Hili la Sioi Sumari nalo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la Sioi Sumari nalo!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Jonogomero, Mar 2, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana kulikuwa na kutangazwa kwa matokeo jimbo la arumeru, baada ya kurudiwa kwa uchaguzi. Mara walisema kuwa jamaa ni mkenya, holo wakashindwa kithibitisha kisha wakaja na sera ya kuwa awali alishinda kwa kula chache. Sasa sijui watasemaje tena. Au ndio watasema jamaa hatufai kisa kaoa binti wa Mh. Lowassa. Haya makundi ndani ya ccm yanaharibu chama jamani. Mungu ubariki Tamzania Mungu ibariki Afrika
   
Loading...