Julius Mtatiro ndani ya SAUT-Mwanza leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius Mtatiro ndani ya SAUT-Mwanza leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchochezi, Mar 1, 2012.

 1. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  naibu katibu mkuu wa CUF ndugu Julius Mtatiro yupo zake chuo cha SAUT kwa mkutano na wanafunzi ambao ni wanachma wa chama hiko ila mwtikio wa wanafunzi ni mdogo. Je chama kishapoteza dira??
   
 2. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  cuf wamepoteza dira watake wasitake
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Si Jussa alisema CUF ni ya Waislam na Watu wa Zanzibar tu? Au anazungumza na wazanzibar wa SAUT?
   
 4. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,322
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa naona kama anapoteza sana muda wake kuwa huko, anaweza kukikuza chama huku bara then kikianza kupata umaarufu tu wanamtosa b/se yeye ni mkristo, aje Chadema kusiko kuwa na udini hata kidogo.
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jussa: Tulishindwa Uzini kwa sababu kuna Wabara na Wakristo!
  Hii kauli itaitesa sana CUF katika maisha yake yote ya Siasa!
   
 6. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sio chama kishapoteza dira ila KISHAJIFILIA Na huko SAUT wamemheshimu kweli muulizeni U-DOM last week alitolewa nduki akiwa na Mhe. Sakaya na **** ooh soree Jusa.
   
 7. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  me naona anajipotezea muda tuuu
   
 8. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Masaburi at work! Hivi kwa akili za kimasaburi hivi unaweza ukaraise hata better family wewe? Shame on you guinegog!!!!!!!!!
   
 9. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  kwa mtindo huu magamba watatunyonya milele
   
 10. Nungunungu

  Nungunungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara ngapi? Wakati kitu kikiongozwa/kikishikwa /kikianzishwa na Muislam hicho ni cha Udini -Uislam. Ndio vita yenu na CUF. Ndio vita yenu na JK. Angalau basi mngeiletea nchi maendeleo tungejivunia ninyi wachapakazi wetu!! Kikowapi na umasikini wetu, ujinga wetu, maradhi yetu! Kuna watu wanasema waliofeli Form Four mwaka huu ni Waislam...kwa kutazama majina ya Shule!! Ujinga ni mzigo.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  taje ruhusa wakati Lissu alinyimwa kufanya the same thing au walikua na malengo tofauti?
   
 12. Nungunungu

  Nungunungu JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninyi vijana wageni Chadema msichokielewa ni kuwa mnapo inasibisha CUF na waislam au kejeli zenu Uislam cum udini hamjui kuwa kuna wanachadema wa ngazi za juu kabisa waislam wenye mapenzi na chama chao......Mtaje Mzee Bob Makani, Said Afri, Zitto Kabwe, Jafari Kasisiko,....hao wote ni waislam watanzania bara....hivi hamuelewi athari ya matusi yenu kwa CUF na kuinasibisha na Uislam!
   
 13. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  ndo nmetoka class time hii ngoja niingie hapa mkutanoni nimsikilize mtatiro najua kabisa hana jipya ila ngoja niende tuu
   
 14. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nimemtwanga Mtatiro swali, Je haoni kubaki ndani ya chama watamuita kuwa ni KAFIRI?. Swali 2: matokeo ya kidato cha nne yanaonesha shule zinazomilikiwa na dini ya chama chake zimeboronga sana. Je mkakati gani chama chake cha CUF kitachukua kukabiriana na hii aibu?. Bado hajanijibu
   
 15. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  anadai CUF hawatoshiriki uchagzi mdogo wa Arumeru kwa kuwa CCM na CHADEMA wana wafuasi wengi hukooo
   
 16. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  nimeingia hapa mkutanoni muda si mrefu..naona anajibu maswali
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,667
  Trophy Points: 280
  Unauliza makofi police???
   
 18. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  naona Mtatiro anamkashifu Hamad Rashid hapa
   
 19. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  ki vipi mkuu??
   
 20. K

  KINYAPENYAPE Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama cuf ni cha waislam na chadema ni cha wakristo. Ni ccm tu kinaweza kujinasibu angalau hakina udini.wako wengi tu wako CDM Kwa sababu ni wakristo na ndo maana anashangilia watu kufeli akijiamisha waliofeli ni waislam(udini).na wapo walioenda cuf kwa sababu ni waislam
   
Loading...