Wasifu wa Wagombea Arumeru Mashariki

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Wakuu

Naomba mwenye wasifu wa kutosha kwa wagombea wa Arumeru Mashariki atutupie hapa ili tunapochangia wote tuwe na uelewa mpana (na si ushabiki tu!!)na pindi tu
mmojawapo atakapoingia mjengonu ili itusaidie katika kufanya uchambuzi yakinifu iwapo wana tunu njema si tu kwa wana Arumeru bali kwa Taifakwa ujumla maana tumeshuhudia wabunge wa Taifa wengi tu kwa sasa akina Januari, Zitto, Kafulila, n.k .
 
Tuchangie ...au wenye data/anuani zao watusaidie kufikisha ujumbe
 
Back
Top Bottom