Kampeni za Igunga Zilikuwa na Vituko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za Igunga Zilikuwa na Vituko!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kimbunga, Mar 1, 2012.

 1. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nimemsikia Hamad Rashid Mohamed akisema kuwa wakati wa kampeni za ubunge huko Igunga Bw. Mtatiro alipewa kiasi cha Shs. 128 milioni na matokeo yake ni kwamba alizitumia hizo hela kuponda raha. Hamad akafunguka zaidi na kusema kwamba walimkamata Mtatiro akiwa guest house na hawara huko Igunga!
  Habari hii ikichanganywa na zile tuhuma za kwamba Mh. Mwigulu naye alikamatwa na hawara huko Igunga wakati wa kampeni zinanifanya niamini kwamba kulikuwa na vituko kibao kwenye kampeni huko Igunga. Tusubiri nini kitatokea huko Arumeru.
  Source ya habari ya Hamad ni Clouds Fm.
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  hahahaha
  kila mtu anatumia nafasi pale ipatikanapo,hata nami nime msikia Hamadi akimweleza mwandishi wa habari wa mawingu na kamwambia akatae kama si kweli,
   
Loading...