TANESCO cornered in London- Dowans Case | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO cornered in London- Dowans Case

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bitabo, Feb 25, 2012.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]The Citizen
  [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Saturday, 25 February 2012 08:33
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  [​IMG]By Bernard James

  Dar es Salaam. Tanesco will have to put down a deposit of Sh40 billion to get a London court to suspend an order that it pays Dowans $65.8 million. The British commercial court said last week that it was not ready to postpone an application in which Dowans is seeking to enforce the award unless Tanesco lodges $25 million with the complainant as security.

  The order came after Tanesco asked the court, for the second time, to postpone an application filed by Dowans late last year in London to enforce the award given by the International Chamber of Commerce (ICC) in November 2010.
  Counsel for Dowans, Mr Kennedy Fungamtama, confirmed the development yesterday but refused to go into details. “The reports you have are true,” said the lawyer, “but due to the nature of the case, I am not ready to discuss the matter at this moment.”

  A lawyer who had been representing Tanesco in the matter, Dr Alex Nguluma of Rex Attorneys, said he was not aware of the development as his firm was not representing Tanesco in the London case. He advised The Citizen on Saturday to contact Tanesco directly. The company officials could not be reached.

  The London court’s ruling is a big blow for Tanesco, which won a reprieve on Monday when the High Court in Dar es Salaam declared it was free to appeal the ICC’s award.

  In November last year, the High Court rejected Tanesco’s plea to block enforcement of the award in which the ICC ordered the public firm to pay the amount for breach of a power generating contract. Tanesco promptly applied for permission to appeal the decision along with another application to block execution of the decree.

  But, in a move to make it easy to attach or seize Tanesco’s property in London, Dowans filed an application at the London court seeking recognition and enforcement of the ICC award. Tanesco then filed an application for adjournment of the recognition and enforcement of the award.

  Under international rules, Dowans is free to file such an application in any country where it believes it can execute the decree.

  The London court granted Tanesco an application for postponement of the matter on condition that it provides to Dowans $70.3 million (about Sh112 billion) as security, which is interest calculated as of May 6, 2011.

  According to court documents, the $70.3million amount is attracting interest at a daily rate of $11,642.59 (about Sh18 million). This means that Tanesco will have to pay an additional Sh4.8billion if the interest is calculated from May 6, last year. The first order to deposit security was issued last year, the sum being $5million. The London court ordered Tanesco to deposit the amount in the form of guarantee from a first class London bank.

  Dowans will, moreover, be at liberty to apply to restore its postponed application for recognition and enforcement of the ICC award, a condition that Tanesco complied with.Subsequently, Dowans filed another application in the same court to restore its previous application for recognition and enforcement of the ICC award.

  On February 16, the London court agreed to Tanesco’s plea for postponement on condition that the firm put up additional security of $25million in addition to the existing $5million.If Tanesco fails to deposit the amount, the London court can proceed to consider the Dowans application for enforcement of ICC award.

  The case springs from an ICC decision in November 2010 to award Dowans Holdings SA (Costa Rica) and Dowans Tanzania Limited $65.8 million for wrongful termination of a power generation contract in 2008.

  Tanesco has since been fighting to have the decision set aside. The public power utility firm alleged that public procurement rules were grossly flawed in 2006 when the government directed Tanesco to award the contract to Richmond Development Company, which later passed on the contract to Dowans.

  According to Tanesco, the ICC deliberately disregarded evidence that the procurement of the power agreement was carried out in the absence of a valid tender after Tanesco’s tender board cancelled the initial award.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mkataba huu i muendelezo a mikataba mingi inayo wekwa na watawala kwa manufaa ya watawala na familia zao.
  Mikataba mingi imesainiwa lakini matokeo yake nchi inaingia kwenye heka heka za kulipa bila kuonesha pesa au mkopo huo umepokelewa na nani, tunacho kiona ni kuona viongozi wana hangaika kulipa. MBONA HIZO MIKOPO AU MIKATABA HATUONI KAMA INASAIDIA JAMII AU NCHI??

  nIKIPATA NAFASI SIKU MOJA NTAFILISI HAWA VIONGOZI WA KITAIFA AMBAO WANA MAISHA YA ANASA, NA HIVYO KUTOKUJUA RAIA WA KAWAIDA WANAVYO PATA SHIDA
   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Ninajua nitashambuiliwa hapa JF, Lakini nitasema KWELI FITINA kwangu mwiko.

  Tanesco wana fight a losing battle. Na kutokana na hii dilly dally ya TANESCO
  tutaishia kuwalipa pesa nyingi DOWNS. Riba ya Sh 81 milioni kila siku ni nyingi
  mno. Just imagine kwa miezi 6 tangu ruling hiyo imetolewa tunahitaji kulipa riba
  pekee ya Tsh 18,000,000 x 30 x 6 = ? It is a hell of money achilia mbali tozo
  yenyewe ambayo ni Tsh Bilion 98. N kwa ujinga huu Riba itakuja izidi hata TOZO yenyewe.

  TANESCO haina chance ya kushinda kesi hii. Kutokana na mkataba walio sign KIFISADI
  TANESCO itabwagwa chini. Tulipe pesa ya watu jamani, halafu tuwashughulikie wale
  wote waliotuingiza kwenye MKENGE huu hata kama itakuwa kuwafilisi mali.
  Mbona Sokoine aliweza?

  Lakini kwa ombe na ULEGEVU wa JK this is a wishful thinking.
   
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Ujanja ni kulipa,hizi kesi zinazidi kuongeza riba na hivyo kuzidisha deni. Tumefikishwa hapa na siasa za visasi,chuki na majitaka baina ya makada wa Chama cha Mapinduzi.
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Can't the 40+ m Tanzanians detain the culprits? I am frustrated.
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hebu niuliuze swali la kizushi: je tukikataa kulipa, itakuwaje?
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,653
  Trophy Points: 280
  London court.....London court.... London.... Wtf....
  Je tusipolipa nani atatushika? Tanesco just kaeni kimya wala msihangaike tuone nani atawafuata? Nani atablock ur account? Jibu ni hakuna, Dowans wezi na mwizi anajulIkana, this is vita na wananchi, HAKUNA KULIPA.
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hivi ikiwa Tanesco inadaiwa ktk korti inakuwaje serikali yetu inakataa kufanya uchunguzi kujua hilo deni limetokana vipi?..Tunadaiwa hayo mabillioni kutokana na UZEMBE (ufisadi) wa baadhi ya watu ambao wapo nchini na wengine ni viongozi, sasa inakuwaje tupo radhi kuliweka shirika ktk hali ile na sio wahusika wenyewe?

  Mimi nadhani tunahitaji mbunge au Wabunge washujaa walirudishe swala hili bungeni kujadili kesi hii ya Tanesco na hapo tutarudi nyuma hadi kufahamutumefikaje hapa tulipo! Kwa nini tusianzze ku establish ukweli wa janga hili ili iwe ndio utetezi wa Tanesco?
   
 9. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Na tusipolipa???!!!

  Hawa dawa yao ni kuwachelewesha mahakamani hadi 2015 serikali ya wananchi itakapoingia kisha tunawachenjia kwa kesi ya uhujumu uchumi; MAFISADI wenyewe wabongo wenzetu kisha tunazinguana hapa!
   
 10. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Haujakosea katika hili kwani katika kesi hii ni vigumu kutenganisha mdai na mdaiwa (Tanesco na Dowans). Hata tukisema Tanesco ni shirika letu la umma lakini wanaoliendesha na kulisimamia si "wenzetu" ni mafisadi ambao kwa hakika wao na Dowans lao moja. Ni joto la kisiasa tu ndilo linawafanya waone haya kidogo na kutupa danganya toto ya kuhangaika mahakamani kutetea haki yetu.

  Lakini najiuliza swali zito. Hivi tukiamua hatulipi kabisa tutapata hasara gani itakayozidi kiwango cha hilo deni lenyewe? Na je, hatutakuwa tumetuma ujumbe mzuri sana kwamba michezo ya aina hii haina tija tena nchini? Nionavyo, kelele nyingi za Dowans ni kwa vile mafisadi wetu wanatafuta mwanya wa kutuibia kimafia na bado wabaki na heshima zao.
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Umeongea ukweli mkuu,tanesco are fighting for a loosing battle!dawa ni kulipa na kuwashikisha adabu kwa kuwafunga jela,kutaifisha mali zao kama watakingiwa kifua na watawala basi tunahakikisha tunawaadhibu kwa mawe na kuharibu mali zao,wajue kua watanzania sasa tumechoshwa na baadhi ya watu wachache kucheza na akili zetu
   
 12. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mkandara,

  Hii kesi ni ngumu sana kuzingatia kwamba erikali haiwezi kuingilia uhuru wa mahakama kufanya kazi yake.

  High Court ya Tanzania ilikwishatoa hukumu kuamuru Tanesco ikate rufaa kwa upande wa Tanzania. Hii pia ni hasara sana ya fikra kwani hawa mawakili wa Rex wanaoiwakilisha Tanesco wanasema hawafahamu kuhusu suala la Dowans kufile- case mjini London.

  Halafu Dowans sielewi wanafahamu vipi kwamba Tanesco imehifadhi mali zake London. Haya yote ni mazingaumbwe ambayo ni mchezaji na wale wasaidizi pekee ndio wanafahamu.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,586
  Likes Received: 82,136
  Trophy Points: 280
  ...Sidhani kama kutatokea lolote lakini huwezi kujua, ila kama atakamatwa yule Kikwete kwa kukataa kuwalipa hawa mafisadi wa Dowans nchi italipuka kwa furaha kubwa.
   
 14. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Sio ujanja tu mkuu, ni busara pia. Tulipe halafu tukomae na katiba mpya yenye kuwa na maslahi ya taifa hili. Waliotuletea Richmond wanajulikana, waliopendekeza Rostam ndo anusuru jahazi lisizame (la Richmond) ni Lowasa na JK akaafiki. Nina wasiwasi kama hii haikuwa a carefully planned deal, kwani Rostam alikuwa on the ready na kuwaleta Dowans chap chap. Kilichofuata ni hiyo mikataba iliyosainiwa Tz lakini kama msipokubaliana mwende London.
  Hao watu watatu ndo wa kukamua baadae waturudishie pesa zetu. Rostam mwenyewe alikwisha sema kwamba hizo pesa kwake anazitengeneza kwa mwezi mmoja! Jamani, kwa mtaji wa pesa zetu.
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Tuachena na hiyo ya UK mimi nazungumzia hapa hapa nyumbani..Je, Tanesco wenyewe hawawezi kufungua kesi hapa nchini dhidi ya serikali? wakidai serikali ndiyo iliyowaingiza ktk kadhia hii maana ushahidi wanao. Kama sio Tanesco wabunge wetu hawawezi kurudisha swala hili la malipo maana hizi tunazodaiwa ni fedha za Umma, wananchi tuna haki ya kuelewa tunalipa kwa sababu gani na kilitokea nini hadi tudaiwe fedha hizo!
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mkandara,
  Mnyika amejaribu kulirudisha suala hili bungeni lakini Makinda amempa stop. Njia bado ni ndefu kweli kweli.
   
 17. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuwalipa wezi ni kosa kubwa, Watanzania tukatae fedha zetu kulipwa wezi.Huu ni mtihani mwingine kwa JK baada ya ile ya Mchakato wa Katiba mpya.Mafanikio ya hili yatampatia kuwa Rais mstaafu huru kinyume ni kuwa hata CCM ikishinda 2015 hata kuwa salama kama fedha zetu zitalipwa kwa mafisadi.
   
Loading...