...kwa mwanzilishi na mwenyekiti huyu adc(aliance fro democratic change) ina safari ndefu kisiasa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...kwa mwanzilishi na mwenyekiti huyu adc(aliance fro democratic change) ina safari ndefu kisiasa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwakiluma, Feb 29, 2012.

 1. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....Huyu si mwingine bali ni SAID MIRAJ...katika uchaguzi wa mwaka 2010 huyu ndiye mtu muhimu alichangia kushindwa vibaya kwa CUF katika nafasi ya urais kipindi hicho akiwa hana ugomvi wowote na chama...

  Jinsi alivyohusika...

  1. Ndiye aliyekuwa meneja wa kampeni wa Lipumba na kusababisha Lipumba apate kura kidogo mno...

  2. Ndiye aliyemshauri Lipumba kuendesha kampeni ya mtu mmoja mmoja huku akijua kuwa nchi hii ilikuwa na wapiga kura zaidi ya millioni 20 hivyo kuwafikia wote ingekuwa ni ndoto katika kipindi kile cha kampeni....

  3. Wakati tuhuma zikielekezwa kwa CUF na vyama vingine yeye hakujisumbua kujibu bali alikaa kimya....kisiasa hii ni mbaya sana kwani hata Kinana wa CCM alijibu kila tuhuma zilizoelezwa kwa chama chake na vyama pinzani hata zile za ufisadi pamoja na kweli kuwa chama chake kimechafuka...hata Mabere Marando alikuwa mbele kujibu kila shambulio lilioelekezwa kwao kama njia ya kuwapa imani wananchi

  4. Huyu ndiye aliyeshauri Lipumba afungie kampeni Dar es salaam huku akijua kabisa kuwa CUF kina wafuasi wengi mikoa ya Lindi na Mtwara ambako angeongeza msukumo kwa wananchi...Mwenzao wa Chadema Dk. Slaa yeye alifungia kampeni Mbeya akijua fika kuwa ndiko alikuwa na wafuasi wengi...

  Huyu jamaa hafai kuwa mwenyekiti wa chama chochote kile hata cha watoto kwani hana mbinu za ushindi...sio mwongeaji na hana mbinu za kisiasa...labda kama ADC haina Malengo Makubwa kisiasa...


  Nawasilisha....
   
 2. l

  luckman JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Wamepewa fungu ili kura za wapinzani zigawanywe!miafrika bwana sisi tunapigana ligamba livuke wenyewe wanalegeza watu wanaingiza magoli!
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  umekosea CUF haikuelekezewa tuhuma bali mumewe CCM ndiye aliyeelekezewa tuhuma
  CUF hawakuwepo kutafuta kura bali kutibua kura za cdm
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wanalo hilo
   
 5. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtu makini haropoki, anatafakali na kuchukua hatua! Nafikili hujapata kumsikiliza miraj wewe!
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  RIP:embarassed2:
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni NGO nyingine imeanzishwa ili watu wale ruzuku.
   
 8. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kujibu tuhuma si kuropoka bali kuropoka ni kutuhumu tena uzushi...kukaa kimya kwake ni kutokuwa na hoja....kwa mfano cuf ilituhumiwa kuwa ni ccm b yeye alikaa kimya....hii wewe unaona angejibu angeropoka?...ar u serious my friend...unaijua siasa kweli wewe...
   
 9. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uko kishabiki zaidi ama unatumiwa au hujajitambua.

  Kuwa meneja kwa bajeti ile ya ml.70?!! Kwanini basi usimpongeze kwa kuweza kupanga mikakati iliyomuwezesha Profesa Lipumba kufanikiwa kufanya Kampeni nchi nzima japo kuwa bajeti ilikuwa ndogo?

  Hata kufunga kampeni Dar es Salaam mbona ilikuwa nzuri tu kwani Media zote ziko jijini Dar na iliwezesha hadi kurushwa LIVE na TBC1 na kutoa fursa nchi nzima kushuhudia bila kuhadithiwa na waongo waongo kama wewe?

  Ulimsikiliza sababu za yeye kutoka CUF? Je, unajua kwamba hili timbwili linaloendelea cuf yeye alishawahi kumuandikia Profesa Lipumba na Maalim Seif miaka sita iliyopita, kwamba muenendo wa chama kiuongozi sio mzuri hata kidogo na chama kinaelekea kupoteza mvuto wake kisiasa na sasa ndio haya yanatokea?

  Unafahamu kwamba baada ya hizo kampeni unazozungumzia chama chako hicho CUF walimpongeza kwa kazi nzuri aliyofanya?
  Ni kiongozi yupi unayemfahamu wewe mwenye uono wa mbali kama huu? Hebu taja walau mmoja tu na alichofanya kama kweli unajitambua.

  Vipi, mbona hujatujuza kuhusu uadilifu wake? Ama naye mbadhilifu kama hao walioko ndani ya chama chenu?
  Usiweke ushabiki mbele na kuanza kumchafua mtu ilhali ndio kwanza mambo yako jikoni, Subiri afanye kazi then utakosoa.
  ADC - dira ya mabadiliko.
   
 10. s

  senior rashid Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hawajaanzisha chama kwa ajili ya kuwakomboa watanzania bali KUPAMBANA NA CUF, so usipate taabu sana.
   
 11. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe ndio ujitizame na hiyo siasa yako unayodai unaijua. Siasa gani huweki kumbukumbu? Huyo Said Miraji atajibu vipi huko kuitwa CCM B ilhali alishaachia ngazi? Hiyo ccm b imekuja wakati kazi yake ishakwisha naye keshajiuzulu. Jipange bro sio kuchafua watu tu bila mpangilio.
   
 12. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ndoa imejibu kapatikana mtoto tumaache akuwe japo afikishe miaka mitatu tujue kama ni mtoto wa nje au wa ndani.
   
 13. k

  kifauongo Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mh! Bahamadi na chamacho kipya.Kidumu ADC chamache Bahamadi.
   
 14. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hujaniambia kuwa yeyealitaka kiasi gani li afanye vizuri....kama kweli alizunguka nchi nzima kama wewe unavyodai(mimi siamini) basi huyu mtu ni political failure maana bado alishindwa kushawishi uungwaji mkono kwa Lipumba...wote yeye na wenzake wamesema sababu ya kuhama kwao ni kwa sababu eti baada ya hamad rashid(sio wao) kuhoji matumizi mabaya ya fedha na chama kuamua kumfukuza bila kumjibu basi eti ndio sababu kwao(nyepesi hivi?)

  ya kuhama cuf...yeye aliwezaje kuwa katika chama ambacho hakiamini kwa muda wote huo wa miaka sita(ulua huu)...kwa kuwa wowote hawa walipongeza ndoa ya ccm na cuf basi si shaka wakakubali pia kufunga ndoa ya mitala na haohao ccm...kwangu mimi waanzilishi wa cuf ni political failure...Limbu alishindwa vibaya huku katika ubunge...


  Eti wanawakaribisha wale wote watukutu kama hamad rashid na kafulila kujianga nacho ar u serious...msisahau basi na wale madiwani wa chadema waliofukuzwa kule arusha muwakaribishe maana nyie ni kokolo....
   
 15. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  1. umesema uongo. Lipumba alipata kura kidogo kwa sababu hauziki na amewachosha watu
  2. Kwani Lipumba yeye ni **** mtozeni ili apokee ushauri wa kijinga namna hii. Watu milioni 20 uwaendee mmoja mmoja na wewe unakubali? Aliyekubali ndie chizi zaidi ya mtoa ushauri
   
 16. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bora umenisaidia ktk hili, unajua kuna watu naturally wako sturbon hata kama ukweli anaujua ila atakachofanya ni kujaribu kupotosha only that watu wafuate ama wamuunge mkono kwa lile analotaka kuwaaminisha.

  Lipumba tumemsikia akigombea Urais tangu 1995,2000,2005,2010 kote huko kapigwa chini, wenzake kina Mrema na Cheyo washajikatia tamaa zamaniiii sasa hili la kushindwa kwa Profesa lilikuwepo tu, with or without Said Miraji.

  Binafsi nathamini sana uwezo wa Profesa Lipumba katika taaluma yake ya Uchumi na kwa hakika ni hazina ya Taifa letu, lakini naye anatakiwa atambue kwamba Siasa si mahala kwake. Aachane nazo.
   
 17. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  nashukuru sana kwa propaganda hii Bwana Julius Mtatiro.Kumbe hii pia ni ID yako eehh!!Sikujua hili.
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huyo S.Miraji amewekwa tu hapo.Mwenyekiti ni Hamad Rashid M.
   
 19. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Infact, nikisoma maelezo nashawishika kuamini S. Miraji aliisaidia sana CUF kwa mkakati wake wa kampeni maana ndo alisaidia CUF ikapata wabunge huku bara. Hongera Miraji! Naona wana-CUF wameanza kukuchafua.
   
 20. KIRUNGI

  KIRUNGI Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa ujuavyo ww chama gani kipo ajili yakuwakomboa wa2!!! alie 2mwa na Mungu kuifanya kazi hiyo ni Musa na Ma nabii wenzake,mlio bakia wote ni mishahara,kama kuna anae bisha aniambie kwann wa2 wapige makelele mengi bungeni kukataa mswada halafu wawe wa kwanza kunywa juice ya ccm!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...