Mtatiro akosa watu mkutanoni Igunga

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,236
9,841
Nimeona kwenye kituo cha tv cha mlimani Julius Mtatiro akihutubua mkutano wa hadhara igunga ni aibu hakuna watu kabisa zaidi ya watu ambao wanaonekana ni wapita njia hawakuwa na mpango wa na mkutano huku vijana wakionyesha vidole alama ya V inayotumiwa na chama cha CDM.
 
kaka mm mbona sikuona hyo alama ya vidole?
 
Rest in peace KAFU! Utoke nyumbani kwako uende kumsikiliza mtatiro? Usikilize nn? Sera? Anapoteza muda wake bure huyo kijana.
 
Uliona pia mikutano ya VINEGA Tanga, ya akina Zitto na Mnyika? Same story!
 
una uhakika mkuu? Pamoja na tbc kukwepesha kamera lakini tanga watu wamejaa sana.

Believe me, that day is coming!
 
leo mpaka tv yako ya magamba imemuonyesha zitto akihutubia huko tanga ingawa ni kwa uchache sn..nafikiri utakuwa umeona ni watu wachache au wengi. kama hujaona idamkie asubuhi uone
 
acha wivu wa kike wewe, zitto amejaza watu kibao pale tangamano tumeona tbc 1 sasa hivi. Labda kama unalako jambo au unajifariji...
ya ni true, ata mie nimeona tbc1, watu walikuwa wengi kiukweli, uyu ni memba wa magamba akiwa kazini aka kinega.
 
una uhakika mkuu? Pamoja na tbc kukwepesha kamera lakini tanga watu wamejaa sana.

Believe me, that day is coming!

Kweli mkuu kamera wamejaribu kumlenga zaidi zito kuliko waliokuwa wakimsikiliza
 
leo mpaka tv yako ya magamba imemuonyesha zitto akihutubia huko tanga ingawa ni kwa uchache sn..nafikiri utakuwa umeona ni watu wachache au wengi. kama hujaona idamkie asubuhi uone

Sidhani kama wanaweza kuirudia maana TBC sasa imekuwa kama hawa police wenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom