TANZIA: Diwani kata ya Lwezera afariki Dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANZIA: Diwani kata ya Lwezera afariki Dunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Feb 25, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Aliyekuwa Diwani wa kata ya Lwezera,Tarafa ya Bugando,wilayani Geita kupitia CCM bwana Anatori Mkufu amefariki Dunia juzi kwa ajali ya gari jijini Mwanza eneo la Mabatini.

  RIP Mheshimiwa...
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,767
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Poleni sana!
   
 3. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  R.I.P Mheshimiwa!!
   
 4. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Pole kwa ndugu, jamaa na familia ya Marehemu. RIP Diwani
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Poleni sana wafiwa, wanachama na wapenzi wote wa CCM pamoja na wananchi wote kwa ujumla hasa wana Geita
   
 6. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  rip gamba dogo.
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,485
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  hivi tanzania ina madiwani wangapi kwa ujumla?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  RIP Diwani....kuna bahati mbaya kwa madiwani baada ya uchaguzi uliopita....inasikitisha sana....
   
 9. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 640
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Poleni wafiwa na Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  r.i.p diwani. ni mipango ya Mungu kuelekea 2015.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Tume ya uchaguzi itangaze lini uchaguzi kata hiyo
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  R.I.P Diwani Anatori Mkufu
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  unataka ukagombee.............
   
 14. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndugu hebu kua na moyo wa kibinadamu basi? Usifanye maisha yako kuwa siasa kila sehemu
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,089
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  R.I.P mkuu
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu...jamaa alikuwa mchapa kazi na element zote za kikamanda na alikubalika kwa watu wa rika zote japo alikuwa ma.ga.mba side...ndiyo maana amekuwa diwani tangu miaka ya 90s...enzi hizo ilikuwa kata ya Nzera...mpaka ilipogawanywa na kuzaliwa kata hii ya Lwezera.
   
 17. M

  Mabewa Senior Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha siasa kwenye msiba..nyau wee.
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,853
  Likes Received: 6,717
  Trophy Points: 280
  R.I.P Diwani ila ujue kama ulifanya udangaanyifu wa kura ulipochaguliwa ujue lazima utaenda kujibu hko kwa Mr. Sir God.
  Nawatakia familia ya marehemu nguvu katika kipindi hiki kigumu..
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  NO RIP coz ulikuwa upande uliotusababishia UMASKINI wa kujitakia
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,189
  Likes Received: 4,543
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo wewe utaishi milele kwenye hii dunia kwa sababu ni Pro-Chadema?

  Poleni sana wafiwa kwa msiba ni njia yetu sote.
   
Loading...