Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Alimashauri ya wilaya monduli miaka mitatu ilipita walitenga eneo la viwanja kwa wakazi wa kata ya mondumjini,baada ya wakazi wachache kukosa viwanja kwenye eneo la awali lililotwengwa,eneo la...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Madaktari ndio hao wanatangaza mgomo,serikali nayoongozwa na CCM inashindwa kuwalipa na kuwasikiliza madaktari.Je ni bajeti kiasi gani itatumika ktk uchaguzi mdogo arumeru?na kama mwajiamini...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Fredy Azzah BAADA ya miaka 29 ya kuwa bungeni na 17 ya kuwa Mbunge wa Njombe Kusini, Spika Anne Makinda amesema sasa inatosha. Makinda amewaomba wananchi wa Jimbo la Njombe Kusini hivi karibuni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikatika hali ya kushangaza toka jana baada ya kesi kuhairishwa hadi leo ndipo mashaidi walipoanza kurushiana maneno na hatimaye kupelekea mashaidi leo kutouzuria mahakamani mchana wa leo ndipo...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI, CHUO CHA POLISI MOSHI...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
soko jingine tena laungua moto.ivi saizi naelekea eneo la tukio huku nyumban naona moshi mwingi hewan na moto unawaka kwa kasi.polen ndg zangu wote wa tunduma
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Leo msa mkangaa amehitimisha mashahidi,nibaada ya pingamizi alilo weka wakili wake jana kua wanaomba kubadilishwa kwa hati ya mashitaka,leo jaji katupilia mbali pingamizi hilo na kuamuru aendelee...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Pamoja na haya yanayoendelea, kuna waraka umetoka utumishi hivi majuzi kuzitaka hospitali na taasisi kutokuwatambua madaktari kama maspeshalisti mara baada ya kugraduate hadi pale ambapo...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu Najiuliza swali. Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafutai kihokuwa chini ya TPDC . Lakini kwa sababu mbalimbali inasemekana kikafungwa. Huku kusini mwa afrika kiwanda kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
picha mbalimbali za mapokezi ya mh zitto kabwe alipokuwa ziarani mkoani tanga -source JIACHIE
5 Reactions
40 Replies
7K Views
  • Closed
Imenisikitisha sana niliposikia tamko la madaktari kupitia ITV habari mpasuka kuwa wataendelea na mgomo ikiwa wabaya wao Dr Haji Mponda na Dr Nkya wataendelea kuwepo wizara ya afya kama mawaziri...
3 Reactions
389 Replies
32K Views
Nionavyo mimi afya za viongozi wengi hapa nchini zina mushkeli mkubwa na matokeo yake mabwanyenye hawa hukimbizwa nje ya nchi badala ya kutibiwa hapa nchini. Gharama za kutibu viongozi hawa sasa...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshambulia Rais Jakaya Kikwete kikimtuhumu kushindwa kuisimamia serikali yake na hivyo kulifanya taifa kuwa katika hali tete inayohatarisha amani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanabodi, Waziri wa Maliasili na Utalii amemteua bw. Juma Shabani Mgoo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (Tanzania Forest Services Agency - TFS). Kabla ya...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Chadema ni chama chenye itikadi, malengo na mwelekeo mwema katika kusimamia misingi bora ya utawala ikiwamo demokrasia, CDM imejipatia umaarufu mkubwa kutokana na kuwa na viongozi shupavu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania has been ranked a head of Kenya as the best place for children to live in East Africa. United Nations Children’s Fund (UNICEF) said Tanzania has the lowest mortality for children under...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
ni wakati wenu sasa wakazi wa arumeru kuiambia dunia kwamba "hatudanganyiki" (kupitia sanduku la kula), mmedanganywa kwa muda mrefu, sasa chukueni hatua.
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), ametoa siku saba kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), kutoa kauli kwa umma kuhusu bei elekezi ya maji kama inavyofanya kwenye bei ya mafuta...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Wanabodi kama tujuavyo Raisi Jakaya Kikwete amealika taasisi mbalimbali na wadau wampelekea mapendekezo ya majina ya watu ambao atafikiria miongoni mwao awateuwe wawe wajumbe wa Tume ya kukusanya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari nilizozipata kutoka Arumeru mashariki ni kuw ccm wameanza kununua kadi za wapiga kura kwa tsh 50000@ . Ambao wapo eneo la tukio watujuvye hapa jamvini
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom