Kikwete huyu ni yule wa enzi zile?

Wakuletwa

Senior Member
Oct 31, 2010
134
9
Kikwete yule alie kuwa mbunge wa Bagamoyo badae Chalinze si dhani kama ni huyu.
Kikwete yule waziri wa nishati then Waziri wa fedha si dhani kama ni huyu.
Kikwete yule waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa si dhani kama ni huyu

Kikwete huyu mbona hafanani na yule..
Sina hakika kama kikwete huyu ni yule..
Kuna tofauti kubwa sana kati ya huyu na yule...
Kikwete mchapa kazi..
Kikwete mpenda watu
Kikwete wewe kweli ni yule hata siamini!
Kikwete nchi imesimama.. watu wanalia wewe unacheka! Sidhani kama wewe ni yule..

Kikwete hebu tueleze ukweli basi tatizo ni nini?
Kikwete, Kikwete nashindwa kuamini kama kweli ni wewe ambae nchi nzima ilizizima ulipoteuliwa na chama chako.
Sema Kikwete, sema kama kuna tatizo tujue.
 
nyerere alionya mda mrefu nyie mkajua ana spread propaganda ili mkapa apite lakin sahv mnaelewa alikua anamaansha nin eeh.?
 
Kikwete "yule" alikua bado hajaupata uraisi toka kwenu. Siku zote mtu huwa mnyenyekevu zaidi wakati wa kuomba uchumba kuliko baada ya ndoa.
 
Naona tatizo ni wewe na si Kikwete. Ulitaka akuletee bahasha?
 
Kikwete yule alie kuwa mbunge wa Bagamoyo badae Chalinze si dhani kama ni huyu.
Kikwete yule waziri wa nishati then Waziri wa fedha si dhani kama ni huyu.
Kikwete yule waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa si dhani kama ni huyu

Kikwete huyu mbona hafanani na yule..
Sina hakika kama kikwete huyu ni yule..
Kuna tofauti kubwa sana kati ya huyu na yule...
Kikwete mchapa kazi..
Kikwete mpenda watu
Kikwete wewe kweli ni yule hata siamini!
Kikwete nchi imesimama.. watu wanalia wewe unacheka! Sidhani kama wewe ni yule..

Kikwete hebu tueleze ukweli basi tatizo ni nini?
Kikwete, Kikwete nashindwa kuamini kama kweli ni wewe ambae nchi nzima ilizizima ulipoteuliwa na chama chako.
Sema Kikwete, sema kama kuna tatizo tujue.
Alifanya nini cha maana kabla ya kuwa Rais?.Kma Watanzania wangekuwa ni jamii ya watu makini wangegundua mapema kuwa huyu bwana hakuwa hata na chembe moja ya vigezo vya uongozi.Ni bahati mbaya sana hata mimi nimeingia kwenye historia ya kizazi cha Watanzania waliochagua RAIS wao kwa sifa ya kuwachekea tu.
 
Aliwezesha IPTL kupata mkataba wa kudumu wa kuwaibia watanzania.
Aliweza kuchota pesa benki kuu na kuunda mradi maarufu sana wa EPA uliowanufaisha watanzania.
Aliwahi kuleta sifa kwa nchi kwa kupenda starehe na mabibi hadi siku moja akasahau passport huko Ulaya akiwa na akina Ulimwengu walioituma baadaye.
Anasifika kwa kuwa rais poa anayeweza kwenda kutanua Davos wakati wa mgomo wa madaktari huku mwenzake akisita kwa sababu ya confirmation tu ya kesi za wakenya wanne.
Anasifika kusafiri kuliko rais yoyote duniani hadi akaitwa Vasco da Gama.
Ni rais pekee aliyeweza kuahidi mengi na kutotenda hata moja.
Anasifika kwa kuchekacheka hata wakati wa misiba.
Endeleza
 
Yah! Brothers Kikwete is still mtu wa watu, anagonga sana mikono na watu katika ziara zake mbalimbali. Anahudhuria misiba sana na kutembelea wagonjwa, anapenda sana sherehe na ni mtu wa tabasamu kila wakati. Jamani hapo mnataka nini tena?
 
Kikwete ndo Rais anae reflect tabia za watanzania,utani kwny ishu za msingi,uwong,kupenda starehe kuliko kazi,ngono n.k so haina haja ya kulalamika!
 
Back
Top Bottom