Arobaini ya REJIA MTEMA Kesho tarehe 03/03/012 ni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arobaini ya REJIA MTEMA Kesho tarehe 03/03/012 ni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 2, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [HR][/HR]
  • [​IMG] Remija Mtema


   Wapendwa salamu!
   Familia ya Dr Estelatus Mtema inapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki zetu wote kwenye kumaliza msiba (arobaini) ya mpendwa wetu Mh Regia Estelatus Mtema itakayofanyika nyumbani kwao Ifakara siku ya tarehe 3/3/2012.
   Karibuni sana!   My take:wadau tuhudhurie kumuombea dua kamanda Rejia (R.I.P).
   
 2. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kumuombea Dua, je wataruhusiwa wenye dua kumuombea (waislamu). Samahani ni swali tu naomba kuelewa, sori kama nitamkwaza yeyote.
   
Loading...