Tamko la wanaharakati kuhusu mgomo wa madaktari, mkutano mkubwa kufanyika kesho

vimon

Senior Member
Apr 3, 2008
183
195
Legal and Human Rights Centre
Tangazo Mkutano na Waandishi wa Habari Kuhusu uwezekano wa kuwepo Mgomo Mwingine wa Madaktari Mwananchi yeyote anayeguswa na suala la tishio la mgomo wa madaktari, mnaalikwa kuhudhuria kwa wingi mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika kesho, Jumanne, Machi 6 2012, katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia - Tanzania (TGNP), vilivyoko Mabibo jijini Dar es Salaam. Lengo ni kutafuta suluhisho la kudumu kuhusu mgomo mwingine wa madaktari ili kuzuia vifo zaidi vya Watanzania. Tuhudhurie kwa wingi. NB: Muda ni saa Tatu Asubuhi Viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP - Mabibo, Dar es Salaam
 
ok activists,at least ur talking something.nasema at least maana i'm not expecting this gvt 2 pay heed 2 whatever u gon say 2morow!'serikali sikivu inasubiri wa2 wafe kwanza afu waje kutoa pole/rambirambi baadae.ni wa2 wa maneno zaidi na kupima upepo.hawawi'affected wao,ndugu zao ama rafiki zao,so what's the hurry!!hawa ndio viongozi wa tz..afu watz wengine wataanza kuwalaumu madr. badala ya hao walowafikisha madr kwenye hiyo migomo nk.Hii ndiyo TANZANIA bana!
 
fedha za wafadhili watarudisha mahesabu vipi kama kazi inayoambatana na picha za matukio haijaonyeshwa namna wanavyochakalika na matukio yenye kujaa ghasia na haya ndio wafadhili wanapenda
 
Huku ni kukosa kazi za kufanya, yaani mimi ni mwalimu unanihamasisha nije kushinikiza madai ya madaktari, na madai yangu je wao madaktari watakuja? To hell with your gathering mimi nitakwenda Mabwepande kupiga kazi kwa wanafunzi wanaohitaji kuhudumiwa kutokana na janga asilia na si hayo majanga yenu ya kutengeneza.
 
fedha za wafadhili watarudisha mahesabu vipi kama kazi inayoambatana na picha za matukio haijaonyeshwa namna wanavyochakalika na matukio yenye kujaa ghasia na haya ndio wafadhili wanapenda

Wanataka waneemeshe matumbo yao kwa kuwafanya wananchi wapigwe virungu. Mimi simo bwana, nakwenda kazini kwangu.
 
Huku ni kukosa kazi za kufanya, yaani mimi ni mwalimu unanihamasisha nije kushinikiza madai ya madaktari, na madai yangu je wao madaktari watakuja? To hell with your gathering mimi nitakwenda Mabwepande kupiga kazi kwa wanafunzi wanaohitaji kuhudumiwa kutokana na janga asilia na si hayo majanga yenu ya kutengeneza.

Watanzania tuna Safari ndefu sana Du.....!
 
fedha za wafadhili watarudisha mahesabu vipi kama kazi inayoambatana na picha za matukio haijaonyeshwa namna wanavyochakalika na matukio yenye kujaa ghasia na haya ndio wafadhili wanapenda
kama unalijua hilo kwa nini usiwaamshe hao ambao hawaoni matendo yao ya kudharau wafanyakazi wa nji hii wakiwemo madaktari yana hatarisha amani, ili waepushe shari hii?
 
Huku ni kukosa kazi za kufanya, yaani mimi ni mwalimu unanihamasisha nije kushinikiza madai ya madaktari, na madai yangu je wao madaktari watakuja? To hell with your gathering mimi nitakwenda Mabwepande kupiga kazi kwa wanafunzi wanaohitaji kuhudumiwa kutokana na janga asilia na si hayo majanga yenu ya kutengeneza.
kumbe na wewe ni mfelisha wanafunzi! Subiria tu kipindi cha mitihani muivujishe alafu muwaadhibu wanafunzi peke yao
 
hapa ndio watanzania wanaponikatisha tamaa, hivi mnanunuliwa kwa shilingi ngapi mpaka mmegeuzwa misukule? hivi kuna watu badala ya kutoka kwa wingi kuwaunga mkono walioandaa kitu cha maana kama mgomo mnabeza? kama hamuwezi kuwa serious katika swala la kuzuia vifo vya maskini wanaotibiwa public hospital ambao ni majority mtakua serious kwenye nini? na hawa ndio ma great thinkers naona kichefuchefu hapa. Mnafikiri hapa tuko mbali na yanayotokea Siria? ndio maana mpaka leo serikali haijatoa tamka badala yake ni mabango ya matangazo ya exhibitions za watu walioamua kuuua wananchi wao, ila tulikua kimbelembele kutoitambua serikali ya mpito ya Libya na kulazimisha isibadilishe bendera yake. tuna trade maisha kwa vitambaa vya linen, mapazia, sufuria na mapambo ya nyumbani tunayouziwa na wasiria, na malipo ya kodi za mabango yao ya red and black yaliyojaa barabarani eti tumepata kipato, wakati nchi hiyo hiyo imefikia kuzima umeme hospitali na kuuua mamia ya watoto waliokuwa kwenye incubators, haya tunakubaliana nayo hatujaandamana mpaka leo wala hakuna aliye piga kelele huku watu wanachozungumza ni ngono, na kujifanya hakuna kinachowahusu hapa duniani, au kwa sababu wanaouawa Siria ni wapinzani? Libya walikua serikali za washenzi wenzao? ndio maana nakubaliana moja kwa moja na mtazamo wa Mugabe juu ya viongozi wa Afrika, watanzania wamekufa hawa wakina JK wanatakiwa wawe wameshaongoza kwenda ICC kwa Ocampo, Kenya wameweza wanaonyesha namna gani wako serious, tutabaki kuwa choo chao kwa sababu ya wajinga waliojaa humu ndani, I HATE YOU, tumejaza viongozi washeshi kwa sababu yenu, hamko serious, hebu angaliani tunakwenda wapi, kasomeni na muangalia kilichotokea Rwanda, hivi mnafikiri kiko mbali na sisi? au kwa kuwa wanaua kwa makumi mnadhani ni wachache, wanatupeleka huko aliyesababisha mauaji ya kimbari sio wapinzani , ni serikali yenyewe na walianza kama hawa wa Tanzania, chekeni sana tutalia wote siku si nyingi. Nawachukia sana watu wanaobeza maandamano ya kesho. Mimi ntakwenda na ntashiriki, kama wewe huwezi SHUT YOUR BIG DOMO, acha wenzako wakuchumie wewe na watoto wako mje mle na kuosha ******
 
Anayepinga au kuhoji mkutano huu wa wanaharakati wa kujaribu kutoa suluhisho mapema ili madakrati wasigome ni yule ambaye kwanza, ana uwezo mkubwa hata wakigoma madaktari yeye anaweza kwenda nchi jirani, au hajauguliwa na ndugu yake na kufiwa kwa kukosa daktari, au wengine sio watu makini, kwa mafano anayezungumzia kwenda kufundisha hata watoto hufundishika wakiwa wazima, wakiugua na kufariki utafundisha mawe? Watanzania tuwe tunapunguza utani kwenye mambo serious.
 
fedha za wafadhili watarudisha mahesabu vipi kama kazi inayoambatana na picha za matukio haijaonyeshwa namna wanavyochakalika na matukio yenye kujaa ghasia na haya ndio wafadhili wanapenda

masabauri at work

what a shallow minded person... and your avatar says it all!! what an....................
idiot 1.jpg
 
Huku ni kukosa kazi za kufanya, yaani mimi ni mwalimu unanihamasisha nije kushinikiza madai ya madaktari, na madai yangu je wao madaktari watakuja? To hell with your gathering mimi nitakwenda Mabwepande kupiga kazi kwa wanafunzi wanaohitaji kuhudumiwa kutokana na janga asilia na si hayo majanga yenu ya kutengeneza.

wewe sio mwalimu... wewe ni bwegge... you dont know your rights!!
a-idiot-funny-stupid-6.jpg
 
Huku ni kukosa kazi za kufanya, yaani mimi ni mwalimu unanihamasisha nije kushinikiza madai ya madaktari, na madai yangu je wao madaktari watakuja? To hell with your gathering mimi nitakwenda Mabwepande kupiga kazi kwa wanafunzi wanaohitaji kuhudumiwa kutokana na janga asilia na si hayo majanga yenu ya kutengeneza.
Majitu mengine sijui ni njiti wa akili!!?? Eti mimi ni Mwalimu nini kazi, UNA KAZI WEWE!!!? MK***U wako!!
Jamani ndugu zangu watanzania tuacheni upumbavu ktk masuala ya msingi!! Tafakarini ni wapi tunaelekea sio tunabeza kila kitu!!
Jamani watanzania kama tunashindwa hata kutafakari mustakabari wa uhai wetu, itakuwaje kwa mambo mengine ya maendeleo!!??
Ni GT KWELI!!??
 
Back
Top Bottom