Maghufuli ''is next level'' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maghufuli ''is next level''

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzaniaist, Mar 6, 2012.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nani Kama John Pombe Magufuli..,
  1.Kiongozi mchapakazi anayejituma
  2.Kiongozi ambaye hajajilikimbizia mali, tujiulize magufuli anamiliki kampuni gani..?
  3.Anatanguliza mbele maslahi ya Taifa, na maslahi ya chama. kwani hajihusishi na makundi kuleta mgawanyiko katika chama
  4.Kiongozi anyesimamia ukweli na mwenye msimamo thabiti..!
  5.Kiongozi huyu hatumii pesa kujisafisha au kujijengea njia kuwa raisi 2015, zaidi ya uongozi wake bora na sio kumwaga fedha na kuunda mitandano au makundi
  6.Anajiamini (self confident) hatawachekea mafisadi na wazembe serikalini, na hata wananchi wavivu na wabishi mfano wa kigamboni waliombishia kuhusu nauli, watanzania tunapendwa kubebwa kila wakati kwenye sehemu ambako hatubebeki, ndio chanzo kikubwa cha umaskini
  7.Ni mfuatiliaji mzuri wa matatizo, kama alipanda lori na kujifanya abiria kukamata wanaochukua rushwa kwenye mizani,..kiongozi gani ambaye atakuwa tayari kufanya jambo kama hili serikalini..? zaidi ya kuandaa warsha na vikao kutatua matatizo

  Napenda kumfananisha John Magufuli na Paul Kagame, kwa style zao za uongozi bora na kupambana na ufisadi,rushwa na hujuma dhidi ya taifa...!

  Magufuli ameweza kuwa mtu pekee mwenye kukiletea heshima chama cha mapinduzi (ccm), kama kufanikisha ushindi Igunga,na pia atakuwa ndio striker kwnye uchaguzi Arumeru..,kweli anatimiza Ilani ya CCM kwa asilimia 100..!

  Watanzania Kama tunapenda maendeleo, tumpe moyo viongozi kama hawa wenye kujituma na kutetea maslahi ya Taifa...!
  Ningepanda nishauri Mh.John Magufuli apewe Ulinzi maalumu maanake wasije wakamfanyia mabaya hasa wale wanaokamia urasi 2015..! kwakuwa wanaamini ni tishio kwao
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hata kama ni aina fulani ya kampeni lakini nafikiri iko sawa maana inaendana na kauli ya wahenga "Chema chajiuza, kibaya chajitembeza." Mafisadi ni lazima watumie nguvu nyingi (pamoja na pesa) maana hawakubaliki, bali wachapa kazi na waadilifu kama Dr. J. P. Magufuli matendo yao yanawasemea.
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  unakumbuka magari ya govt watu walikua wamejimilikisha!amebuni mfumo mpya wa namba za magari,anawapa tenda suma jkt
   
 4. Najuta Kukufahamu

  Najuta Kukufahamu Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna waziri muongo kama Magufuli..kwa wasio mjua ndio mnaona ana chapa kazi..kelele nyiingii lakini hamna kitu pale..wale wale tu!!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,195
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa ni waziri wa vyombo vya habari anavyopenda sifa ni muongo wa kutupwa hafai hata ujumbe wa nyumba kumi ameshalitia taifa hasara sana kwa maamuzi yake ya kibabe na machafu yasiozingatia maadili ya uongozi
   
 6. Najuta Kukufahamu

  Najuta Kukufahamu Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashangaa wanavyo mpapatikia "Mishentown huyu"
   
 7. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mdau anamfahamu Magufuli kwa aliyoyataja hapo juu. Wewe unayemfahamu kwa upande mwingine weka hadharani unayoyafahamu tumpime. Hatutaki porojo hapa lete facts.
   
 8. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thibitisha usemi wako
   
 9. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,070
  Trophy Points: 280
  sawa anafaa, lakini jk anamkubali!? ...je anatokea 'Pwani' maana vijana walishasema kuwa safari hii ni zamu ya hili eneo
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hiyo namba sita ni kwamba anajihami na sio kujiamini. We kila kitu lazima ataje ccm? Si ajabu hata mkewe alipewa na ccm
   
 11. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unamaana gani kusema ni zamu ya pwani?
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,625
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  I kinda like the guy! he looks serious
   
 13. K-killer

  K-killer Senior Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha kuropoka tuu,kAmA unAsema mtu hafAi nai lazimA utoe sabAbu kwA kufAfAnua kwa kinA kwanini unAsemA ivo.Sio kutuAchA pending bilA ku support hojA yako,Sio Facebook hapa.AlaAaa
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,625
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  Labda ungetaja hasara alizolitia taifa nasi tuzijue
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,473
  Trophy Points: 280
  jana kafungua stend pale mbezi
  haina hata choo.
   
 16. A

  Albano Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Jamaa anachapa kazi kweli kweli.
   
 17. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,768
  Likes Received: 2,021
  Trophy Points: 280
  Kama mtu una argument yako hafai basi tupe facts ulizonazo..mkuu apo katoa facts anazozijua kwamba ni kiongozi mzuri,why dnt u draft urs kwamba hafai?
  Achaneni porojo bwana,ss uyo anaefaa ni nani mleteni apa nayeye tumjadili sio mnakua negative tu bila sababu watanzania bwana!!
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,473
  Trophy Points: 280
  Ni mtu wa kawaida tu.

  ukitaka kujua ubora wa pombe magufuli nenda brbr ya morogoro
  saa kumi na moja jioni au asubuhi saa kumi na mbili.
   
 19. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  he is my mentor
   
 20. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kwamba Magufuli ni mchapakazi, mfutiliaji, anajiamini, hana woga wala longolongo, haoni haya kuwaonea haya wazembe, wavivu, wezi na wadanganyifu. Katika CCM ya leo, Magufuli anaweza kabisa kuuzika na kukubalika kwa wananchi.
   
Loading...