JOSHUA NASARI karibu JamiiForums uongee na watanzania

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,181
103,680
Heshima yako mkuu, kwanza hongera kwa ushindi wa kishindo ktk kura za maoni ambao nadhani hautatofautiana sana na ushindi wenyewe!

Ningependa nichukue fursa hii kukuomba uje hapa jamvini ujadili na great thinkers (japo sio wote) ni jinsi gani tunaweza kujenga Arumeru na Tz kwa ujumla wake. JF ni mtandao usiokwepeka kwa sasa, naamini ya kuwa unapata fursa japo ya kuchungulia kilichomo, laini sasa ni mda mwafaka wa kujitokeza rasmi kama Mwamba wa Kaskazini ili tubadilishane mawazo juu ya mchakato mzima wa kampeni na uchaguzi AM. JF imejaa vijana wenye vipawa wenye high thinking capacity na wapo wanaokuzidi hata wewe, wanaojua vizuri siasa ya Arusha na Tz, njoo upokee mawazo yao. Pia be patient, utakutana na wakatisha tamaa walioapa kutumiwa na Magamba mpaka mwisho wa pumzi zao, wavumilie!

Huku tukikusubiri kwa hamu toka moyoni tunaanza safari ya majadiliano ya sisi kwa sisi
.Naamni ujumbe utakufikia kwa namna yoyote ile, Dr.Slaa, Zitto, J.Mnyika mfikishieni ujumbe bwana mdogo,tunahitaji kumpa mawaidha maana tunajua anayo safari ndefu kufikia malengo ya Wana-Arumeru.... Peopleeeeez Power, Pamoja tutashinda
 
Huwezi kumuita mtu mbunge hata uchaguzi bado mbona una haraka hivyo! Hivi mtu kuwa great thinker mpaka uwe Chadema?
 
Heshima yako mkuu, kwanza hongera kwa ushindi wa kishindo ktk kura za maoni ambao nadhani hautatofautiana sana na ushindi wenyewe!ningependa nichukue fursa hii kukuomba uje hapa jamvini ujadili na great thinkers(japo sio wote) ni jinsi gani tunaweza kujenga Arumeru na Tz kwa ujumla wake. JF ni mtandao usiokwepeka kwa sasa, naamini ya kuwa unapata fursa japo ya kuchungulia kilichomo, laini sasa ni mda mwafaka wa kujitokeza rasmi kama Mwamba wa Kaskazini ili tubadilishane mawazo juu ya mchakato mzima wa kampeni na uchaguzi AM. JF imejaa vijana wenye vipawa wenye high thinking capacity na wapo wanaokuzidi hata wewe, wanaojua vizuri siasa ya Arusha na Tz, njoo upokee mawazo yao. Pia be patient, utakutana na wakatisha tamaa walioapa kutumiwa na Magamba mpaka mwisho wa pumzi zao, wavumilie!

Huku tukikusubiri kwa hamu toka moyoni tunaanza safari ya majadiliano ya sisi kwa sisi
.Naamni ujumbe utakufikia kwa namna yoyote ile, Dr.Slaa, Zitto, J.Mnyika mfikishieni ujumbe bwana mdogo,tunahitaji kumpa mawaidha maana tunajua anayo safari ndefu kufikia malengo ya Wana-Arumeru.... Peopleeeeez Power, Pamoja tutashinda

Haya matumaini mnayokuwa nayo huwa yanawaponza mwisho wa siku mambo yakienda ndivyo sivyo mnaanza kutoa visingizio vya kuibiwa kura. Acheni kujipa matumaini bhana ngoma bado iko jikoni hiyo.
 
Huwezi kumuita mtu mbunge hata uchaguzi bado mbona una haraka hivyo! Hivi mtu kuwa great thinker mpaka uwe Chadema?

mkuu hakuna sehemu niliyosema CCM sio great thinkers,wala CDM ndio great thinkers pekee, pengine ni wewe kujishitukia tuu. nilicho hadharisha ni juu wanaotumika vibaya na Magamba,nchi hii inajengwa na yeyote bila kujali itikadi, ndo maana hata we mtani nimekukaribisha tumshauri Kamanda
 
ndio ni mgombea lakini ni mgombea wa kipekee,acha tumuite mbunge coz wengi wape bwana hatuna jinsi ya kuikwepa title hiyo
Ndio ni mgombea wa kipekee lakini naona si vizuri kuanza ku publish vitu kama hivi hata kabla ya kampeni kuanza, tutendee haki uwaombe Mods wabadilishe heading.
 
Nasari amewashika magamba pabaya! ngoja wakapeane rushwa mara ya pili!
 
TULISHAWAHI KUKAA NAE MAHALI, huyu bwana bado hajajiunga na JF!...Ninaamini atakuwa member soon!
Tutamwagiza Nanyaro ampe full ishu!
 
TULISHAWAHI KUKAA NAE MAHALI, huyu bwana bado hajajiunga na JF!...Ninaamini atakuwa member soon!
Tutamwagiza Nanyaro ampe full ishu!

halima mdee mbona kimya au alipima upepo akaona pamoto akaishia kimyakimya.
 
TULISHAWAHI KUKAA NAE MAHALI, huyu bwana bado hajajiunga na JF!...Ninaamini atakuwa member soon!
Tutamwagiza Nanyaro ampe full ishu!

fanyeni hivyo wakuu,Nanyaro anaijua vizuri hii kitu JF,RIP Regia Mtema! kwa nini sasa isiwe Kamanda Nasari
 
  • Thanks
Reactions: FJM
ANAJUA KUTUMIA COMPUTER AU UNAMUALIKA TUUU HAPA MWENZIO HANA HABARI NA HAYA MAMBO YUKO ZAKE NA LEMA NGARAMTONI WANAPATA MSUBA NA KACHASU hahahaaaaaaaa;;;
 
ANAJUA KUTUMIA COMPUTER AU UNAMUALIKA TUUU HAPA MWENZIO HANA HABARI NA HAYA MAMBO YUKO ZAKE NA LEMA NGARAMTONI WANAPATA MSUBA NA KACHASU hahahaaaaaaaa;;;

ninanukuu...''Pia be patient, utakutana na wakatisha tamaa walioapa kutumiwa na Magamba mpaka mwisho wa pumzi zao, wavumilie!''.....mwisho wa kunukuuu

Jirani tunajadili mengi humu kuhusu uchaguzi na msatakabadhi wa AM, ni vizuri kumshirikisha mwenzetu
Jirani, heshima yako kwanza. Mimi nimepropose hivyo kulingana na ratiba yake aliyonayo kwa sasa kama mgombea. Ana mambo mengi ya kufanya kwa sasa ndani ya kipindi hiki kifupi. Stress na pilikapilika za uchaguzi zikiisha ndipo ajiunge na hata akili yake itakuwa imetulia vizuri sana. Kwa sasa tumwache na ratiba ya shughuli zake. Thanks kwa wazo lako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom