Hii imekaaje?? Rais London, Makamu Rukwa, Waziri Mkuu Shinyanga!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje?? Rais London, Makamu Rukwa, Waziri Mkuu Shinyanga!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Feb 23, 2012.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Off cource pamoja na jokes zote zilizotolewa humu kila mtu anafahamu kuwa Rais yuko London kwenye Mkutano wa Somalia. Lakini nasindwa kuelewa Rais amesafiri yuko nje ya nchi, wasaidizi wake wakubwa ambao ni Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako mikoani kufungua miradi...... ambayo kwa maoni yangu naona wako mkoani wanakula posho tu!!

  Kwa maana hiyo pale magogoni kwa muda wa wiki mmoja hakuna kinachoendelea, mafaili yote yanasubiri JK arudi ndiyo yafunguliwe!! Ikulu kwa muda wa wiki mmoja haitakuwa na mwenyewe bali walinzi na Mama Mwanaasha kama hakusafiri na Hubby!!
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni style mpya CCM! wanadhani kutawanyika na kufungua miradi mbalimbali kutarejesha imani ya wananchi kwa CCM!!! huku wakisahau au kufumbia macho vita dhidi ya ufisadi na dhuluma zingine wanazofanyiwa wananchi wanyonge!!
   
 3. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  pengine jua limekuchwa sijaelewa au vipi: Labda niombe mfano wa ratiba za wakuu hawa waliobaki kama wangekuwa pale magogoni ofisini ratiba ingekuwa vipi tangu aubuhi hadi jioni wiki nzima mpaka mkuu wa nchi anarudi tupe mfano !
   
 4. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Hawa ni kama non executive directors. Huwahitaji muda wote provided kuna system ya uongozi inayoeleweka
   
 5. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mitanzania bwana! Rais akikaa Ikulu utawasikia ooh Rais mvivu, akisafiri kuwakilisha nchi utawasikia wanalalamika kama wanat[neno baya]. Watanzania ni kama wanawake wajawazito hivi kwa kulialia kutokana na uchungu wa mimba.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kama kawa ccm na masabuli yenu hamuwezi kuacha kutumia ndo mlichopewa!
   
 7. H

  HByabatto jr Senior Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa nao wamezidi kwa utembezi!
   
 8. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Rukwa, Shinyanga sio Tanzania?Shaa!
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,521
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  ikulu yupo riz 1
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  muda muafaka kwa wanajeshi wazalendo kuingia magogoni kwa risasi na mauaji kidogo ya wanajeshi watiifu kwa mafisadi..my people the time is now.
   
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  hata wakiwa dar hakuna tofauti.
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yaani wanaposikia CDM mnavyotwanga kotekote...wanachanganyikiwa mno...hawaamini kinachoendelea machoni pao...
   
 13. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Wacha wale posho maana muda wa kustaafu umekaribia.
   
 14. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mchimba kisima babaaa huanza kuingia mwenyewe. Tahadhari na maneno yako
   
 15. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Posho na utalii ndio mpango muzimaaaa!! Jk, pINDA na Bilal wanadhani hayo wanayofanya inawaongezea imani kwa watz save for few royalists to JK and his friends.
   
Loading...