Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba, kusema ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison...
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Lwezera,Tarafa ya Bugando,wilayani Geita kupitia CCM bwana Anatori Mkufu amefariki Dunia juzi kwa ajali ya gari jijini Mwanza eneo la Mabatini.
RIP Mheshimiwa...
Anasema CCM bado ni imara kwenye utawala,chama kinachoonesha kina vision na kinasikiliza watu/wananchi na kutoa masuluhisho kwa wakati mfano dhana ya kujivu gamba, ni imara kwenye mfumo wa...
Nimeona kwenye kituo cha tv cha mlimani Julius Mtatiro akihutubua mkutano wa hadhara igunga ni aibu hakuna watu kabisa zaidi ya watu ambao wanaonekana ni wapita njia hawakuwa na mpango wa na...
'NI AIBU SANA KWA SISI BAVICHA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU, MWENYEKITI TANGU AMEKUJA TANGA KWENYE ZIARA HII HAJAWAHI KUOMBA HATA KUONANA NA UONGOZI WA BAVICHA TANGA, HAKUNA HAJA YA KUWA NA...
Wananchi wamtoa Pinda jasho
Wananchi wa wilaya ya Meatu mkoani Shinyanga wamewakataa Mkuu wa Wilaya hiyo, Abihudi Saideya, na Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD), Julius Mjengi, mbele...
Taarifa nilizozipata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika zinaeleza kuwa kutokana na serikali kukumbwa na ukata mkali, imeamua kuchukua fedha zilizokuwa zipelekwe bodi ya mikopo, na badala...
Ni ukweli usiopingika kuwa Watanganyika kwa mda mrefu sasa tunatumiwa kama sample za majaribio kwa madawa yanayotengenezwa na 10% za wanasiasa wetu. Kwa sababu karibu kila waziri anayekuja...
Nimekuwa nikifuatilia nyendo na harakati za wabunge wawili vijana wa CCM kwa muda sasa tangu waingie kwenye Ubunge. Nimekuja kugundua kuwa wote hawa wanafanya vizuri sana kama wabunge, kwa...
Kikwete yule alie kuwa mbunge wa Bagamoyo badae Chalinze si dhani kama ni huyu.
Kikwete yule waziri wa nishati then Waziri wa fedha si dhani kama ni huyu.
Kikwete yule waziri wa Mambo ya nje na...
Kuna manung'uniko ya wananchi dhidi ya Mh. Rais kutokana na Mh kuwa busy na safari za nje wakati wanyonge wakiendelea kupoteza maisha akiwa hajali. Mbaya zaidi Mh Rais amelitumbukiza taifa ktk...
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimewafungulia mashtaka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Spika wa Bunge, Anne Makinda na Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah kikitaka viongozi hao...
Ni takribani mwezi mmoja sasa, katika mji wa Unguja na viunga vyake mafuta aina ya Petrol ni bidhaa adimu ajabu, petrol hapa unguja inauzwa kwa bei yya magendo Tshs 5,000 mpaka 6,000 kwa lita...
Nimepata taarifa toka kwa mdau aliyeko Tunduma kuwa, kuna ratiba ya Makamu wa Rais kutembelea na kuhutubia mkutano huko Tunduma, sasa jana polisi walipita kwenye vijiwe vyote vyenye bendera za CDM...
Mkuu Willy heshima mbele sana,
Nakushauri uende Arumeru kwenye kampeni management team ya chama ili uweze kujifunza siasa za Bongo, japokuwa kuchukua jimbo lile itakuwa rahisi sana kama uzini...
Kuna wabunge wengi wapo matumbo joto wakihofia kupoteza majimbo yao mwaka 2015 lakini sio kwa Prof JUMA ATHUMANI KAPUYA mbunge (CCM) wa URAMBO MAGHARIBI(Wilaya mpya Kaliua) hakika Kapuya ametutoa...
Hongera makanda wa Tunduma kumbe nguvu ya uma haishindwi kitu
baada ya makamu wa raisi kushindwa kufika eneo la tukio kwa muda muafaka kutokana na mkanganyiko wa vijana wa tunduma na polisi kwa...
Narudi nyuma miaka kadhaa wakati DR Mwakyembe alipoona siasa inalipa kuliko taaluma alipoamua kukimbia chaki Chuo Kikuu cha Dar es laam na kwenda kugombea ubunge wa Afrika Mashariki. Mwakyembe kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.