Tanzania iko hatarini kushambuliwa na Al-Shabaab- Nahodha (Video ITV) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania iko hatarini kushambuliwa na Al-Shabaab- Nahodha (Video ITV)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Nov 21, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280

  dk arobain na tano itv wanamhoji waziri wa mambo ya ndani.mimi nmefika kwa kuchelewa lakini kipindi kinaendelea.tuongane hapa .mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  alikuta kuna madeni mengi sana lakini akafunga mkanda na wameanza kulipa madeni 2008.wameshalipa zaidi ya bil16.yeye kama waziri ni kuhakikisha wafanyakazi wanafanya kazi kwa bidii.amesha andika barua kwa waziri mkuu magereza zima moto waongezewe posho.sasa hivi wanalipwa laki moja na nusu.mia
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  anataka kuboresha masirahi.mia
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  sasa posho ni laki moja wanataka iongezwe hadi laki moja na nusu karudia tena alikosea.vifaa vya vitambulisho vimesha agizwa na mkandalasi kasha patikana.vitambulisho vitaanza kutolewa kwa wafanya kazi wa serikali kwa awamu ya kwanza.tarehe26 siku ya muungano mtaanza kuviona ona.ni wajibu wa vitambulisho viwe na access. mia
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA,uhamiaji,na vizazi na vifo ndo watafanya kazi kwa pamoja kukamilisha kazi ya vitambulisho vya taifa.mia
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi nilijua anataka kuzungumzia ile waraka ya siku 100 kwn nasikia inawahenyesha sana.(( 2858 WAASI PATAELEWEKA.))
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ndo namuangalia hapa
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Madeni wizara ya mambo ya ndani?
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  kuhusu uhalifu anasema hatutovumilia mtu anaye hatarisha usalama wa raia.anasema wao zamani kuanzia miaka 50 na kuendelea walikua wakifanya makosa wanaitwa na kuonywa lakini sasa hivi watoto wanaachiwa wafanya kazi wa nyumbani kitu kinacho ondoa maadili.dini zinasema heshimu mtu anaekuzidi na mamlaka.inawezekana viongozi wa serikali huwapendi labda sababu ya sura zao lakini labda wamewekwa na Mungu. Mia
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  ninapenda utaratibu wake wa ripoti peji 2 maximum
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Updates! Hata nilipo ITV ni mwezi wa nne hatujawahi kuiona hewani.
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  mi nipo hapa kuelimisha.mtu ukitaka kuandamana fuata utaratibu,ukitaka kufanya mkutano fuata taratibu.mimi natamani kuona kazi ya polisi ikiwa ni kudhibiti majambazi tu. wamemuuliza tishio la al shabaab bado lipo? anaanza kwa kusema eti mwenyezi Mungu aliumba viumbe tofauti vyenye nguvu lakini havina busala.mwenye sikio na asikie,mwenye macho aone.tusitake kupoteza amani.watu waende somalia waone.watu wasio itakia mema nchi hii watatumia maandamano kujificha.tishio lipo. mia
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  watu masikini kama sisi inabidi tuienzi tunu ya aman.tujitofautishe na wanyama ambao hawana busara.
  wamemuuliza kwanini polisi wanatumia risasi za moto?
  :anamuuliza mtangazaji wewe unafurahia kumwagiwa maji ya kuwasha au mabomu?watu hawaheshimu madaraka,hawaheshimu sheria.tujenge tabia ya kuheshiana.sisi tunaanza kwa hatua.tunaanza na bendera nyekundu,tarumbeta then lisasi za mpira halafu mabomu ya machozi theni mabomu ya vishindo yenye kutikisa.je ungekuwa wewe asikali ungefanyaje? mia
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Anaongea ujinga mtupu, anakwepa suala la matumizi ya risasi za moto!!!
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  miaka hamsini ya uhuru naona tishio la kuvurugika kwa amani.jambo hili si jema wala jambo hili sio la kufurahia.kuna watu wanapenda kutoa maneno ya ubabe wakifili ndo watu wanawafurahia.mi nawaomba wajishushe.
  kipindi kimeisha. mia
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi nilijua tu ya kwmb hana jipya huyo.
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  yule mwanahabari wa ITV naye fake tu....alishindwa nini kumkomalia na kumtolea mifano kama ile ya arusha kwa waliopigwa risasi wakiwa katika mihangaiko yao ya maisha...!
  Nahodha naye maneno mengi lakini mweupe pe..!
   
 18. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Masahihisho! Hiki kipindi huwa sio live, ni recorded
   
 19. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawana mashiko yeye wala aliyekuwa ana mu interview
   
 20. T

  Taso JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Journalism is the the poorest profession in Tanzania. Sio mwanahabari wa ITV tu, we ushaona mwandishi gani nchi hii anaweza ku interview viongozi kwa kuwabana mbavu ipasavyo? Tanzania hakuna true press.
   
Loading...