Hii ni hujuma au ni SIASA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni hujuma au ni SIASA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by subash, Feb 24, 2012.

 1. s

  subash Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni takribani mwezi mmoja sasa, katika mji wa Unguja na viunga vyake mafuta aina ya Petrol ni bidhaa adimu ajabu, petrol hapa unguja inauzwa kwa bei yya magendo Tshs 5,000 mpaka 6,000 kwa lita moja, serikali yetu iko wapi?? Ukifwatilia kwa nn wafanyabiashara hawafutiwi leaeni unaambiwa wakubwa wana share zao, sasa tunaipeleka wapi Tanznia yetu??

  Kwa nn watu wachache ndio washike nyanja kuu za uchumi?? Ss tusio na uwezo wa kununu mafuta kwa bei hiyo tunakuwa wageni wa nani ndani ya Jamuhuri?. Wana JF hapa tusije na comments za kukejeli naombeni michango yenu katika hili.

  Source katika hili ni mimi mwenyewe napata mateso sana hapa Unguja. Sasa hivi tax toka bandarini mpaka mlandege sio chini ya elfu ishirini na kuendelea ukilalamika unaambiwa tatizo mafuta, ilhali watu wanauuza hayo mafuta kwa bei ya magendo.

  Wana JF nawaombeni maoni katika hili kifupi hali ni mbaya UNGUJA SIJUI NYUMBANI KWA SHEIN PEMBA HALI ITAKUWAJE.
   
 2. R

  RMA JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maisha yenu watanzania yataendelea kuwa magumu hadi mtakapoacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Shida zote hizo mnazitaka wenyewe. Hakuna sababu ya kuilaumu serikali bali wananchi mjilaumu wenyewe kwa kuwa hiyo serikali mliichagua kwa kura zenu wenyewe. Wala serikali iliyo madarakani haijaingia msituni na kutwaa madaraka! Ugumu wa maisha unaoendelea ni kwa ridhaa yenu wenyewe! Poleni, bila mang'amuzi safari bado ni ndefu!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mafuta si suala la Muungano. Huko Bara wanaofungia leseni ni EWURA lakini haiko huko Zanzibar hivyo basi lieni na Wakuu wenu.
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi huwa siwaelewi kabisa Wazanzibar. Ni wakati gani wanakuwa WATANZANIA na ni wakati gani WANATAWALIWA na WAKOLONI wa BARA. Jambo likiwa lina manufaa kwao wanasema "si la muungano" wakigandamizwa na kuonewa, wanaanza kulalamika "serikali ya muungano haitujali" sasa tuwasaidiaje wenzetu hawa?
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Bara imekuwa Bangusilo!
   
 6. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hawa ni popo si ndege wala si mnyama, wakielewana wanajiita wazanzibari na cc wakoloni wa bara wakipata matatizo wanatuita ndugu zao.
   
 7. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimsingi Znz katika suala hili la mafuta wanajitegemea wala sio suala la Muungano, ndio maana hata kile kipindi sie huku tunafeel ile migomo ya wenye vituo vya kuuza mafuta kwa EWURA kushusha bei wao kwao walikua wanapeta tu, pia mtoa mada hajatupa sababu ya msingi isemwayo iliyopelekea Petrol iadimike ni nini????
   
 8. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimesoma kwenye mtandao eti Makamu wa Rais wa huko Zanzibar alikwenda kwenye vituo vya mafuta kutaka kujua kwa nini mafuta yameadimika? Nikasema kweli viongozi wetu wamekosa kazi za kufanya hadi wanapata muda wa kutembelea vituo vya mafuta kuulizia kulikoni wakati wangeweza kuwauliza watu wao wa usalama wakawaambia nini kinaendelea na wao wakafanya maamuzi. kaazi kweli kweli!!
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu hao ni kama popo ndege wakiitwa wanaenda na mnyama akiitwa wanaenda tuvumilie tu !
   
 10. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Zanzibar ni Nchi ongea na viongozi wa nchi hiyo
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huku bara hawawezi fanya hayo mavitu kabisaaaaaaa!!!!!!
   
 12. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Du! Kwa kweli Huko kwenu kuna aina tofauti ya utawala,kwa hiyo nakushauri uwaite waunguja wenzio humu jf ili mpange mbinu mbadala ya mapinduzi ya kweli ktk mfumo wa kiutawala.OTHERWISE ZITABAKI PANG'ANG'A TU
   
Loading...