kuwa na akili ndogo tu kutokana na na vipimo vya kichwa chake kilivyoumbwa na mwenyezi Mungu bali ukweli ni kwamba watu humtaja hivo kutokana na hulka yake ya kutoa majibu miepesi kwa maswala mazito tena yanayoelekea kutoa mtu uhai kama hili la kipenzi cha WaTanzania Dr Harrison Mwakyembe.

Huyu 'Manumba' aliyefungua uzi humu haishi kushangaza jinsi gani Jeshi la Polisi lilivyojipotezea credibility zaidi ya mara 100 kwa hizi ngonjera wanazoendelea kuzicheza pale makao makuu huku watuhumiwa wakikosa kuitwa hata siku moja kuelezea NINI WANACHOKIFAHAMU juu ya hizi tuhuma nzito mno dhidi yao.

WaTanzania tutafakari sana kama kweli bado tunalo jeshi la polisi la wananchi au la MAFISADI inayofanya kazi kwa maelekezo yao. Umma wote wa Tanzania bado tunaendelea kusoma kila nukta walitamkalo hawa makada wa CCM ndani ya jeshi la polisi.

Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo
"taarifa halisi ya Apollo ambayo inatamka wazi kuwa kuna kitu kwenye bone marrow kinachochochea hali niliyonayo, kitu ambacho mabingwa wanahangaikia kukidhibiti/ kukiondoa"
Kwa kiswahili rahisi kabisa ni kwamba bado madaktari hawajagundua chanzo cha tatizo alilonalo mwanyembena wala mwakyembe hajathibitisha kulishwa sumu tofauti na SITTA anavyotaka wananchi waamini kwamba mwakyembe alilishwa sumu, huu ni ushahidi wa siasa za maji taka za mweshimiwa samweli sitta.

Mytake: Tujihadhari na taarifa za uzushi zisizo na uthibitishoi wa kutosha
 
Kwa uongo aliouweka kwenye vyombo vya habari< tuleteeni ushahidi wa mwakyembe kupewa sumu!
Wewe unaqualify kuitwa kiazi, wapi huelewi kuwa humo kwenye bone marrow hakujaingizwa mawe???au unataka uelezwe nini ili ujue kuwa humo ndani kuna kitu kisichokuwa cha kawaida??au wewe sumu unaitafsiri vipi kwa akili yako finyu???Nyinyi ndo viazi mnaoliangamiza taifa hili kwa kuwashauri viongoz wapuuzi kuendesha huu ******.Uletewe ushahid ww km nani??Kwann mnataka mletewe ushahid badala ya kutafuta wenu??upuuz kabisa. Kweli jitu zima na tambi lake ka mfuko wa mbolea linasimama mbele ya waandishi wa habari na kuutangazia umma kuwa limefanya uchunguzi kwa umakin mkubwa wakati hata body samples za mgonjwa halijachukua wala kufanya nae interview. What the hell is this. Kusoma taarifa ya Appolo ndio huo uchunguzi makin???kwanza taarifa yenyewe imechakachuliwa. Shenzi kabisa. Mimi nadhani linapokuja suala la uhai wa mtu hebu tuwe serious, huwezi kuja na hoja kipumbavu tu na kudhani wote ni wapuuzi kama ww. Jueni kuwa hapa duniani wote tunapita tu. Msijisahau na kujigeuza miungu watu.Ipo siku nanyi homegoing itawahusu tu.
 
Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo
"taarifa halisi ya Apollo ambayo inatamka wazi kuwa kuna kitu kwenye bone marrow kinachochochea hali niliyonayo, kitu ambacho mabingwa wanahangaikia kukidhibiti/ kukiondoa"
Kwa kiswahili rahisi kabisa ni kwamba bado madaktari hawajagundua chanzo cha tatizo alilonalo mwanyembena wala mwakyembe hajathibitisha kulishwa sumu tofauti na SITTA anavyotaka wananchi waamini kwamba mwakyembe alilishwa sumu, huu ni ushahidi wa siasa za maji taka za mweshimiwa samweli sitta.

Mytake: Tujihadhari na taarifa za uzushi zisizo na uthibitishoi wa kutosha
soma taharifa yake vizuri
usikurupuke ili mradi umeweka uzi
alivyosema kuwa DCI hajaelezea kuwa
sumu yaweza weka kwa kushikana,kuwekewa kwenye chakula au kupuliziwa alikuwa anamanisha nn?
punguza kukurupuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom