Mr. Politician kuimba Arumeru? Yule dada kapotea, simsikii tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mr. Politician kuimba Arumeru? Yule dada kapotea, simsikii tena

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MPadmire, Mar 6, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  EE jamani magamba wamkumbuke huyu dada angalau apate hela kidogo
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Tena anayegombea nadhani wanaundungu!! Nakaaya Sumari ndio jina lake!!
  Siku hizi yuko Arusha anafanya kazi kwenye kampuni moja ya Tours iko huko Usariver!!!

  Ule wimbo ulikuwa poa sana ila unawachana sana viongozi,sidhani kama CCM wataukubali ARUMERU!!
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  What the hell is she..!?
  Alipokosa viti maalum chadema akakimbilia magamba akidhani "ataula".....ndo kapotea. Hii inaonesha dhahili kuwa alikuwa garasa.
   
 4. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hahahahaaaaaaa...!Hana ujanja huyo..Kisha pinduliwa kitambo na Vicky Kamata...
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  hawana undugu wowote zaidi ya ukoo yeye anaitwa Gloria Abraham Sumary na huyu anaitwa Sio Solomon Sumary .
   
 6. l

  laleo Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ni Siyoi i/o Sio.Mmenipata?
   
 7. p

  pstar01884 Senior Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya ndo mambo tunasemaga. Huyu demu aliruka mkojo akakanyaga mavi. Nafikiri atakuwa amepata funzo. Huwezi kusaliti umma afu upone hv hv. Alifikiri amdfanikiwa kuitumia CHADEMA kama daraja la kujikweza kisiasa, kwa bahati mbaya hakuelewa tabia za huko alikokimbilia. Sasa ameipata fresh. Amejiaibisha na kujichoresha jinsi alivyokuwa mwanasiasa uchwara. Hata ile nyimbo yake ya Mr. Politician anaionea aibu. Kaimba mwenyewe ila ujumbe unamchoma yeye mwenyewe. Kaamua kula matapishi yake
   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  na wewe unaitwa nani?
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  naitwa bucho mankunutu mbiding.
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Anaitwa Kurchu Isack Sumary
  Di unaona solomon, Abraham, Isack!
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  kwi kwi kwi .......
   
 12. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Vigogo Wamemramba vya kutosha na ubunge kakosa
   
Loading...