CHADEMA kutumia nguvu ya Umma Arumeru-Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kutumia nguvu ya Umma Arumeru-Mnyika

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Molemo, Mar 6, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kuhusu bajeti ya uchanguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Mnyika alisema chama kimeamua kuwa kampeni za uchaguzi huo ziendeshwe kwa nguvu ya umma bila kutegemea ruzuku za chama.

  Alisema chama kimejipanga kupata misaada kutoka kwa wananchi wa Arumeru na wananchi wengine nchini katika kuhakikisha hakitumii ruzuku ya chama kwenye uchaguzi huo.

  "Kampeni za Arumeru zitaendeshwa kwa nguvu ya umma ikiwa ni pamoja na kupata fedha za wananchi kote nchini na si kutegemea ruzuku za chama bali za wananchi kwa ujumla na hasa Arumeru,"alisema Mnyika.

  Alisema chama kimeteua watu kadhaa wa kuangalia jinsi gani ya kupata fedha hizo za nguvu ya umma na kile kiasi ambacho kitahitajika kuongezeka chama kitatangaza kiasi gani kitatumika.

  SOURCE:MWANANCHI.
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  If thats the case, I wanna place a bet.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Wapange utaratibu wa kufanya collections nguvu ya umma tupo tayari
   
 4. m

  matowo001 New Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waje 2. Hawakos
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Waweke namba zao za Tigo Pesa tuwatumie.
   
 6. p

  pstar01884 Senior Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tupo pamoja, Tupieni njia za kutuma hela hapa, tuanze kutupia salio.
   
 7. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko tayari kuchangia make haya ndo mabadiriko ya kweli, ndo vita ya kimya yenye utashi wa kimungu katika kumkomboa mtanzania wa kawaida. Mungu ibariki vita hii ya kimyakimya mpaka kieleweke. Amen!!!
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tuko tayari...tunasubiri mwongozo tu.
   
 9. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fedha hizo zitumike kuwachapa mafisadi si vinginevyo!
   
 10. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo mmenena,Hivi hizi nazo tutatakiwa kuileza tume jinsi zilivyotutumika?
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CHADEMA kama Freemasons
   
 13. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nimekumbuka hata Nyerere alipokuwa anapigania Tanganyika ipate uhuru alizunguka kuomba hisani ya Nguvu ya Umma ili apate michango na ridhaa ya kweli kutoka kwa watanganyika. Sasa hata CHADEMA nao kwa mtazamo wangu ipo siku itachukua nchi.
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  The thing is, watu wanakipenda chama, na kwa namna yoyote kitachangiwa ili kisonge!
  Ruzuku ya chama ifanye kazi ya kuimarisha chama vijijini, hili suala la Arumeru liko kwenye uwezo wa Wanachama.
  Mbona Nguvu ya Umma inafanya kazi sana kwa mfano huko Iringa, Msigwa anapigisha harambee kila mara na hadi watu wasio na kipato cha kuridhisha wanatoa michango, ikiwa ni ishara ya kuguswa na kazi ianyotenbdwa na viongozi wa chadema.
  Wekeni namba za MITANDAO na account za benki.
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nenda zako sisi tunachanga kama huna nyamaza
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  [h=2][/h]
  Nenda zako sisi tunachanga kama huna nyamaza​
   
 17. P

  Pelege Senior Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waweke no,za simu hapa tuwatumie,tulikomboe Taifa letu kwa ujumla kutoka kwa wanyang'anyi CCM.
   
 18. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasubili muongozo.
   
 19. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  mh! kwan ruzuku ya chama kazi yake ni nini?
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  unamuaona Ndanda Kosovo hapo?
  ameweka mkwe wake awe mbunge Arumeru mashariki!!
   
Loading...