Heche alipewa kidongo tanga akapanic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heche alipewa kidongo tanga akapanic

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Feb 25, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  'NI AIBU SANA KWA SISI BAVICHA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU, MWENYEKITI TANGU AMEKUJA TANGA KWENYE ZIARA HII HAJAWAHI KUOMBA HATA KUONANA NA UONGOZI WA BAVICHA TANGA, HAKUNA HAJA YA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU' ni maelezo ya katibu wa bavicha tanga walipokuwa kwenye kikao cha tathimini ya kuhitimisha mikutano ya ziara ambayo naibu katibu mkuu wa cdm Zito kabwe alikuja na kundi la vina hao, heche, mwampamba, juliana n.k
  baada ya kutupiwa lawama hizo za kweli na zinazoonyesha udhaifu wake, heche alisimama na kuaminisha watu jinsi alivyodhaifu kwani alijibu kwa kupanic na kusema matatizo ya bavicha wilaya tanga sio yake bali ni ya mwenyekiti bavicha wa mkoa, pia akasema hakuwa tanga kwa ajili ya bavicha.
  heche anaejiita IGWA ni hasara, baada ya yeye kuondoka wanatanga viongozi na wazee washauri walisema hakuna haja ya kutegemea ushauri kwa kijana kama yule.
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Msijali watu wa Tanga, kila mtu na mapungufu yake!! kinachotakiwa hicho kisiwe sababu ya kuchelewesha ukombozi wa taifa, jitahidini watu wa Tanga kutupa raha kwa kuonyesha kuguswa na hali mbaya za maisha!
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ya VINEGA waachie VINEGA!
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Hapo ni kuchanganya maada. kwanini watanzania tusijifunze kufuata ratiba? je ratiba ya kukutana BAVICHA ilikuwepo?. Kama haikuwepo sioni kosa lake.
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sawa sawa mkuu
   
 6. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nikweli lakini Heche anapaswa kujua mkubwa jalala ajaribu kutumia busara wakati anajidefend na kashfa yangu ni hayo kwa leo
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wewe ni ndugu yake Kim Kardash na Tumtemeke ambao mnaposti ujinga hapa ujinga kila siku.Kubalini kushindwa uchaguzi mjaribu bahati yenu wakati mwingine.Kushindwa kweni uenyekiti Bavicha na Heche akashinda isiwe balaa.Tukubali demokrasia
   
 8. m

  mama-lokatare Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu atamuangazia nuru next time mtakutana naye.
   
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  wewe ni nani au ndo umetoka kwa kameruni leo? mbona akili zako za kimervi sana, ngoja wakusikie wakupandie
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kutukana kwako kunakuvua nguo kukuonyesha ulivyo na dhamira yako ovu ilivyo.Sisi wote unafahamu sana tulikuwa tunagombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi ule wa Bavicha.Wote tulishindwa.Mbona nyie hamkubali matokeo na kumwachia mwenzetu afanye kazi? Majungu hayatatufikisha popote.Heche usijali songa mbele uchaguzi Bavicha ulishamalizika.Tunakuunga mkono.Asiyekubali kushindwa si mshindani.
   
 11. DEUS NSHANGE

  DEUS NSHANGE Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  nafikiri wanachadema tujenge chama baada ya kuangaliana boriti iliyo kwenye mboni zetu. Heche anafaa, ndo maana alichaguliwa kuwa m/kiti wa bavicha taifa. La sivyo, tusubiri uchaguzi mwingine. Chadema daima, mbele daima
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono kwa asilimia mia mkuu.Sisi tuligombea uongozi Bavicha kura hazikutosha akapata mwenzetu.Sasa wengine hawataki kushindwa wanadhani wameonewa ndio maana kila leo watu wanaingia JF na ID tofauti kumtukana Heche na kukikashifu chama.
   
 13. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaonekana dhahiri una chuki binafsi na heche,na umeandika kumkomoa na wala sio kumbadilisha.vijana kama nyie ni hatari ndani ya chadema,heche alionekana anafaa kati ya wote ndo maana akachaguliwa yeye na sio wewe.tujenge chama acha majungu!!
   
 14. O

  Omr JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe hata Heche anye jukwaani bado utamtetea.
   
 15. b

  binbinai Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hii post ni ya kimajungu,huyu katibu sijui mwenyekiti bavicha mkoa ndie angetakiwa kuandaa ratiba na kumkaribisha mgeni aongee na wanachama. Na akumbuke heche amekuja na ratiba zake za mikutano ya wananchi hivyo hana haki kutuaminisha vijana kuwa heche alikosea chochote kutokuitisha mkutano wa bavicha tanga.

  Nahisi huyu atakuwa gamba,la sivyo ule uchawi wa maji marefu unafanya kazi na jini ndilo linaongea na si yeye.
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Huna akili we! Hii haja kubwa ndo unaileta jamvini tuijadili? Pambaf toa nyesi lako haraka! Jini we!
   
 17. C

  Chintu JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 3,403
  Likes Received: 857
  Trophy Points: 280
  Hoja yako ilikuwa na mashiko mkuu ila ulivyoiandika si kwa kujenga bali kubomoa. Ndio maana imekuwa rahisi kujua dhamira yako kuandika hii thread. Next time toa kasoro na ushauri bila kuonyesha chuki zako.
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mleta mada unajua maana ya "PROTOCOL"? Nijibu and then......
   
 19. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kwamba namtetea ukweli ndo huo mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
   
 20. d

  davidie JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inategemea aina gani ya kinyesi na alikuwaje mpaka akajisaidia jukwaani, lakini wewe ambae hauwezi kupembua mkojo na kinyesi ninamashaka maana unaweza ukamuona mtu amelowa jasho ukasema kajikojolea( maana yake ni muhimu kupambanua mambo kabla haujayatolea hukumu)
   
Loading...