Ofisi za CUF Musoma mjini zafungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi za CUF Musoma mjini zafungwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Mar 1, 2012.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni baada ya viongozi kujiudhuru na kudai chama kimepoteza dira.

  source: itv
   
 2. C

  Cupid 50mg Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha wananchi cuf tawi la Musoma lafungwa baada ya viongozi na wanachama wote kujiuzuri uanachama wa chama hichi tawi la Musoma

  My take; miezi miwili ijayo Cuf Tanzania Bara itakuwa history!.
   
 3. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  CUF haina jipya
   
 4. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Yule mgombea ubunge wao Wandwi nae karudisha kadi?
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Viongozi wote wa CUF wilaya ya Musoma wamejiuzulu uongozi na kujitoa uanachama wa chama hicho.
  Viongozi hao ni viongozi wote wa wilaya na kamati yote ya utendaji.Pia wapo waasisi wa chama waliojitoa.
  Sababu kubwa ya kujitoa ni kulaani ubaguzi ndani ya chama na pia kusema chama hicho kimeshakufa na kinasubiri kuzikwa.

  Source: HABARI ITV
   
 6. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Juzi Mtatiro kaja Urambo ilikuwa aibu! Watu walikuwa kiduchu sana hadi huruma, watajuta usaliti wa Maalim kwa wazanzibar utawatafuta hadi wabakie mifupa. Maalim, Mtatiro, Jussa wako kimaslahi zaidi. Maalim Seif ameua chama kabisa kukubali kuolewa na Shein.
   
 7. cheze

  cheze JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 80
  Wandwi naye kahamia wapi?
   
 8. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mood unganishas na ule uzi mwingine
   
 9. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Siasa za bongo, tutegemee mengi kuelekea 2015
   
 10. P

  Pelege Senior Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cuf ni chama cha wapemba! Kwisha habari yao wapemba.
   
 11. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Rip cuf
   
 12. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,322
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Saratani iliyoikuta cuf haitaibakiza. Ule ugangari ndiyo basi, maskini kipenzi cha dini yetu ndiyo unapuputika nikishuhudia!!!
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  MUSTAFA WANDWI na HUSSEIN WANDWI nao wamesalimu amri...Aiseeeee! Vyama vya upinzani kweli ni sawa na mitaji isiyotunzwa na wenye nayo.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tena Musoma walikuwa wanatafunwa na mzimu wa JULIUS DESUZA MASAKA aliyekuwa akitumikia chama wakati wa uhai wake huku familia yake ikilala njaa.
   
 15. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  hi hi hi...RIP CUF
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti wa CUF yuko Geneva anafurahia $$ za kazi anazofanya huko hajali kazi yake ya Uwenyekiti wa CUF?
   
 17. R

  Ritts Senior Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui kama Juma Mtatiro ana miezi miwili cuf,lazima ilo tshirt jekundu alivue
   
 18. B

  BARCA ON Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dhambi ya usaliti itazidi watafuna hadi mwisho na bahati mbaya hawakuweka msingi imara wa kuimarisha chama hasa bara
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,923
  Trophy Points: 280
  CUF is in grave condition.
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kujiuzulu
   
Loading...