figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Benard Membe amesema haungi mkono kenye kuivamia Somalia kwa kile wanachosema kutafuta magaidi ya al shabaab.anasema hajui malengo ya kenya ni yapi katika kuivamia somalia.mia
membe aidha anafaidika na hao ali shabab au ana waogopa, lakini kuwaogopa sio tiba kwani ni kuwapa nafasi ya kujijenga na kuongeza hofu kwa watu
Kama ni kweli, na rudia tena kama ni kweli kayasema haya, basi David Cameroon hakukosea kuwapa viongozi wetu shariti la kuutambau ushoga ili kupewa misaada. Kwani alishatambua kuwa tunawakilishwa na viongozi mashoga walioshindwa kujiweka wazi mbele ya jamii inayo pinga ushoga. Hivi huu utaupa jina gani tena? kama si ushoga?
Eti huyo ndio kilaza wetu anaeandaliwa kuja kuridhi......kiti pale magogoni kwa kilaza mwenzake!!!kazi ipo!!!!