Hivi Makinda anamtumikia nani kati ya bunge na mafisadi?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Habari kuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zuberi Kabwe amekuwa akikatishwa tamaa na spika wa bunge kufuatilia wizi wa IPTL ni za kusikitisha. Je Makinda anaanza kutimiza ukweli wa madai kuwa alinyofolewa na mafisadi huko alikokuwa kumzuia Samuel Sitta asiwamalize baada ya kumfagia Edward Lowassa? Je kama wabunge wetu hasa wa CCM si mafisadi wa kutupwa wanamvumilia mama huyu kwa faida ya nani? Kwa habari zaidi kuhusu hoja ya Zitto BONYEZA HAPA.
 
Back
Top Bottom