JK rais mwenye Bahati Duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK rais mwenye Bahati Duniani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by segwanga, Mar 5, 2012.

 1. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:-

  1.Amewadanganya watz kwa ahadi kemkem na bado watu wako kimya tu

  2.yanatokea majanga ya kizembe kama mabomu gongo la mboto,Jk bado yupo tu magogoni bila presha

  3.Rushwa Imetamalaki,Jk yukp salama

  4.Mtoto wake anaimiliki tz kwa kofia ya Jk,yeye no digid

  5.Madaktari wanagoma,hewala bwana acha wagome

  6.Umeme usioaminika jK ana majibu mepesi,yeye sio wingu la mvua

  7.... endelea na wewe

  Ni bahati iliyoje kuongoza Tanzania,

  NATAMANI KUWA jk
   
 2. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anabahati ya kuzungu dunia nzima kwa kodi za Wt, zaidi ya Pasco Dagama aliyegundua bara la Amerika. Takriban kwa muda wa miaka 6 ambayo amekuwa Ikulu amekuwa likozo kwa muda wa zaidi ya miaka mi3 na bado ni rais wa wadanganyika na anaendelea kujilipa mshahara mkubwa zaodi ya ule anayelibwa Barak Obama na Hiugin Tawa wa China.
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hizi shule za sikuhizi bure kabisa, hawafundishi historia nini? Hivi Pasco Dagama ndio nani, na nani alivumbua Amerika? Inaelekea vijana hawajawahi kusikia jina la Christopher Columbus!!
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  mkuu kasome CDC {computer drive certificate} hutapata taabu kutype otherwise ujumbe wako umemfikia apende asipende
   
 5. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe acha utani wako,WaTZ tuko katika hali ngumu sana ya maisha.
   
 6. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Correction,
  Ni Vasco Dagama na si Pasco Dagama.
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Maneno yenu hayasaidii kitu, subirini 2015 ndipo muamue bhana!
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Aiseeeee! mkuu umetoka wapi? kwa nini usiingie darasani kwanza ndiyo uje humu?
   
 9. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu hapo ni kwamba nimeteleza tu kwa sababu ya stress ya mgomo wa madaktari. Nina mgonjwa hospitali ninahofia hawa jamaa wakigoma si mgonjwa atakufa. You just take easy!
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Soma signature yangu. Hata tungeweka mbwa pale magogoni aongoze nchi, ingekwenda tu. Ilimradi huyo mbwa aweze kubweka. Jeshi linawalipua watu na mabomu (Mbagala, gmboto), polisi wanaua watu kama ile ya Songea, Tarime halafu wananchi wamenyamaza tu? Sijaona pengine popote duniani? Ndo maana nasema hata angekaa nyau pale magogoni nchi ingeenda bila shida. Haiwezekani wabunge wanamwagiza rais afanye hili au lile (mfano kumfukuza Hosea, kumfukuza Ngeleja na malima), rais hatekelezi halafu wabunge wanarudi bungeni wanacheka tu hawaoni kama rais amewadharau. Wanamwacha tu, wakati wao ndo wawakilishi wa wananchi? Nasema hata panya angekaa pale magogoni bado angeweza tu kuwaongoza watanzania.
   
 11. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  hivi correct sio Vasco da Gama kweli???
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu kweli anabahati mswahili mwenzetu yule..
   
 13. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  9.Alichakachuliwa mafuta na hakuweza kudhurika.
   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mleta Thready amekosea ni Vasco da Gama lakini Message Sent!
   
 15. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  yote kwa yote hata wewe umekosea umesema amerika ipi mojawapo kusini au kasazini. huyo columbusi aligundua kitu kidogo tu. visiwa vya Tonga na tuvalu tu(caribean Island tu) by the way mchangiaji anajaribu kueleza hasara za baba mwanaasha tu. awe dagama au columbusi wote ni wazururaji tu
   
 16. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  10. Amewapa uongozi mademu zake serikalini bila hata sifa kuongoza.
  11. Amemfunga Babu Seya na Mwanae bila hatia..
  12. Alihizinisha ununuzi wa jengo la ubalozi wa TZ nchini Italy.
   
 17. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo kama si bahati au kwa nchi makini alitakiwa ajiuzulu kwa hiyari au shinikizo:
  Angalia:
  8: Kudorora kwa Elimu: Shule za kata bila waalimu, maabara nk.
  9. Kuruhusu wezi wa wanyama pori kuja kuiba wanyama: ile ya ndege ya jeshi kutoka Doha ilikuwa uharamia wa kiserikali tu!
  10. Kuruhusu na kuitumia migongano ya kidini kwa maslahi ya kisiasa (uislamu/Ukristo)
  11. Kuruhusu kikundi cha wanamtandao kuendelea kuvuruga nchi bila shida
  12. Kukuza tabaka la wenyenazo na kudidimiza wasio nazo.
  13. Kukiri kuwa "hajui kwa nini Nchi anayoongoza ni maskini"
  Alitakiwa amejiuzulu zamaaani!!!
   
 18. d

  davidie JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msisahau kuwa huyu ni kinara mkubwa wa mambo ya dini, kabla hajamteua mtu kwenye nafasi yoyote kwanza anaanza kuangalia dini yake pasipo kutafakari utendaji wa huyo mtu na uwezo wake,' baba mwana' bwana!
   
 19. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ni lini Watanzania tutathubutu kusema tumeifanyia nini nchi yetu kabla ya kunyosha kidola kwa JK peke yake. Watanzania ndio maana hatuendelei zipo nchi zimeanguka kwa sababu ya kuwa na Rais mzuri lakini wananchi wa hovyo.

  Rais na wananchi ni partners katika kuleta maendeleo ya nchi lakini mara nyingi sisi wananchi tunajitoa bila kuweka wazi nafasi yetu katika maendeleo hayo.
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni Amerigo Vespucci (Italian pronunciation: [ameˈriɡo vesˈputtʃi]) (March 9, 1454 – February 22, 1512) was an Italian explorer, financier, navigator and cartographer. The Americas are generally believed to have derived their name from the feminized Latin version of his first name.
   
Loading...