Washili wampa go ahead(Baraka) Joshua Samwel Nassari huko Arumeru....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Taarifa rasmi toka kwa kamanda Vicenti Nyerere atakaye ongoza kampeni za CHADEMA huko Arumeru Mashariki ni kuwa wazee wa kishili kata ya Songoro kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru wamempa baraka zao mgombea wa CHADEMA..Wakionyesha kukubali kwa chaguo hili la chama makini CDM wazee hawa walimfanyia ibada ya kimila kwa kumshika kichwani kama ishara ya baraka kwa kijana huyu...Hili linaweza kuwa ni pigo kwa mzee Tendwa msajili wa vyama vya siasa na mshili mkuu ambaye ni ndugu wa karibu wa Sioyi Sumari ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitoa taarifa hasi dhidi ya CDM na hasa Mbunge wa Arusha kamanda Godbless Lema.
Wshili kijiji cha Kilinga kata ya Songoro.jpg

Hii ni picha ya wazee hawa wakimuwekea mikono kamanda Nassari..
 
Tunategemea ushindi wa kishindo,yule mzinzi Mwigulu bado yupo Arumeru?
 
Taarifa rasmi toka kwa kamanda Vicenti Nyerere atakaye ongoza kampeni za CHADEMA huko Arumeru Mashariki ni kuwa wazee wa kishili kata ya Songoro kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru wamempa baraka zao mgombea wa CHADEMA..Wakionyesha kukubali kwa chaguo hili la chama makini CDM wazee hawa walimfanyia ibada ya kimila kwa kumshika kichwani kama ishara ya baraka kwa kijana huyu...Hili linaweza kuwa ni pigo kwa mzee Tendwa msajili wa vyama vya siasa na mshili mkuu ambaye ni ndugu wa karibu wa Sioyi Sumari ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitoa taarifa hasi dhidi ya CDM na hasa Mbunge wa Arusha kamanda Godbless Lema.
View attachment 48758

Hii ni picha ya wazee hawa wakimuwekea mikono kamanda Nassari..

Penye uongo, UKWELI hujitenga. Haya sasa kiko wapi?
 
Kweli Chadema ni noumer....!!! wanacheza kwa step. Big up Chadema.
Hatimaye wazee wamempa kijana baraka, Hii ni dalili nzuri ya ushindi.
 
Taarifa rasmi toka kwa kamanda Vicenti Nyerere atakaye ongoza kampeni za CHADEMA huko Arumeru Mashariki ni kuwa wazee wa kishili kata ya Songoro kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru wamempa baraka zao mgombea wa CHADEMA..Wakionyesha kukubali kwa chaguo hili la chama makini CDM wazee hawa walimfanyia ibada ya kimila kwa kumshika kichwani kama ishara ya baraka kwa kijana huyu...Hili linaweza kuwa ni pigo kwa mzee Tendwa msajili wa vyama vya siasa na mshili mkuu ambaye ni ndugu wa karibu wa Sioyi Sumari ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitoa taarifa hasi dhidi ya CDM na hasa Mbunge wa Arusha kamanda Godbless Lema.
View attachment 48758

Hii ni picha ya wazee hawa wakimuwekea mikono kamanda Nassari..

Tendwa aje aseme tena maana amekuwa mpiga propaganda wa ccm
 
peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeooooooooooooooooooooopppppppppppppppppleeeeeeeeeeeeee! sory nina kigumizi kikali sana yaani pipoooo! rejao faiza ,ritz malaria sugu malizieni ingawa najua mnaitikia with whispers "power"
 
This time kama CCM hawajaambulia 30% sijui maana kila tawi wanaloshika linateleza.
 
Nawapongeza wazee wa kabila la wameru, nitaendelea kumuheshi mmeru popote nitakapomuona kutokana na hatua waliyochukua hawa wazee ya kuwa miongoni mwa wazalendo kuikomboa nchi mikononi mwa ccm.
 
Huyu dogo keshazoea kushindwa,,,,
Tutegemee tena kushindwa kwake kama ilivyokuwa 2010
 
Nimeipenda hii, kadiri siku zinavyoyoyoma mapenzi yangu ya dhati kwa CHADEMA yanaongezeka. Yaani jinsi wanavyopangua penalti moja baada ya nyingine. Utafikiri muvi fulani hivi. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez!!!!
Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.
 
Nawapongeza wazee wa Washili kuhunga mkono mabadiliko, huyo ndio kijana wenu wenyewe, kazaliwa hapo, kakulia hapo na sasa anataka ridhaa yenu ili awatumikie.
Ukweli vs Uwongo ni sawa na Nyeupe vs Nyekundu.
Uchaguzi huu wa Arumeru Mashariki uwe ujumbe wa mabadiliko kote nchini. Asante Mungu.
 
Hii ni dalili mbaya kwa ccm. wanachama wa ccm wanajiunga na chadema, vijana wa arumeru hawamtaki mkapa kwenye kampeni, washiri wamempa baraka kijana wao. wazee ndo kila kitu. hayo yote yanafanyika hata kabla ya chadema kutema cheche zozote. Kazi imeanza lasmi miyoyoni mwa wameru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom