CHADEMA yato tamko, CCM, mwisho kuteka mikutano ya kiserikali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yato tamko, CCM, mwisho kuteka mikutano ya kiserikali.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamandamakini, Mar 1, 2012.

 1. k

  kamandamakini Senior Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Ni katika kuhitimisha ziara za ufunguzi wa matawi ya chama, leo katika mkutano uliofanyika soko kuu iringa mjini Mhe. msigwa alitumia nafasi hii kutoa tamko kwa chama cha mapinduzi kuacha maramoja kuteka mikutano ya kiserekali nakugeuza nisehemu yao yakutangaza chama chao na yakuvaa nguo za ccm, kuweka bendela za ccm na kupiga kampeni za chama hicho katika mikutano ya serikari jambo ambalo si sawa.
  [​IMG]
  Aliongeza kuwa kama kuanzia sasa kama ccm hawata acha tabia hii, basi chadema pia tutachukua nafasihiyo kuvaa kombati zetu nakupigakampeni kama wao wanavyo fanya huku tukibeba mabango yanayo eleza shida za wananchi katika ziara hizo za viongozi wa juu wa serikari.


  [​IMG]
  sehemu ya wananchi kwamkini wakumsikiliza Mbunge wao Msigwa.​

  [​IMG]

  [​IMG]

  baada ya kuhutubia, wananchi waka pata fulsa yakukichangi chama, kama unavyo ona kwenye picha.

  [​IMG]
  mzee akichangia chama katika mkutano huu, hii inaonyesha wananchi wakila rika kukiamini chama cha chadema zaidi na zaidi hapa jimboni iringa.​

  [​IMG]


  [​IMG]
  Tsh 83,000 ilikusanywa katika mkutano huu.

  [​IMG]
  mwanachama mpya akikabidhi kadi ya ccm, nakubatizwa uwanachama wa chadema huku akikabidhiwa kadi ya chadema na mbunge Msigwa. ​


  [​IMG]
  akinamama wanachama wapya wachadema wakijiandikisha kununua kadi. zaidi ya wanachama wapya 70 wajiunga chadema leo. ​


  [​IMG]
  sehemu ya umati wa wananchi ulio hudhuria mkutano huu. ​


  [​IMG]
  wananchi waki kikunja ngumi juu na kujibu POWEEEEEER!! baada ya PEEEEEEOPLESSS! alio isema Msigwa.


  Nawasilisha.


  kutoka: Mbunge Wako Iringa Mjini
   
 2. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kweli mwisho wa magamba kushika hatamu unawadia
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Safi sna Msigwa ninakukubali ikiwa wapambanajiwote wangefanya hivi katika majimbo yao CDM ingekuwa moto usio shikika.
   
Loading...