Ndesamburo kugharamia kadi 500 kwa wanachama wapya arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndesamburo kugharamia kadi 500 kwa wanachama wapya arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mtabe, Mar 1, 2012.

 1. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbunge Ndesa pesa atagharamia kadi zipatazo hizo, habari ndo iyo
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Source plzzzz......! Bravo ndesa
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Graduate la kata at work! Janga kubwa sana hili humu jamvini.
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyu mbunge akili zake sijui zikoje!! Aligharamia helikopta kupeleka watu LOLIONDO kwenye kikombe na wote hawapo duniani sasa
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo? wana JF tufanyeje sasa?
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mwanamke umbea kusutwa sunna
   
 7. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Hii kitu ya kuwanunulia watu kadi na kuzigawa kama njungu binafsi siuafiki babisa na haina mantiki.
   
 8. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ulivyo na ushuhuda wa uongo kama waongo wenzio. Kwanza wewe na wenzio mnaopigia debe walioenda Loliondo wote wamekufa embu muulize huyo Mwingira kati ya wangapi anaowaombea ndio wamepona???? Na ambao bado hawajaPona je tuseme na yeye ni feki?????
   
 9. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kadi za harusi?
   
 10. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kusema kwamba walioenda kwa babu wote wamekufa ni uongo na uzushi mkubwa.Mbona Magufuli,Wassira,Mrema na viongozi kibao wa ccm hawajafa?
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ******?au yeye hakwenda?
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mossad rule "To catch a criminal follow money trails"
   
 13. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwani cards mia tano zina issue gani wakuu? Kwani card bei gani? naamini anatoa mchango mkubwa sana kwa watz na chama ila ya 500 ni kawaida saana.. Probably haitafikia hata robo ya costs zake nyingine za kuattend campaign arumeru
   
Loading...