Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

Gamba Jipya

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
401
80
Mkuu Willy heshima mbele sana,

Nakushauri uende Arumeru kwenye kampeni management team ya chama ili uweze kujifunza siasa za Bongo, japokuwa kuchukua jimbo lile itakuwa rahisi sana kama uzini lakini bado naamini kuna vitu viwili ama vitatu utajifunza, ili uweze kujipanga kwa 2015 kunyakua jimbo Dom, naamini utajifunza sana ukiwa Arumeru ground zero.

Natumai tuko ukurasa mmoja, katika kuendelea kumkoma nyani giladi.
 
huna sifa za kutumia ID ya Willy Gamba! Kichwa chako kimejaa ujinga wa kupitiliza! Usinajisi hayo majina mkuu!
 
huna sifa za kutumia ID ya Willy Gamba! Kichwa chako kimejaa ujinga wa kupitiliza! Usinajisi hayo majina mkuu!

Tuko pamoja mkuu, unaonaje kama le Baharia akiingia kwenye kampeni team ya chama, ground zero Arumeru?..
 
Willy Malecela ni nani hapa Tanzania? Au kwa sababu Sioi Sumari amerithishwa nafasi ya baba yake na huyu naye mnataka kumrithisha nafasi ya baba yake? CCM haina chake tena 2015!
 
Tuko pamoja mkuu, unaonaje kama le Baharia akiingia kwenye kampeni team ya chama, ground zero Arumeru?..

Magamba mna shida sana.
Baharia hawezi kwenda huko, kwani at the end of the day ni aibu.
Afu inaelekea jamaa unamzimia kiaina, mwambie akukune...
 
Willy Malecela ni nani hapa Tanzania? Au kwa sababu Sioi Sumari amerithishwa nafasi ya baba yake na huyu naye mnataka kumrithisha nafasi ya baba yake? CCM haina chake tena 2015!

Mkuu mbona kuna mwenyekiti amerithishwa nafasi ya baba mkwe wake, inamaana na yeye hafai?...hahahaha.

Rudi kwenye hoja hayo mambo ya kurithisha yafungulie thread nyingine tutakuja kujadili kwa hoja...hahahaha..
 
Kujipendekeza na kujibamiza kwa mtu bila sababu. Kwani yeye hajui kuwa kuna uchaguzi aRUMERU hadi upige domokaya?
UKITUMWA kwenda kumfutia viatu vyake SHOESHINE usikatae pambaaf weye!
Anyway, huenda bado amebakiza keyholders, unaweza ambulia moja!...huh!!
 
Mara nyingi nimekuwa na kwazika sana na huyu @NYC, lakini litakuwa jambo jema aje Arumeru ajionee kwa macho yake nguvu ya E.L kanda ya kaskazini, huku ndiko ziliko siasa zenye kupanga mstakabali wa Taifa letu come 2015.

Karibu Arumeru tukufundishe siasa bwana NYC.
 
Mkuu Willy heshima mbele sana,

Nakushauri uende Arumeru kwenye kampeni management team ya chama ili uweze kujifunza siasa za Bongo, japokuwa kuchukua jimbo lile itakuwa rahisi sana kama uzini lakini bado naamini kuna vitu viwili ama vitatu utajifunza, ili uweze kujipanga kwa 2015 kunyakua jimbo Dom, naamini utajifunza sana ukiwa Arumeru ground zero.

Natumai tuko ukurasa mmoja, katika kuendelea kumkoma nyani giladi.
Nahisi hizi ndo zile nasikiaga ni fikra mfu. Siamini macho yangu. Duh, tz neva stops amazing me.
 
Mkuu mbona kuna mwenyekiti amerithishwa nafasi ya baba mkwe wake, inamaana na yeye hafai?...hahahaha.

Rudi kwenye hoja hayo mambo ya kurithisha yafungulie thread nyingine tutakuja kujadili kwa hoja...
hahahaha..

hahahaha mkuu kwani uchaguzi tayari, kwa nini hutaki aende...hahaha...

Mkuu hapendwi mtu hapa, hapa ni hoja tu na si vioja....hahahaha....

Hahaha tuko pamoja mkuu,....nashangaa kwa nini watu wengine wanamuogopa sana le baharia..
Watu kwa kupenda sifa mtu anajianzishia thread kwa kuji-promo.
 
Willy Malecela kwanini usitumie ile user name yako sahihi badala yake unaitumia hii ya bandia ili kujipigia debe? Unajishushia credibility yako hapa jamvini. Ni ushauri tu lakini
Kumbe na wewe umegundua ajabu anatumia ID bandia lakini uandishi wake ni ule ule hahahaha, ila amenisaidia angalau nimejua Gamba Jipya ni nani.
 
Naona Le Baharia ameingia na ID yake nyingine kujipa ujiko Gamba Jipya= Willy J M
 
Kumbe na wewe umegundua ajabu anatumia ID bandia lakini uandishi wake ni ule ule hahahaha, ila amenisaidia angalau nimejua Gamba Jipya ni nani.

Na ukitaka kuthibitisha zaidi kuwa huyu GAMBA JIPYA ni Willy Malecela mwenyewe, jaribu kutafuta post za nyuma za Willy Malecela, style yake ya uandishi ni hii hii ya Gamba Jipya, Shame on him!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom