Dr. Bana: CCM bado ni chama imara, kinasikiliza watu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Bana: CCM bado ni chama imara, kinasikiliza watu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Feb 24, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...Anasema CCM bado ni imara kwenye utawala,chama kinachoonesha kina vision na kinasikiliza watu/wananchi na kutoa masuluhisho kwa wakati mfano dhana ya kujivu gamba,ni imara kwenye mfumo wa uongozi,anasema ina-policy nzuri kuliko vyama vingine akasema hata ukisoma ilani ya chama ya uchaguzi ni nzuri kuliko vyama vingine,na anasema ni chama kinachoongozwa kwa utaratibu na sio kama NGO..hapa anaongea kupitia THIS WEEK IN PERSPECTIVE muda huu...

  My take:
  Huyu Doctor anaelekea pabaya,kama hata hasomi majira na nyakati lol!!
   
 2. M

  Mwanazuoni Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bana ndio kauwa REDET..
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kawaida ya msomi kuongea ukweli.
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  siku ya kuupata uhuru wetu tunamvua u-dr. kwa sababu alipigana upande wa adui yetu. ni wazo langu tu wajameni
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ana shida gani? Kwa elimu aliyonayo na position alizopewa na ulevi wa shibe mnategemea aone shida za watanzania?

  Ni watu wachache sana ambao wanakuwa kwenye priviledged positions halafu wakaweza kuyahisi matatizo ya wengine. Sishangai,
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Huyu dokta PhD yake alitunukiwa na MUM nini?
   
 7. R CHUGGA

  R CHUGGA Senior Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sijui anamuogopa huyo Chiligati hapo pembeni yake!
   
 8. k

  kajunju JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kama bana anasema sera za ccm ni nzuri zaid ya vyama.ni chama gani kilikuwa na sera ya mabadiriko ya katiba. Kikwe kaitoa wapi?nchi hii imefishwa hapa na huyu bana.mkandara na kabudi.kabud aliufagilia mswaada wa mabadiriko ya katiba. Leo alichofagilia kiko wapi?
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wakuu, Dr Bana si msomi tena kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam, leo imekuaje mnakataa mawazo ya msomi mwenzenu.
   
 10. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  ha ha ha.. anafanya kazi ya state huyo.. 2015 atazawadiwa nafac ya kugombea ubunge.. :yawn:
   
 11. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hana lolote huyu namfahamu sana aliwahi kufanya kazi Sigara kama Training manager ni mkabila. Huu mtazamo alio nao juu ya CCM anaomba ateuliwe uwaziri.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kuna nafasi 7 za bure bungeni za kuteuliwa na rais bado zipo wazi.
   
 13. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Sasa kama doktoli anakuwa na mawazo ya hivi je sie wauza maji ya viroba si ndo kwishneii.........
   
 14. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Bana anadhalilisha wasomi wa UDSM.. Kujikomba ili kupata cheo na consultancy za serikali. natamani sana hii tabia tungeiacha usomi wetu ungekuwa wa maana...
   
 15. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Bana hafai kuwa Mbunge wa chama chochote. anajijua ndio maana hata hajiamini anabaki kupiga propaganda.
   
 16. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hamtakiwi kumlaumu Dr Bana hata kidogo. Niwakumbusheni ilianzia kwa Prof Mkandara wakati akiwa mwenyekiti wa REDET alihakikisha anachakachua utafiti accordingly hadi CCM ikaonekana kuchinda kwa kishindo mwaka 2005. JK akamzawadia nafasi ya kuwa mshauri wake wa maswala ya siasa mara baada ya uchaguzi kumalizika mwaka 2005.

  Nafasi ya uenyekiti wa REDET aliiacha kwa Dr Laurian Ndumbaro. mwaka 2007 Prof Mkandara akapewa u-VC kwa madai ya kuwashinda maprofesa mahiri kama Prof John Mshana na Prof Nkunya Mayunga ambao waliamua kuondoka zao UDSM baada ya uchakachuaji wa mchakato wa kumpata VC. Aliporudi UDSM kama VC, JK akamteua Dr Ndumbaro kwenye Ikulu kuwa mshauri wa maswala ya siasa nafasi aliyokuwa nayo Mkandara. Hadi sasa yuko pale.

  Dr Bana aliachiwa uenyekiti wa REDET na Dr Ndumbaro. Ni wazi maji yanafuata mkondo. Ni lazima afanye hivyo anavyofanya sasa ili kutimiza malengo ya REDET kuhakikisha CCM ya JK haianguki. Pia anatarajia atapewa nafasi yoyote kabla jamaa hajaonoka magogoni mwaka 2015. So hamtakiwi kumlaumu Dr Bana hata Kidogo. lazima amtumikie kafir ili apate mradi wake!!
   
 17. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Watu kama hawa ndio wanaua maana nzima ya umuhimu wa intellectuals in politics. Intellectuals are supposed to rise above partisan politics and concern themselves with larger social and national issues. Intellectuals like Bana:

  Are supposed to give our society its own image;
  Are supposed to articulate our hopes and fears;
  Are supposed to clarify important issues to the less educated and knowledgeable;
  Are supposed to warn us of impending dangers;
  Are supposed to cajole us into action;

  Ama kweli, "Good Politicians Need Not Be Intellectuals".
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Naanza kutilia shaka hii Phd yake kaipata chuo gani?
   
 19. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Huyu Dr kweli huwa na mkubali class ila akitoka nje huwa ni kero.....hata class inahitaji uvumilivu mkubwa
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  yule muhaya bei rahisi.

  unaweza kumnunua kwa chipsi mayai.
   
Loading...