Wimbo wa Taifa ubadilishwe, UJENZI, MUUNDO na MWELEKEO wa TAIFA

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
Leo ningependa kufanya tafakuri kuhusu wimbo wa Taifa na umuhimu wake katika kujenga Taifa na uzalendo wa watu.
Tukiwa Tayari tumeisha organize jamii na kuiweka mifumo yake sawia ambayo kazi yake itakuwa kuhudumia jamii sasa ni wakati wa kuchagua wimbo wa Taifa.

Je ni nini malengo ya wimbo wa Taifa?

Wimbo wa Taifa lazima uundwe ili utimize matakwa yafuatayo-
1. Kuunganisha umoja wa Taifa
2 kuainisha matumaini na dira ya watu wake
3 kujenga uzalendo na courage kwa watu wa Taifa.

Kwahiyo maneno ya wimbo wa Taifa lazima yatungwe kufanikisha mambo hayo hapo juu niliyoanisha.
Wimbo wa Taifa ni kama ritual na lazima uimbwe na watoto tena kwa dhati kwaajili ya malengo yetu na ndoto zetu, ni repetition ambayo inatakiwa imezwe na imbadilishe mtoto subconsciously na kumjengea uzalendo na ushujaa.

Wimbo wa Taifa una define character ya Taifa na nini watu wa Taifa hili Wanaamini.
Kwa mantiki hiyo kwenye katiba mpya ningeomba wimbo wa Taifa ubadilishwe ingawaje sina uhakika kama umeainishwa na kutajwa humo, Hauonyeshi malengo na matumaini ya Taifa letu, Hauonyeshi strength yetu kama Taifa bali unyonge wetu,
 
Tukibadili wimbo wa Taifa ndo ufisadi utaisha au umasikini na ujinga utatutoka?
 
Amini usiamini Viongozi wetu wanaweza chukua huu ushauri na kuufanyia kazi kwa kuunda kamati ambayo itamaliza pesa kama ile ya vazi la taifa but still end result isionekane...
 
Wimbo mreeefu utadhani nyimbo hizi za pwani..ule ubeti wa kwanza unaoisifia afrika ufutwe ubaki ule wa Mungu ibariki Tanzania, ni wimbo wa taifa na sio wa afrika
 
Leo ningependa kufanya tafakuri kuhusu wimbo wa Taifa na umuhimu wake katika kujenga Taifa na uzalendo wa watu.
Tukiwa Tayari tumeisha organize jamii na kuiweka mifumo yake sawia ambayo kazi yake itakuwa kuhudumia jamii sasa ni wakati wa kuchagua wimbo wa Taifa.

Je ni nini malengo ya wimbo wa Taifa?

Wimbo wa Taifa lazima uundwe ili utimize matakwa yafuatayo-
1. Kuunganisha umoja wa Taifa
2 kuainisha matumaini na dira ya watu wake
3 kujenga uzalendo na courage kwa watu wa Taifa.

Kwahiyo maneno ya wimbo wa Taifa lazima yatungwe kufanikisha mambo hayo hapo juu niliyoanisha.
Wimbo wa Taifa ni kama ritual na lazima uimbwe na watoto tena kwa dhati kwaajili ya malengo yetu na ndoto zetu, ni repetition ambayo inatakiwa imezwe na imbadilishe mtoto subconsciously na kumjengea uzalendo na ushujaa.
Wimbo wa Taifa una define character ya Taifa na nini watu wa Taifa hili Wanaamini.
Kwa mantiki hiyo kwenye katiba mpya ningeomba wimbo wa Taifa ubadilishwe ingawaje sina uhakika kama umeainishwa na kutajwa humo, Hauonyeshi malengo na matumaini ya Taifa letu, Hauonyeshi strength yetu kama Taifa bali unyonge wetu,

Hivi Tanzania hakukuwa na nyimbo mpaka kuchukua Africa ya kusini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom