Chadema kutumia mbinu ya CCM

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Kwenye uchaguzi huu Chadema kimeamua kuhakiki wapigakura wake katika vijiji vyote vya Jimbo la Arumeru Mashariki mbinu ambayo ilitumiwa na CCM kwenye uchaguzi uliopita wa Igunga. Jimbo hilo lina kata 17 na vijiji 86. Akizungumzia mkakati wa ushindi wa chama hicho, Katibu Mkuu Dr. W. Slaa amesema viongozi 10 wa Chadema katika kila kijiji watapewa fomu za kuwajua wapiga kura na kuhakikisha kuwa wanakipigia kura chama hicho.

"Mtapewa fomu leo na kila kiongozi ataorodhesha watu wake tayari kwa mkakati wa kampeni na hili sio kosa kwani tunataka kuhakikisha kuwa tunajua mapema kuwa ushindi wetu ni wa kura ngapi,"alisema Dk Slaa.

Alisema utaratibu huo pia utawezesha kuanza kwa kampeni za nyumba kwa nyumba kwa kila kiongozi na kwamba katika eneo ambalo kura zitakuwa chache kiongozi anayehusika atatoa maelezo.

Katika hatua nyingine Katibu Mkuu huyo ameagiza kukamata magari ya viongozi wa CCM watakaopita katika maeneo yao, kwa lengo la kununua shahada za kupigia kura na kutoa rushwa.

"Kukamata wahalifu si kazi ya polisi pekee yao, nawaagiza kuwa kuanzia sasa muwe makini na CCM maana tayari magari yao yameanza kuonekana vijijini wakiwarubuni wananchi, mkiwaona wakamateni,"alisema Dk Slaa.

Katibu huyo, alisema baada ya kukamata magari na wanachama wa CCM watakaotoa rushwa, hatua zichukuliwe kuwafikisha katika vituo vya polisi na kama wakisumbua wawasiliane na viongozi wa kitaifa wa Chadema waliopiga kambi katika jimbo hilo.

"Kamateni hao wanaokiuka sheria msidanganyike kuwa kazi hiyo ni ya polisi, wakiwasumbua tupigieni simu na hili msiwe na hofu yoyote makamanda wangu," alisema Dk Slaa.

Mwananchi.
 
Kutakuwa na watu wa aina mbili.
Mmoja atasema nitakutetea bungeni ili upata share yako kwenye keki ya taifa.
Wa pili atasema, ukinipa hiyo shahada siku ya uchaguzi, nakupa laki moja!
Do the math.
 
Chadema will apply all available tactics but in the end its CCM who are intended to carry the day for Arumeru. History has it that no opposition side has ever won any by elections since the inception of multipartism. Such type of elections customarily end up in the hands of CCM, so shall be for the forthcoming Arumeru poll. I hate to shatter Magw.anda's illusions, but it remains blatantly true that CCM is unrivalled when it comes to by elections.
 
Chadema will apply all available tactics but in the end its CCM who are intended to carry the day for Arumeru. History has it that no opposition side has ever won any by election since the inception of multipartism. Such type of elections customarily end up in the hands of CCM, so shall be for the forthcoming Arumeru poll. I hate to shatter Magw.anda's illusions, but it remains blatantly true that CCM is unrivalled when it comes to by elections.
Political history is not driven from the holy bible that it wont change!!KANU lost after ruling Kenya for several decades, UNIP the same in Zambia recently we saw the fall of tyrany Gaddaf after rulling Libya for almost half a century with his hand full of innocent blood,( so for sure history changes with right time) and again I remind you CCM lost by election in Temeke constituency (NCCR won) they lost in Tarime constituency (CHADEMA won) all these disprove your claim that when it comes to by election ccm is unrivalled!!
 
Chadema will apply all available tactics but in the end its CCM who are intended to carry the day for Arumeru. History has it that no opposition side has ever won any by election since the inception of multipartism. Such type of elections customarily end up in the hands of CCM, so shall be for the forthcoming Arumeru poll. I hate to shatter Magw.anda's illusions, but it remains blatantly true that CCM is unrivalled when it comes to by elections.

Thanks OSOKONI for providing irreputable facts on by elections.
my question to Radhia is does CCM win because it offered clear alternatives to people or CCM is buying off the voters?? CCM policies will solery be based on making people poor so they can be bought during the election. They will never dare implementing policies that will result into free society which will reject them in heart beat.
 
Chadema will apply all available tactics but in the end its CCM who are intended to carry the day for Arumeru. History has it that no opposition side has ever won any by elections since the inception of multipartism. Such type of elections customarily end up in the hands of CCM, so shall be for the forthcoming Arumeru poll. I hate to shatter Magw.anda's illusions, but it remains blatantly true that CCM is unrivalled when it comes to by elections.

Stupid,lier and uncouth!KIPURURE AT WORK?
 
Back
Top Bottom