CHADEMA ndani ya Songea mjini

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,959
872
Wakuu chadema sasa wamepiga haodi hapa songea tayari kwa mikutano.
Lile gari linalotumika kama jukwaa la mikutano tayari limeshafika hapa mjini kwa maandalizi tayari kwa mikutano hapo ijumaa.Wale wapenzi wa cdm karibuni tuwapokee wageni wetu.tujitokeze kwa wingi.
 
tupo pamoja pita mitaa ya Lisbon,majengo,mfaranyaki,matogoro,bombambili,mateka,mletele,mjimwema pamoja na CHABRUMA waamshe asante.
 
Kilala kheri huko,mungu awape afya na hekima muandamane kwa amani.Tupo pamoja ila m2juze zaidi
 
Kazi nzuri, nadhani hiyo itakuwa hitimisho la nyanda za juu kusini. Sasa Magamba sijui wataandaa semina elekezi nyingine au...?
 
Wakuu chadema sasa wamepiga haodi hapa songea tayari kwa mikutano.
Lile gari linalotumika kama jukwaa la mikutano tayari limeshafika hapa mjini kwa maandalizi tayari kwa mikutano hapo ijumaa.Wale wapenzi wa cdm karibuni tuwapokee wageni wetu.tujitokeze kwa wingi.
Nikiangalia picha za mikutano nilikuwa naona wanaohutubia wamesimama kwenye jukwaa makini, nikahisi ni floor ya gari. Kuna mtu ambaye anaweza ku post picha ya hilo gari? Huu ni ubunifu mzuri sana.
 
Dingiswayo,nitajitahidi kukuletea gari lile.mana jana lilikuwa lina shangiliwa hapa mjini hasa sokoni kwa staili yake ya uhamasishaji.
 
Nikiangalia picha za mikutano nilikuwa naona wanaohutubia wamesimama kwenye jukwaa makini, nikahisi ni floor ya gari. Kuna mtu ambaye anaweza ku post picha ya hilo gari? Huu ni ubunifu mzuri sana.
sina uhakika kama unazungumzia gari hili
IMG_1494.JPG
 
ni gari nzuri kumbe inamjenereta mkubwa sana! NIMEIPENDA SANA HII!

Mkuu bila mijenereta na mgawo wa giza nchi hii unadhani tunaweza kukamilish amisheni yetu?
Hata kama hakuna mgawo wa giza bado Magamba watafanya hila kutunyima umeme; Umesahau Mwakipesile alivyoamuru Tanesco wamzimie umeme Dr. Slaa kule Mbozi, au John Mnyika alivyozimiwa umeme pale Kimara? Na mifano mingine mingi tu ya aina hiyo.
 
nafurahi kusikia kuwa chadema wametukumbuka sisi wa ruvuma....waambie wasisahau kuja huku kwetu namtumbo....:happy:
 
nasikia kambi ya jeshi mabomu yanawaka moto! mliopo songea tujuzeni zaidi yasije affect mikutano yetu na watu wetu
 
swaaaafi saaana CHADEMA msisahau basi kwenda na wilayani Tunduru, mbinga, namtumbo mpaka ziwani nyasa huko katoeni magamba yote yaiyobakia wekeni mwanzo mpyaaa tunataka 2015 tusafishe magamba yooote.
 
Mkoa wa Ruvuma bado umetawaliwa na Magamba.... Wasisahau kupita wilya zote za mkoa wa Ruvuma... Songea, Tunduru, Mbinga na Namtumbo manake hawavijui vyama vingine zaidi ya hayo magamba!?
 
mbinga napo mskusahau! Mfke mpaka kule nyasa kuanzia Mbamba-bay, Lundo,Liuli,Kihagara, Mkili, Ngumbo, Lundu, Manda, Lwanda, etc etc.
 
Wakuu chadema sasa wamepiga haodi hapa songea tayari kwa mikutano.
Lile gari linalotumika kama jukwaa la mikutano tayari limeshafika hapa mjini kwa maandalizi tayari kwa mikutano hapo ijumaa.Wale wapenzi wa cdm karibuni tuwapokee wageni wetu.tujitokeze kwa wingi.

mapambano yanaendelea mpaka kieleweke hahahaaaaaaaaaaaa
 
hapa cdm ninawashangaa, kushangaa pinda kushindwa kuwawekea umeme majirani zake. Sasa kwanini cdm isiamue genereta hili kusambazia umeme kwa baadhi ya wananchi wa madaba?? Kumbe ubinafsi upo katika kila chama!

mawazo mgando. CDM hawakusanyi kodi. Ngoja tukianza kutawala utayaona makubwa yatafanyika
 
Back
Top Bottom