Slaa ahitajika Tunduma kuzindua soko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa ahitajika Tunduma kuzindua soko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by idawa, Feb 24, 2012.

 1. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,215
  Likes Received: 7,512
  Trophy Points: 280
  ni baada ya makamu wa rais kushindwa kueleweka kwa wanatunduma
   
 2. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,164
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Weka nyama kwenye habari basi, nani amesema hivyo na wazo hilo limepitishwa na kukubaliwa na akina nani huko Tunduma?
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,705
  Likes Received: 8,498
  Trophy Points: 280
  kwani walimruhusu kuongea mbele yao?
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  nasikitika kukosa picha za tunduma.
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,561
  Likes Received: 1,287
  Trophy Points: 280
  Facebookphobiasis inakusumbua
   
 6. Andy1

  Andy1 Senior Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani lini aliwah kueleweka?
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Usiwe kama graduate wa kata.Lete taarifa kamili bwana.
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,215
  Likes Received: 7,512
  Trophy Points: 280
  mkuu wanatunduma huwambii chochote kuhusu slaa hivyo wanaona akija mheshimiwa kila kitu kitakua sawa na itawapunguzia na msongo wa mawazo juu ya ccm. Hayo ni mawazo ya wanatunduma kwenye mitaa mbalimbali
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,215
  Likes Received: 7,512
  Trophy Points: 280
  heshima kwa serikali walijua labda anapoint
   
 10. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 593
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenye picha za Tunduma atuwekee tafadhali.
   
 11. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haya sasa, viongozi wa kweli HUTAFUTWA na wala si kujipeleka kila mahala kiguu na njia kama Pinda na Blauri wanavyofanya hivi sasa kwa kujiaminisha eti wanakisaidia chama chao ndani ya nchi na Kikwete kule mawinguni.
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,215
  Likes Received: 7,512
  Trophy Points: 280
  mkuu najaribu na kamchina kangu lakin nashindwa labda wapo wadau wengine wataleta
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,215
  Likes Received: 7,512
  Trophy Points: 280
  labda kama unawatukana wana tunduma
   
 14. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 593
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu tafuta basi watu wengine wakusaidie.
   
 15. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,215
  Likes Received: 7,512
  Trophy Points: 280
  nitaongea na wenye uwezo wa kufanya hivyo lakini tunduma bila chadema haiwezekani hasa slaa mzee ametujengea imani ya kutosha
   
 16. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Vp pale kasumulu mwamko wao, co km tunduma?
   
 17. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,215
  Likes Received: 7,512
  Trophy Points: 280
  mkuu mimi huko mgeni
   
 18. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  haya mkuu mi nanyemelea sana hilo jimbo, ngoja nisubiri 2015 mwakyembe alisema agombei tena. Ko ngoja nijipange make nako mpoakani
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Who is Slaa?
   
 20. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndg yangu usipende kutoa talifa kwa kupotosha umma wa watanzania kuwa tunduma wanamuhitaji nani kakuambia?tatizo we ni mvivu wa kufuatilia habari mi nipo tunduma na makamu wa raisi amehutubia sema hukumwelewa kuna mambo ya msingi kayazungumza tumemshangilia pia alipongea ujinga tumemzomea.tatizo ni kuwa ccm hawatakiwi.
   
Loading...