SIOI ashinda tena, aibu kwa Chiligati na Nape?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIOI ashinda tena, aibu kwa Chiligati na Nape?!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Gama, Mar 1, 2012.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Sioi j Sumari ameshinda tena kuwa mgombea ubunge wa jimbo la arumeru mashariki kwa tikiti ya CCM, awali alikuwa ameshinda huku akifuatiwa kwa karibu na Sarakikya. Nauchukulia ushindi huu kama pigo kwa Viongozi wa ccm wanaoendekeza makundi katika chama. Ni imani yangu kuwa Sioi alitaka kutiliwa zengwe kwa kushukiwa kuwa ni kundila Lowasa. Kama hisia yangu niyakweli basi Siasa za makundi zitaigharimu CCM.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Heri kwake,y akina nape hawamtak?
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lowassa ni mwanaume wa shoka- Sofia Simba. Nani anabisha?
   
 4. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  hongera sioi
   
 5. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  sioi kamuoa binti wa mh. lowassa,so obviously lazima ampigie debe
   
 6. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Gamba ni gamba tu!
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM wote ni ADUI wa NCHI HII awe nani sijui
   
 8. g

  greenstar JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uteuzi bado upo mikononi mwa CC....kama Sioi hana uwezo wa kupeperusha bendera ya CCM atapigwa CHINI tu...hatutaki yatokee tena ya Arusha Mjini jinsi tulivyopoteza jimbo kwa ushabiki wa pesa za MAFISADI .
   
 9. Bagenisb

  Bagenisb Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mtajibeba mwaka huu
   
 10. g

  greenstar JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  My Take,CC inatakiwa kufanya uchambuzi wa kutosha na kujilidhia kwa kauli moja ktk kumpitisha Mgombea atakae shinda ktk uchaguzi(lazima ashinde ) ili kuonyesha kuwa mpo makini.
   
Loading...