Dereva aliyesababisha ajali ya Wangwe aachiliwa huru; kesi haikufunguliwa mahakama sahihi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva aliyesababisha ajali ya Wangwe aachiliwa huru; kesi haikufunguliwa mahakama sahihi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 6, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,382
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Appeal Court quashes sentence against Mallya
  [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Monday, 05 March 2012 22:55
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] digg

  By The Citizen Correspondent
  Dodoma. The Court of Appeal in Dodoma yesterday set free the 27-year-old Deus Mallya who was earlier convicted of driving a car without a valid licence and driving recklessly, causing an accident that killed the then Member of Parliament for Tarime on the ticket of Chadema, Mr Chacha Wangwe.

  Court of Appeal Judges Harold Nsekela, Natalia Kimaro and Bernard Luanda quashed an earlier judgment passed by the Dodoma Resident Magistrate’s Court.
  The deputy Registrar of the Court of Appeal for the Central Zone, Mr Maxmillian Malewo, said one of the reasons for quashing the judgement was that the case was supposed to have been filed at Kongwa District Court and not at Dodoma Resident Magistrate’s Court.

  He said since the case involved a traffic accident and not murder it was supposed to be filed at a District Court and not at a Resident Magistrate Court. Mr Malewo said the contradiction would serve as an example in future cases where people are wrongly sentenced to serve jail terms.

  Malya was convicted on March 18, 2008, of driving a car without a valid licence and driving recklessly. He was sentenced to three years in jail by the then Dodoma District resident magistrate Thomas Simba.

  Following the judgement, Mallya appealed to the Court of Appeal. The accident that killed Mr Wangwe occurred on July 28, 2008, at Panda Mbili in Kongwa District in Dodoma Region.


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mmmhhhhh!

  Sheria.

  Ina uzuri wake.

  Na ubaya wake.

  Watu nao je?
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwani wakati ana appeal alipewa bail pending appeal?
  Mana kama ni la,mbona ameshaserve hiyo miaka yake si wamesema tangu 2008 ama sjaelewa fresh?
  Hiyo judgement ni useful kwa precedent tu lakn kimsingi kashaserve muda mrefu ndani
   
 4. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Pamoja na kuwa keshaserve ndan muda ila ni furaha sasa kuwa huru zaidi.. Nadhan kuna mambo ya kisheria yalikuwa hayajakamilika. Now its over.
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kazi aliyotumwa ameifanya na atakuwa huru, justice not served.
   
 6. s

  site Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unauhakika na uyasemayo?
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama kuna identical behavior hapa bongo basi ni SHERIA na METHALI.

  METHALI za Kiswahili:
  1. Chelewa chelewa utamkuta mwana si wako (haraka haraka haina baraka)
  2. Ngoja ngoja inaumiza matumbo (kawia ufike)
  Ndio zetu hizo, inatumika inayovutia upande wetu mara tuwambapo.

  SHERIA za Tanzania:
  1. Deus Mallya kaendesha gari kizembe, kasababisha kifo cha mtu mmoja; Jela miaka mi3
  2. Andrew Chenge kaendesha gari kizembe kasababisha vifo vya watu wawili; Faini laki 7
  3. Deus Mallya kaendesha gari bila leseni (sio leseni inayoendesha gari kwa ustadi); kavunja sheria na adhabu kali ikachukuliwa
  4. Andrew Chenge kaendesha gari bila BIMA (bima ndio ingewafidia ndugu wa marehemu); alivunja sheria, lkn adhabu ndio ile

  Hapa utaona kuwa mshtakiwa wa kesi ya pili ana makosa mengine zaidi;
  1. Akiwa kama mwanasheria, anafahamu fika kuwa kughushi ni kosa: Alighushi bima na kuibandika kwenye gari lake
  2. Akiwa kama mwanasheria anajua wazi kuwa kuidanganya mahakama ni kosa; yet still alipanua mdomo kusisistiza kuwa bima ile ni ya ukweli

  Hapa ndio nawashangaa ndugu zangu mnaopinga maandamano na kutushauri tufuate taratibu; kwa sheria hizi zenye double standards au kwa zile za Mungu?
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kisheria Malya hajawahi kufungwa!
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Duh Wewe mkariii !!
   
 10. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hukumu imebatilishwa kwa sababu sio murder na filing yake ilifanyika kwenye mahakama sio sahihi? Hivi tofauti ya traffic case na murder au manslaughter baada ya dereva kugonga na kuua ni ipi?
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Thank you for this useful post
   
 12. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  tamthilia ya Malya kwanza huyu jamaa Kaishi hotel mpaka siku ya kutoka,Na watumishi waliokuwa wana mhudumia hapo hotelini ni jiran...gerezan kakaa muda mchache.
   
 13. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Maskini Chacha rasta. so sad
   
 14. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Useful post mkuu,thanks a lot
   
 15. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,921
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hii Tanganyika viongozi na sheria laana tupu, yaani sijui tuombe dua ipi iwamalize wafe wote, Chacha mtetezi kamanda wao walimwua kwa wanachojua wao, sasa leo hii wanaleta stori gani ya kishetani, na kosa Mallya si amelifanya? Sasa tunatafuta nini hapo
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Thank you for useful post
  Kile kitufe cha thanx sikioni ningekuwekea thanx kibao
   
 17. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Tukiwa na watu kumi tu Tanzania kama wewe na mkapewa vitengo daima tutasogea. Umetulia na imetulia
   
 18. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tusishangae sana kwa kuwa sheri zetu nyingi ni za kurithi toka kwa wakoloni!
   
 19. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bado Tuntemeke! Kitampata kilichompata Wangwe!
   
 20. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  "Malya was convicted on March 18, 2008, of driving a car without a valid licence and driving recklessly. He was sentenced to three years in jail by the then Dodoma District resident magistrate Thomas Simba.

  Following the judgement, Mallya appealed to the Court of Appeal. The accident that killed Mr Wangwe
  occurred on July 28, 2008, at Panda Mbili in Kongwa District in Dodoma Region"

  Hapo kwenye RED ndio huwa nakubaliana na mtazamo wa Rais Mkapa juu ya uvivu wa waandishi wa habari Tanzania.
   
Loading...