Ktk uchaguzi wa 1995 SUA kilikuwa kitovu cha Mrema wa NCCR. Habari zilisikika kwamba SUA Ilimkataa MKapa kwa zaidi ya 90%.
Baada ya hapo Serikali imekuwa na mizengwe na vyuo sasa vinawekewa...
Jimbo la Nzega litakombolewa rasmi 2015, kamanda mpiganaji, experienced proffesianal engineer ( jina namhifandhi kwa sasa) tayari ameshaanza kazi nzega akishirikiana kwa karibu na viongozi wake wa...
Jamani ndg wanajamvi hili kwanini imekuwa ni ngumu sana kwa wananchi wa kawaida kuwa na mawasiliano ya viongozi wakuu wa serikali na hata kama kwa bahati mbaya ukiwa wanazo ukiwapigia hawapokei...
Life is DIGITAL, either you die or you live. Sasa kusema samahani au naomba radhi wakati tumeshakufa kutasaidia nini? Haya mauaji ya Songea (na polisi) ni ya ngapi kutokea.
Yalifanyika Nyamongo...
Wana JF leo asb ITV katika kipindi cha Kumekucha,katika mahojiano ya Mbunge wa Musoma Mjini na watangazaji wa ITV,eti kwani yeye ni mtoto wa mdogo wake na baba wa TAIFA na Muasisi wa CCM kwa nini...
KAMPUNI ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO), na Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika, wanatarajia kufanya ziara katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo ili kubaini maeneo yenye...
Ccm wameweka kambi ya kuwafundisha green guard eneo la Leganga barabara ya kwenda Dik dik kama unaenda dik dik mtaa wa pili kushoto huku Nchemba Mwigulu amekuwa akipita na kugawa hela lakini pia...
coz hawana utu kwetu,hawana uzalendo kwa taifa,hawana huruma na raia.Hatuna silaha za moto kupambana nao,tutumie Mikuki,mishale,mawe kila tumwonapo akiwa peke yake na kukimbia hadi watakaposhiks adab
Wapendwa katika mapambano ya ukombozi wa Tanzania. Kila kukicha askari polisi wanazidi kuua raia wasio na hatia katika nchi yetu. Wamesahau Haki zetu za kuishi waka kuandamana kufikisha ujumbe...
JK Nyerere: Alishindwa kujenga hata nyumba yake ya kuishi lakini chanzo cha umaskini kilianzia kwake kwa kuanzisha azimio la Arusha
A. Mwinyi: Free rain leadership: Nchi ilijilimbikizia madeni...
KATIKA hali isiyo ya kawaida Mtendaji wa Kata ya Nondwa katika Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma,amemtunishia msuli Mkuu wa Wilaya hiyo, Betty Mkwasa. Hali ilitokea baada ya Mkwasa kuhoji ni kwa nini...
Jamani hili lilisha letwa humu ikaonekana kama ni kuingilia utu wa mtu binfsi. Lakini tunahitaji kujua raisi na familia yake hadharani, anawatoto wangapi kwa mfano, hili ni muhimu sana. mimi...
Kuna mifano hai ya watu au tahasisi zilizokuwa zinapingana ccm. Ccm kwa kutumia intelejinsia yao wakawamaliza polepole kwa kuingia makubaliano nao. Mfano cuf inakufa sababu ya mkataba wa serikari...
Inasemekana Ushirika wa Ismail Jusa Katibu Mkuu Msaidizi CUF Zanzibar na Mohamed Raza mshindi wa uchaguzi wa Uwakilishi JIMBO la Uzini Zanzibar ulikua moja ya sababu za Cuf kugalagazwa vibaya...
Polisi Mkoani Ruvuma, wanawashikilia na kuwahoji askari wake wanne kwa tuhuma za mauaji ya raia kwa kutumia risasi za moto katika vurugu zilizotokea juzi mjini Songea.Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
*Wamtaka awajibike kwa kukanusha madai ya Dkt. Mwakyembe
Na Reuben Kagaruki
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Kijamii (CCK), Bw. Lenatus Mwabi, amesema kitendo cha Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchini...
....Baada ya mjumbe mmoja wa UVCCM-Arusha kutoa taarifa kuwa vijana waliomsindikiza mbunge wa viti maalum Catherine Magige kutoa msaada wa baiskeli kwa walemavu huko Arusha wamegomea posho ya...
Wakuu
IGP Amemtuma ACP Chagonja kwenda kuchunguza kiini cha machafuko ya Songea.
Namnukuu ACP Chagonja kama ifuatavyo Kutoka Mwananchi
" Chagonja akizungumza na Mwananchi jana alisema maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.